Tundu Lissu njoo uone Ubungo interchange imekamilika

siyo sahihi kivipi mkuu??

tunavunja sheria ipi?
Sheria ya kulazimisha magufuli apewe ujiko utazani kamalizia ujenzi tokea kwa Kikwete kwa pesa tokea kwenye mshahara wake binafsi
 
Daraja ijengwe kwa pesa za walipa kodi tena tokea kipindi cha Kikwete lakini maccm majinga yanataka magufuli apewe sifa
 
siyo sahihi kivipi mkuu??

tunavunja sheria ipi?
Taifa haliongozwi kwa sheria peke yake bali huongozwa kwa sheria,miiko,maadili,kanuni,etc.Hapo mnavunja maadili.Kumsifia kiongozi anaetimiza wajibu wake kisheria athari zake ni kwamba siku akitimiza wajibu wake mkasahau kumsifia ni kwamba ataacha kutimiza wajibu nyingine zilizopo kisa hakusifiwa jana alivyotimiza wajibu fulani na matokeo yake tutakuwa na taifa ambalo ili kiongozi atimize wajibu wake atahitaji kwanza uhakika wa kusifiwa na kuitwa shujaa na Taifa kama hilo linakuwa ni Taifa la mfalme juhaa chini ya raia mazuzu.
 
Taifa haliongozwi kwa sheria tu bali huongozwa kwa sheria,miiko,maadili,kanuni,etc.Hapo mnavunja maadili.Kumsifia kiongozi anaetimiza wajibu wake athari zake ni kwamba siku akifanya jambo mkasahau kumsifia ni kwamba ataacha kutimiza wajibu nyingine zilizopo kisa hakusifiwa jana alivyotimiza wajibu fulani na matokeo yake tutakuwa na taifa ambalo ili kiongozi atimize wajibu wake atahitaji kwanza uhakika wa kusifiwa na kuitwa shujaa na Taifa kama hilo linakuwa ni Taifa la mfalme juhaa chini ya raia mazuzu.
maccm hata akipiga mswaki Asubuhi wanamsifia kuwa anajua kupiga mswaki, maccm ya sasa sijui yamepatwa na nini?
 
Kwa hiyo watu wa Kazulamimba wakiona hiyo Flyover ndio watapata maji?
 
ile pesa iliyotumika kujenga lile daraja la kifisadi toka Aga khan Hosptal kwenda Oyestabay ingeweza kujenga daraja moroko Magomeni mwenge kurasini na sehemu zingine, ule ni mradi wa kifisadi uliotumika wajanja wapige pesa haraka wazitumie kwenye kampeni.
Kweli inashangaza mno kujenga daraja baharini badala ya kujenga nchi kavu ambako ni gharama nafuu sana, huu ni ufisadi mkubwa.
 
Toka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.

Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
Unajiona genius kumbe huna akili ubungo intercharge ni mradi wa world bank na pesa zpte zimetoka world bank na sio government of Magufuli alafu sio kila mrad unauona km barabara.madaraja ukajua ni juhud za yule jamaa kuna barabara nying sn zimejengwa na world bank ktk project yao ya kutanua miji tatizo yule jamaa ashajua watanzania weng hamna akili na sio wafuatiliaji ivo anajitamba kafanya na kuna mabango huwa yanabandikwa ili kuonesha mradi huo umegharamiwa na nan na kusoma pia hamjui ebu kasome pale bango la pale ubungo intercharge na yule jamaa atalibandua si mda
 
Toka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.

Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.

Mpigie simu bibi yako huko kijijini then mpe huo ujumbe uone jibu ambalo atakupa

Uwe Makini anaweza kukuradhi hahaha
 
Toka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.

Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
Angalia wewe na wenzako
 
Tunataka Uhuru Haki na Maendeleo ya watu vitu huja baada ya hayo ya awali kutimia
 
Toka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.

Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
Saafi saana tena saaana,
Kwanza tumuombee aliye uasisi huu mradi afya na umri mredu
Pili...
Huu mradi umeondoa tatizo Ubungo na kulipeleka pale Matumbi,Buguruni hadi Tazara
Tatu...
Siku zinavyozidi kwenda foleni itafika Tabata Mwananchi na itarudi palepale Ubungo
Hivi Tanesco ubungo imekwisha vunjwa au bado ipoooo
 
Toka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais Magufuli mtetezi wa wanyonge.

Tundu Lissu utatokea kona gani ili upate Uraisi?. Nikusihi siku utakapokuwa kuwa unarudi toka mikoani, usije kwa ndege njoo na msafara wako mpite Ubungo.
Ethiopia
 
Back
Top Bottom