Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

Ndio unajinadi kwamba tujuwe umeolewa au!!?? sifa za kijinga.

Haa kumbe hapa jf mtua akitaja mume dhambi? We matola vipi kwann umwambie sifa za kijinga? Its killing you ee? Kweli wonders shall never end jamani!
 
mkuu sio kila mtu anapenda ajulikane anatumia id gani kwasababu binafsi . Sina sababu ya kutunga uwongo ndg yangu .
Je E-Mail address yake unaijua labda Mods itawasaidia kujua...
 
pole kwa wafiwa jamani mi nimecheck fb mbona namuona ambaye mpaka 5 hrs zilizopita alikuwa fb! Itakuwa sio uyo ee? Tatizo ili jina nadhani waarusha wengi wanalitumia..
 
RIP Mollel
What happened, after the accidental shooting, Gari ilisimama au? Alikuwa mwenyewe kwenye gari?
 
Kafute mchango wako huo wa mawazo mgando,
Nina ndugu zangu wengi ni wanachama wa JF lakini sijui wanatumia majina gani.
hata mimi nina rafiki zangu wengi sana lakini sijui ID zao lakini ninauhakika 100% kuwa ni member wa JF.....
 
Hivi mpaka sasa hivi hizi habari bado ni chenga?? hili ndilo tatizo la kwanza kuja na ID fake, ikitokea dharrura watu wanataftana!! anyway RIP Broda!!
 
Jamani huu mwaka 2012 lol
Mungu aendelee kutuongoza
RIP member mwenzetu,tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi
 
Ndio unajinadi kwamba tujuwe umeolewa au!!?? sifa za kijinga.
Leo sijui umeamkaje mkuu,mtu ukisema nina mke au nimeoa ni kutafuta SIFA?? wote humu ndani waliokwisha sema wapo kwenye ndoa WANATAFUTA SIFA???.
 
Mode hakuna namna ya kujua ID yake jamani hata kwa kutrace birthdate kama anajaza ya ukwel!
 
Hat thru email mode mnaweza mpata tujue ID yake wakuu!
 
Back
Top Bottom