Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

Ni kijana mdogo sana ana miaka 32 tu . Mnaweza mkamcheki kwa facebook kupitia jina hilo hapo. Username yake hakutaka kuniambia ila ni mwanachama hai wa jf nina uhakika asilimia 100.
Wewe acha kutuletea utoto hapa, yaani umjuwe member wa JF na ni ndugu yako halafu usijuwe username yake? so whats the meaning of this!
Non sense.
 
Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma lakini ana makazi mwanza . Nyumbani hasa ni Arusha kwa ngulelo. Sijajua alikuwa anatumia username gani lakini ni mwanachama wa jamii forum. Jina lake ni Godson mollel . Ni binamu yangu . R.i.p bro.

hii khabari ninaitilia shaka sana kwa sababu yaani binamu yako usijue hata jina lake ndani ya JF?

very fishy? Sasa tutajuaje wasema ukweli au umejitungia tu......
 
Wewe acha kutuletea utoto hapa, yaani umjuwe member wa JF na ni ndugu yako halafu usijuwe username yake? so whats the meaning of this!

Non sense.
ts possible mana mtu ataki labda uione michago yake na awe huru, mbona mim nina rafiki zangu kibao na tunajuana kama tupo JF lakini kila mtu ajamwambia mwenzake username yake.
 
hii khabari ninaitilia shaka sana kwa sababu yaani binamu yako usijue hata jina lake ndani ya JF?

very fishy? Sasa tutajuaje wasema ukweli au umejitungia tu......

mkuu sio kila mtu anapenda ajulikane anatumia id gani kwasababu binafsi . Sina sababu ya kutunga uwongo ndg yangu .
 
He was my friend and my brother
Tumeishi wote mtaa mmoja kwa muda sana na tulifahamiana nae toka nikiwa nasoma O level
Mwenyezi Mungu akuweke mahali pema peponi my friend and brother Godson
Ni machungu yasiyoelezeka ambayo umetuachia na umeondoka mapema sana kaka
Ulikuwa ndo mti unaanza kuza matunda yake kwa familia na kwa marafiki
Tutakukumbuka sana my friend Godson
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yako mahali pema peponi
 
hii khabari ninaitilia shaka sana kwa sababu yaani binamu yako usijue hata jina lake ndani ya JF?

very fishy? Sasa tutajuaje wasema ukweli au umejitungia tu......
mbona ni rahisi sana jamani, unajua kitu ambacho kwako akiwezekani kwa mwenzako kinawezekana.
 
Wewe acha kutuletea utoto hapa, yaani umjuwe member wa JF na ni ndugu yako halafu usijuwe username yake? so whats the meaning of this!
Non sense.
Tulia mkuu in long run tutajua ukweli Mods wata search adress tupate jibu ni nani kwa ID yake!!!!!!!!!!!!!!
 
Poleni sana kwa msiba huu mkubwa. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Godson mahali pema peponi, amina!
 
nyie mnao doubt ivi kweli anaweza mzushia ndugu yake kifo?ili iweje?au hamtaki kuamini kuwa alikuwa jf member?
 
Wewe acha kutuletea utoto hapa, yaani umjuwe member wa JF na ni ndugu yako halafu usijuwe username yake? so whats the meaning of this!
Non sense.
Inawezekana asijue username. hata mimi kuna watu nawafahamu tunafanya nao kazi, na wengine ni rafiki zangu, najua ni members JF lakini sijui username zao, nao hawajui ya kwangu.............. ngoma droo...........
RIP Mollel
 
Poleni sana; tulikoko Mwanza tungeambiwa makazi yake ni mtaa upi tungeenda kujumuika na wananzengo. Mnatusaidiaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom