Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,401
- 27,067
Haya maswali muulize kwenye sanduku la kura.Hivi kwann muongelee tu vitu vinavyofanyika Dar peke yake?
Hivi hizo interchange na huku vijijini vipo?
Tuna taka haki sawa,
Ndio maana tunataka maendeleo ya watu.
sisi watu wa namanyere rukwa tunatumia kila kitu toka Congo, sasa hayo madaraja sijui yanatusaidia nini