chadema ccm

  1. P

    Askofu Mwamakula: CHADEMA na CCM ni kama wapenzi wawili waliongia kwenye mahusiano bila kufuata taratibu

    Akiwa kwenye mahojiano na mwandishi wa waandishi wa habari, Askofu Mwamakula amesema anafananisha mazungumzo ya CCM na CHADEMA kama wapenzi walioingia kwenye mahusiano bila kufata utaratibu, sasa hivi mambo yameharibika kila mmoja analalamika. Akisema Mazungumzo ya CHADEMA na CCM yalikuwa siri...
  2. Kabende Msakila

    CHADEMA wamehalalisha haramu 'Covid-19' na Ruzuku

    WanaJf, salaam tena! Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na kuyumbisha taifa letu. REJEA (a) Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 CHADEMA ilituma kwa Spika majina...
  3. Sir robby

    CHADEMA fanyeni Maridhiano na wabunge 19 kama mnavyofanya na CCM, mtawashangaza maadui zenu

    Hakika nimefurahishwa sana jinsi Rais Samia anavyofanya siasa zake. Hakika huyu mama anaijua siasa sana kuliko mtangulizi wake, hayati Rais Magufuli. Kitendo cha kukubali kufanya maridhiano na Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA, wakati hayati Rais Magufuli aliombwa na Mbowe lakini alikataa...
  4. Mtu Asiyejulikana

    Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

    Godbless Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua. Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na...
  5. Mganguzi

    CHADEMA wanafurahia sana misururu ya watu wanapopita mijini. CCM wao wanajijenga mashinani na hawana mbwembwe

    Hiyo ndio hali halisi niliyoiona kwa CHADEMA, misafara yao wanapoingia mijini hupokelewa na mapikipiki na kila aina ya mikwara wenzao CCM wanajijenga vijijini huko kuna vikosi vinapita! Ninyi jidanganyeni na hizo nyomi!
  6. commonmwananchi

    Lema, hii siyo kuomba Asali CCM kiaina?

    Godbless Lema, kwa tweet yako hii nimelazimika kuamini kwamba baada ya kugundua kwamba kuna maslahi yanakupita na huwezi kumhoji Mwenyekiti wako, na kwasababu unao uhitaji mkubwa wa mapene ni rasmi sasa umemuomba katibu mkuu wa CCM Ndugu na komredi Chongolo akukumbuke pindi utakapofika nchini...
  7. Bams

    Hoja ya Ukomo wa Uongozi kwenye vyama vya upinzani ni kukosa Uelewa, Maarifa na Unafiki

    Kuwekeana mipaka kwenye ulaji ni jambo la hekima, lakini kuwekeana ukomo kwenye kujitolea ni ama kukosa uelewa, kukosa maarifa, au anayetaka hilo liwepo ni mnafiki, ana dhamira mbaya. Kuweka ukomo wa muda wa uongozi ndani ya CCM na ndani ya Serikali, ni jambo la muhimu sana. Uongozi ndani ya...
  8. Kabende Msakila

    CCM yetu kipaumbele ni miradi mikubwa ya maendeleo, Katiba mpya baadae sana

    Wana Jf, salaam! Nianze kwa kukipongeza CCM kwa upendo wake kwa Watanzania lakini pia nikipongeze CDM kwa namna inavyokubali kazi inayofanywa na CCM. Wengi wetu kipaumbele ni Serikali kuongeza kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini. Suala la Katiba mpya lifuate hapo mbeleni hasa miaka...
  9. GENTAMYCINE

    Tundu Lissu una uhakika kuwa tatizo la Watanzania ni bei ya nyama kuwa sawa na ya maharage?

    Kwahiyo umetoka nchini Ubelgiji (Ulaya) kuja (kurejea) Tanzania kuzungumzia Bei ya Nyama kuwa sawa na ya Maharage? Kama wanasiasa wa Upinzani mpo this low ni bora tu GENTAMYCINE na Watanzania wenye akili tuendelee kuipigia kura CCM na CCM iendelee kutawala kama siyo kututawala milele! I'm very...
  10. K

    Rais Samia: Muda wa siasa za uhasama umekwisha

    Leo, Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo katika sehemu ya hotuba yake amewasisitiza vijana wa UVCCM kuachana na siasa za kuchokozana na ugomvi na hata ikitokea watakosolewa basi wajibu kwa hoja. "Zama za...
  11. CalvinKimaro

    Uchaguzi 2020 Mlipopanga kususa mlijadili haya? Mmejitakia catche 22!

    1. Uwezo wa serikali kupuuza madai yenu na kuendelea na uchaguzi? 2. Wagombea wenu kugoma kujitoa kwa kuwa uongozi ndio unawapa kipato kama ambavyo wabunge mnavyotegemea fedha za ubunge? 3. Kuna uchaguzi mkuu karibuni na itakuwa kichekesho kushiriki wakati mmesusia wa local government? 4...
  12. CalvinKimaro

    Leo nimeona post ya ndugu yangu Ado Shaibu wa ACT. Inadai wanawake wa ACT wanamtaka (hawaombi) raisi aitishe kikao cha maridhiano!

    Leo nimeona post ya ndugu yangu Ado Shaibu wa ACT. Inadai wanawake wa ACT wanamtaka (hawaombi) raisi aitishe kikao cha maridhiano! Mwisho Ado akaongeza "takataka" binafsi za kudai tume huru na katiba mpya! Yaani kichekesho! Kumbe walisusa huku kiroho kinauma? Walidanganyana wataitwa? Kiongozi...
  13. CalvinKimaro

    Viroja vya CHADEMA havina ukomo

    Awali ya yote niwape pole wale wote watakaofuata agizo la kutoshiriki uchaguzi kwa kutopiga kura. Watakuwa kwa hiyari yao wenyewe wamejinyima haki yao. Hakuna mwingine atakayeumia isipokuwa wao wenyewe na chama chao. Nadhani CHADEMA wanadhani kwa kususa mpango wao wa kuonyesha kuwa TANZANIA...
  14. musa_ali

    Kwa anayemfahamu Mwl. Iddi Tlaghasi Hera wa Arusha TUWASILIANE.

    Habari wakuu, Moja ya waliofariki MV Nyerere ni Ndugu au Jamaa wa karibu wa Mwl. Iddi Tlaghasi Hera, sifahamu Shule anayofundisha hapo Arusha,ila kama unamfahamu plz niPM namba zake. Marehemu alikuwa anafuatilia post ya Ualimu na nyaraka zinaonyesha/referr wake ni Mwl. Iddi Tlaghasi Hera wa...
  15. K

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua. Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin. Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
Back
Top Bottom