Mpigania Uhuru na Mwasisi wa TAA, Dr. Vedastus Kyaruzi afariki dunia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpigania Uhuru na Mwasisi wa TAA, Dr. Vedastus Kyaruzi afariki dunia!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, May 21, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,628
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Nimepokea taarifa za kifo cha mmoja wa waanzilishi wa chama cha TAA na baadae TANU, Dr. Vedastus Kyaruzi kilichotokea juzi hapa jijini Dar es Salaam na mwili wake kusafirishwa leo kuelekea Bukoba kwa mazishi yatakayofanyika J.5.

  Habari hizi ni kwa mujibu wa Bw. Prosper Vedasto wa Channel Ten.

  Kwa wafuatiliaji wa historia ya siasa za Tanzania, Mzee Kyaruzi ametajwa sana katika makala za Maalim Mohamed Said kuwa yuu miongoni mwa mashujaa wa nchi hii waliosahaulika au tulio sahaulishwa na inawezekana ndio maana hata msiba wake uko low profile!.

  Nadhani nisingekutana na Bw. Prosper, msiba huu muhimu ungeweza kutupita juu kwa juu!.

  Kwa msiomfahamu Dr. Kyaruzi, hapa anaelezewa vizuri na mwana JF mwenzetu, mpigania uhuru mwenzake!.

  Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa,
  Jina Lake Lihimidiwe!.

  RIP Dr. Kyaruzi!.

  Pasco.


   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,145
  Trophy Points: 280
  Pasco,

  ..hebu ulizia kama kama Raisi alituma rambirambi au kuna kiongozi yeyote wa serikali alitokea msibani.

  ..misiba siku hizi inatumika kisiasa. hii ni tabia ya ajabu sana nimeanza kuiona ktk awamu ya 4.

  NB:

  ..lets see kama Sheikh Mohamed Said ataandika tanzia ya Dr.Kyaruzi.
   
 3. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,224
  Likes Received: 7,346
  Trophy Points: 280
  RIP Dr Kyaruzi,

  Inasikitisha sana kuona watu waliojitoa kwa ajili ya nchi hii wanasahaulika na hawapewi heshima stahiki.

  Historia haifichwi kwasababu hujidhihiri yenyewe!
   
 4. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Haya ndo mapungufu ya Mwl Nyerere,Aliwapoteza kwenye Historia akina Kyaruzi ili abaki pekee kwenye Historia na kuna vijitu vinaamini uhuru wa nchi hii ni matokeo ya harakati za miaka 6 i.e 1954 (kuzaliwa TANU) mpaka uhuru wa 1961, Hawajui kuwa Tanu imekuja kukamilisha kazi za wakongwe kama DR.Kyaruzi, Kwa mfano ukiwauliza vijana wasomi wa kisasa wakutajie wapigania Uhuru 10 wa nchi hii,itawachukua muda sana na kama wakijitahidi watakutajia waliokuwa mawazir wa kwanza wa Serikali wakati hao wapigania uhuru walitupwa kulleeeeeeee!!!!!! Watoto wetu hawajui kuwa Professa Babu ni Nguli wa Siasa ya Ujamaa Duniani mpaka leo wajamaaa Dunia nzima wanaadhimisha SIKU ya kifo chake kwa Mijadala yenye Afya.Buriani Dr.Kyaruzi historia ya VITABUNI umeachwa lakin kamwe vifuani mwa wapenda ukweli utadumu!
   
 5. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  RIP Dr Vedasto Kyaruzi
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,628
  Trophy Points: 280
  Mkuu Joka Kuu, hata huyu jamaa aliyenieleza, alinieleza tuu kama by the way. Lets hope salaam za JK zitakuja!.
   
 7. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hakukuwa na press coverage ya kifo hiki!
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,628
  Trophy Points: 280
  Mkuu Nguruvi 3 ni kweli misiba siku hizi ni politics. Kanumba amekufa same day na former IGP Mahundi na baadae former CDF Gen. Mwita Kiaro, Bunge likasimama to observe 1 min silence kwa Kanumba, then 3 days letter ndipo Kiaro na Mahundi were just mentioned!.

  Kusema ukweli, ukiondoa ile sumu ya udini kwenye makala za Maalim Mohamed Said, they were very informative if read with open mind!.

  Ila pia nasikitika sisi waandishi hatutimizi wajibu wetu ipasavyo, watu kama hawa walitakiwa wawe documeted accordingly!.
   
 9. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vp mazishi yake yatatangazwa kama ya KANUMBA?
   
 10. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Inasikitisha sana....
  Dah mzee wa watu sijui kaiacha namna gani familia yake..!

  Mungu amrehemu kamanda...

  Bado tunagharama kubwa ya kulipa katika kusahihisha historia yetu!
   
 11. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Kweli akina Fundikila,Sykes,Kyaruzi n.k leo serikali zetu zinawakanyaga na kwenda kuwabeba akina Kanumba huku wakijiaibisha?

  Ndo maana CDM ina rangi nyekundu ktk bendera yake kwa ajiri ya kuenzi wapiganaji hawa na daima tutawakumbuka babu zetu wapiganaji milele yote.
   
 12. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  CCM wanaenda kwenye misiba Kama ya kanumba sio kikongwe Kama huyo wanadharau sana
   
 13. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,386
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  wakati mwalimu anafika makelele Dr Vedastus alikuwa mwaka wa mwisho MEDICINE na akiwa Rais wa wanafunzi.
  Mwalumu alijua uwezo wa Kyaruzi kaitka kupambanua mambo,hivyo kumuacha achanue ilikuwa ni hatari kwake so after uhuru nchi haina wataalamu kabisa lakini Dr huyu akapelekwa ubalozi.

  Anyway Rest In Peace DR ,ulijenga misingi ambayo leo imekuwa nguzo ya uhuru na amani ya nchi yetu
   
 14. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,757
  Likes Received: 557
  Trophy Points: 280
  RIP Mzee,ulikuwa muumini mzuri,Mungu akupokee katika ufalme wake.
   
 15. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  R.I.D Dr. Kweli nimeyaona ya kina kina ngugi wanamawazo mapana. A man like ths kfo chake kina run low profile hivi!!! TANZANIA HAYA MAKOSA TUTAYALIPA.
   
 16. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  RIP Dr. Vedastus Kyaruzi, ulikuwa Mtanganyika aliyeshiriki na Watanganyika wengine bila kujali tofauti zao zozote zile kupigania uhuru wa Tanganyika. Daima utakumbukwa.
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mohamed Said kamkumbuka huyu na wengine kwenye maandiko yake. Cha kushangaza wengi hufikiri historia ya nchi hii imeanzia kwa Nyerere. Why?
   
 18. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  RIP Dr. Kyaruzi!.
   
 19. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Omulangira Vedast Kyaruzi mungu akupokee kwa amani.Kyaruzi was one of the first Tanganyikan intellectual trained at Makerere in Uganda and he headed TAA from 1950 to 1953.R.I.P.
   
 20. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Pole kwa familia ya mpiganaji wa kweli, mtanganyika mzalendo Dr. Kyaruzi.
   
Loading...