Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

Pole sana Godson Mollel!
Poleni sana wafiwa!
Tutaulizana sana na kuhoji kwanini alisahau kuweka usalama, au kwanini alikuwa na silaha, lakini mwisho wa siku ni kwamba rafiki yetu ameondoka kwa ajali hii!
Mungu alilaze pema peponi roho yale..amen!
 
Ngoja nijihakikishe kama ni yeye huyu Bwana nilishawahi kufanya naye kazi Barclays Bank kabla hajatoka na kwenda kufanya kazi TRA ngoja nipige simu kadhaa nitaujua ukweli.
 
Ngoja nijihakikishe kama ni yeye huyu Bwana nilishawahi kufanya naye kazi Barclays Bank kabla hajatoka na kwenda kufanya kazi TRA ngoja nipige simu kadhaa nitaujua ukweli.

utuletee na ID yake ya Jf........
 
Ngoja nijihakikishe kama ni yeye huyu Bwana nilishawahi kufanya naye kazi Barclays Bank kabla hajatoka na kwenda kufanya kazi TRA ngoja nipige simu kadhaa nitaujua ukweli.

ndio yeye mkuu kama ulishafanya kazi baclays bank arusha branch utakuwa unamjua.
 
Natamani sana kufahamu ID yake ya JF ..

R. I. P mpendwa ..
 
RIP Godson Mollel. Pole sana Bucho kwa kuondokewa na binamu yako
 
Pole sana Bucho na familia nzima kwa msiba wa ndugu yetu Godson Mollel. Mwenyezi mungu amuweke mahala pema peponi.

Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma lakini ana makazi mwanza . Nyumbani hasa ni Arusha kwa ngulelo. Sijajua alikuwa anatumia username gani lakini ni mwanachama wa jamii forum. Jina lake ni Godson mollel . Ni binamu yangu . R.i.p bro.
 
Pole sana kaka yangu. Mungu awape faraja ya kutosha. Nina marafiki wengi hata ID zao sizijui achilia mbali mwenza wangu na dada na kaka zangu.
Tukimjua kwa ID yake itakuwa vema sana.
 
Pole mkuu na mungu akupe faraja na roho ya marehemu ipumzike kwa amani
 
Hizi silaha nazo za kuzunguka nazo mitaani sijui tuite ni ushamba,anyway Rip mkuu.
 
Back
Top Bottom