Wapi nimesema kuwa Lissu anapaswa kusifiwa?Wala sijamzungumzia Lissu kwenye hii mada!Msimamo wangu ni kwamba hakuna mtu yeyote anaepaswa kusifiwa kwa kutimiza wajibu wake kisheriaAloooh kazi kweli kweli
Haya hebu Tuambie Muheshimiwa Ni Mambo gani angefanya Au Huyo Lissu atafanya na yapaswa kusifia ???
Yataje hapa
Hawajui zilipo, lakini.................. https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/10/2535781_2535772_CCM.mp4kwa.kweli inter change imedamshi sana.wananchi wa Kawe hawajui hela za fuko la jimbo zipo wap.
Mbinguni ya chato; na kiongozi wa malaika anapatikana huko.Uhuru upi unaoutaka wewe?
(1) Ufanye wizi usikamatwe?
(2)Utumie cheti cha dada yako upate kazi ?
(3) Utukane kila mtu usiempenda usikamatwe?
HAKUNA UHURU USIO NA MPAKA HATA MBINGUNI UTAKUTA NI HIVYO HIVYO.
No!Hujajibu hoja yangu ya msingi ya kwa nini mnataka mtu asifiwe kwa kutimiza wajibu wake kisheria
Hivi Ndugu Yangu mbona Mgumu kuelewa Wewe ,? Tunaongea hili unaluka luka tuuWapi nimesema kuwa Lissu anapaswa kusifiwa?Wala sijamzungumzia Lissu kwenye hii mada!Msimamo wangu ni kwamba hakuna mtu yeyote anaepaswa kusifiwa kwa kutimiza wajibu wake kisheria
Aloooh kazi kweli kweli
Haya hebu Tuambie Muheshimiwa Ni Mambo gani angefanya Au Huyo Lissu atafanya na yapaswa kusifia ???
Yataje hapa
foleni imehamia Shekilango Morogoro Rd.
Uhuru unautaka ww na mamaako. Sie twataka maendeleoHata wakoloni walileta maendeleo ya kutosha tukawakataa sisi hatuchagui dikteta kwa kigezo cha flyover, tuna taka uhuru kamili.
Huo ni upumbavu wa kiwango cha juu Sana. Hata wewe ukiwa raisi utafanya hayo kwani ni Kazi za serikali yeyote Duniani. Tunataka Uhuru halisi wa watu, maendeleo ya watu na Haki kwa kila Mtu.Toka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.
Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
Baki na upuuzi wakoUhuru unautaka ww na mamaako. Sie twataka maendeleo
Umeiona hiyo?View attachment 1586462
We hauko huru?Hata wakoloni walileta maendeleo ya kutosha tukawakataa sisi hatuchagui dikteta kwa kigezo cha flyover, tuna taka uhuru kamili.
Yaani unataka mtu asifiwe kwa kutimiza wajibu wake kisheria?Kumbuka majukumu ya Rais yapo kisheria!Yote anayofanya ni kutimiza wajibu wake kisheria.Sasa ndugu, mtu atasifiwaje na kuonekana shujaa kwa kutimiza wajibu wake kisheria?!Yaani ni kama wewe kwa mfano tukuone shujaa kwa kusimama na kukaa mguu sawa pale bendera ya Taifa inapopandishwa au kushushwa au tukuone shujaa na kukusifia kisa umetimiza wajibu wako kisheria wa kuendesha gari yako taratibu ulipokuwa unakatiza kwenye shule ya watoto.Haiwezekani ndugu,tutakuwa ni mazuzu!Hivi Ndugu Yangu mbona Mgumu kuelewa Wewe ,? Tunaongea hili unaluka luka tuu
Wewe si Umesema Kwamba Tunamsifia mtu kwa kutimiza wajibu Wake kisheria !? Na ukatoa na Mfano Sasa Nakuuliza Tuambie Hapa tuone Mambo gan Angefanya alipaswa kusifiwa. Kwahiy hapaswi kusifiwa huo Ndio msimamo wako. !?... Hauwezi kuweka msimamo wa Namna hiyo Mkuu
Ona hapa kipi Bora kati ya Uhuru na Maendeleo kunguni mkubwa weweBaki na upuuzi wako
No!Unanidanganya mkuu wangu!Kila siku huwa tunaona nyuzi hapa jukwaani kutoka kwa vijana wa CCM zinazosifia kuwa magufuli ni shujaa kwa sababu amenunua ndege,amejenga stiegler's gorge,amezuia ufisadi,amejenga nidhamu serekalini,e.t.chatujalazimisha wala kumtaka mtu asifie.
No!Unanidanganya mkuu wangu!Kila siku huwa tunaona nyuzi hapa jukwaani kutoka kwa vijana wa CCM zinazosifia kuwa magufuli ni shujaa kwa sababu amenunua ndege,amejenga stiegler's gorge,amezuia ufisadi,etc.