Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma lakini ana makazi mwanza . Nyumbani hasa ni Arusha kwa ngulelo. Sijajua alikuwa anatumia username gani lakini ni mwanachama wa jamii forum. Jina lake ni Godson mollel . Ni binamu yangu . R.i.p bro.
too sad,pole sana Mkuu!
 
alisahau kulock ndo maana ikafetuka . Na alikuwa akiendesha gari kwa hyo ikapiga maeneo ya tumboni.
haya mambo ya silaha haya mmmhhh , yuko kibosile mmoja (anafahamika sana mjini name withheld) mambo haya haya yuko juu ya stage diamond jubilee alijitikisa sijui kivipi ikafyatuka kidogo immalize nyeti zake.Hizi silaha jamani sio mapambo wala kitu cha ubishoo ukinunua omba wataalam wakufundishe sio ku shoot lakini na utunzaji wake.vinginevyo achana na mambo ya kumiliki silaha,too risky
 
Kwa kweli hii week mbaya.... Matumaini yangu yakusema this year is promising ina diminish as days go on.


R . I . P Godson... Ni nyumbani huko. Pole kwa wafiwa....
 
Hizi silaha jamani sio mapambo wala kitu cha ubishoo ukinunua omba wataalam wakufundishe sio ku shoot lakini na utunzaji wake.vinginevyo achana na mambo ya kumiliki silaha,too risky
Marehemu atakuwa amekuelewa hatorudia tena.
 
Rest In Peace Godson!

Sasa kijana mdogo kama yule anamiliki silaha.
Ama masharti ya kumiliki silaha siku hizi siyo ngumu!
 
He watu mmetoka povu sijui kwanini mie mbona ID ya mume wangu siijui na anakuwa JF 24/7??

Mwacheni bana Pole Bucho ndo dunia ilivyo Alale salama Godson
Ndio unajinadi kwamba tujuwe umeolewa au!!?? sifa za kijinga.
 
dah...
RIP broda......
itabidi mwaka huu niwapatie hata watu wawili ID yangu waijue......
Hali si hali

Hata Mimi aiseee,,,,,,,,,,,,,,,,!

Lakini ngoja nifikirie tena!

Maamuzi magumu!
 
Aiseee...! Hiyo kitu siwekagi kiunoni kabisa.

Poleni sana!
 
Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma lakini ana makazi mwanza . Nyumbani hasa ni Arusha kwa ngulelo. Sijajua alikuwa anatumia username gani lakini ni mwanachama wa jamii forum. Jina lake ni Godson mollel . Ni binamu yangu . R.i.p bro.
Nikiwa kama Scotland Yard nina maswali 100 ya kumuhoji huyu mleta mada, ila swali 1 tu linamtosha kwa leo, hivi wewe mleta mada unafahamu bastola huwa inakaa wapi unapotoka nayo nyumbani? nitakuwa wa mwisho kuamini maelezo yako kwa sababu ya kwangu ninayo na najuwa kama ikitokea bahati mbaya nikasau kuweka usalama haiwezi kunipiga tumboni. Big NO.
 
du binadamu kaazi kwelikweli,mkifikiria kifo ndo mnakumbuka majina kamili?
FICHENI TU MKIFIKIRI MKO SALAMA.
 
Back
Top Bottom