Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma lakini ana makazi mwanza . Nyumbani hasa ni Arusha kwa ngulelo. Sijajua alikuwa anatumia username gani lakini ni mwanachama wa jamii forum. Jina lake ni Godson mollel . Ni binamu yangu . R.i.p bro.

Poleni sana ndugu, jamaa, marafiki na wana JF wote kwa msiba huu mwingine, tumuombe Mungu Baba Mwenye Nguvu Mungu wa Milele atufariji na kutupa utulivu kwenye kipindi hiki kigumu.
 
u got a gun up on your waist please don't shoot at the place..why?cuz i see some ladies 2nite they should be having my baby my baby.r.i.p
 
Kwanza natoa pole kwa wana JF wote kwa yote haya yaliyotokea naamini Mungu ataziba pengo hili, naungana nanyi katika mapambano zaidi
 
Poleni sana kwa msiba ndugu zangu, nawaombea Mungu awape subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Poleni tena.
 
Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma lakini ana makazi mwanza . Nyumbani hasa ni Arusha kwa ngulelo. Sijajua alikuwa anatumia username gani lakini ni mwanachama wa jamii forum. Jina lake ni Godson mollel . Ni binamu yangu . R.i.p bro.

daaaa, taarifa za huzuni hizi, poleni kwa msiba ...
Tupo pamoja kiroho!
 
aisee poleni ndugu na jamaa na wanajf wote Mungu ndiye mpaga wa yote, tulitoka kwake tutarudi kwake tena. R.I.P GODSON
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom