Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,175
Reaction score
3,275
Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma lakini ana makazi mwanza . Nyumbani hasa ni Arusha kwa ngulelo. Sijajua alikuwa anatumia username gani lakini ni mwanachama wa jamii forum. Jina lake ni Godson mollel . Ni binamu yangu . R.i.p bro.

Uptodates
KWA WANA JF WA ARUSHA BRANCH WANAOPENDA KUMWAGA MWANA JF MWENZETU, MAREHEMU ATAAGWA LEO NA IBADA ITAFANYIKA KANISA LA KIMANDOLU KUANZIA SAA 5 ASUBUHI NA BADAE MAZISHI YATAFANYIKA MAKABURI YA FAMILIA NYUMBANI KWAO MAENEO YA NGULELO.
BWANA AMETOA BWANA AMETWA !
 
pole sana kwa msiba bucho
RIP Mollel!
 
mods cheki hilo jina ndo tutoe mi RIP kama kweli...
 
poleni sana wakuu,sasa ina maana anatembea na bastola risasi zikiwa chemba kabisa??kumbe mwanza balaa
 
Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma lakini ana makazi mwanza . Nyumbani hasa ni Arusha kwa ngulelo. Sijajua alikuwa anatumia username gani lakini ni mwanachama wa jamii forum. Jina lake ni Godson mollel . Ni binamu yangu . R.i.p bro.

Poleni sana, Shehena yenu ya JF t-shirts za kuvaa msibani mshaagiza?
 
sorry alituma ID gani? poleni wa msiba
 
Aisee. . .
RIP GM. . . Poleni sana kwa msiba Bucho.
 
poleni sana wakuu,sasa ina maana anatembea na bastola risasi zikiwa chemba kabisa??kumbe mwanza balaa

alisahau kulock ndo maana ikafetuka . Na alikuwa akiendesha gari kwa hyo ikapiga maeneo ya tumboni.
 
Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma lakini ana makazi mwanza . Nyumbani hasa ni Arusha kwa ngulelo. Sijajua alikuwa anatumia username gani lakini ni mwanachama wa jamii forum. Jina lake ni Godson mollel . Ni binamu yangu . R.i.p bro.

poleni sana
 
Ni kijana mdogo sana ana miaka 32 tu . Mnaweza mkamcheki kwa facebook kupitia jina hilo hapo. Username yake hakutaka kuniambia ila ni mwanachama hai wa jf nina uhakika asilimia 100.
 
Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma lakini ana makazi mwanza . Nyumbani hasa ni Arusha kwa ngulelo. Sijajua alikuwa anatumia username gani lakini ni mwanachama wa jamii forum. Jina lake ni Godson mollel . Ni binamu yangu . R.i.p bro.

dah supatol molel ni shemeji yangu...nilisikia kuhusu kulipukiwa na risasi kiunoni,na mara ya mwisho alikuja dar wiki iliyopita nikaenda kumpokea, kumbe lile ndio lilikuwa jicho la buriani,dah ni msiba mkubwa sana na imeniuma kupita kiasi angalau nisifute movie alizonipa alipokuja dar hii mara ya mwisho ili nibaki na kumbukumbu ya milele....dah ulale pema molel..
 
Back
Top Bottom