Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma lakini ana makazi mwanza . Nyumbani hasa ni Arusha kwa ngulelo. Sijajua alikuwa anatumia username gani lakini ni mwanachama wa jamii forum. Jina lake ni Godson mollel . Ni binamu yangu . R.i.p bro.
aisee silaha hatari!!!!!!!!!!!!!!pole sana mkuu. R.I.P GM.
 
Rip G Mollel. Nataman ningejua ID yake.

Binafsi sipendi kabisa kumiliki silaha. Imani yangu inanisema kwamba Mungu aliponilinda, hata walinzi wakikesha wanafanya bure! Lakini ukitazama kwa uhalisia, silaha tunazoomba kumiliki ni za kuua binadamu wenzetu na si vinginevyo! Hilo nalo linanifanya nihofie kuimiliki maana kuua nalo ni tatizo! Nashauri sisi wenye maisha ya kawaida kama mimi ni vyema kumtanguliza Mungu na kujenga imani na ulinzi wake kwetu. Mambo mengine yataenda kwa kadiri ya mapenzi yake!

Marehemu kama ni wa hapa Arusha, nadhani tunaweza kupata updates na kupata nafasi ya kushiriki kumuaga mwenzetu.

Ni hayo tu!
 
Pole kwa
bucho,salito,jf na wote walioguswa na msiba huo.

Duh,naogopa bastola hata uniambia haina risasi!
 
wewe acha kutuletea utoto hapa, yaani umjuwe member wa jf na ni ndugu yako halafu usijuwe username yake? So whats the meaning of this!
Non sense.
mtu kama wewe ndio hutakiwi hata kuchangia pumba kama hii
grow up

kwani sasa hata ukijua username itakusaidia nini na umeanza na kinyongo kimekujaa kama vile alikuwa adui au weye ndio unajua yoteeee duniani

eti unauliza swali, kwa kweli shame on you.
 
Pole na msiba Bucho. Ila hii sijui polisi wanaiongeleaje, kwa kawaida bastola inakuwa na hostler yake kwenye mkanda wa sarawili na inaangalia chini. Nadhani nia hasa ni kama mlipuko ukitokea, miguuni ni sehemu salama zaidi. Hata hii AK47 siwezi kuibeba kuangalia juu. Lakini kufyatuka iishie tumboni?! Kunaweza kuwa na mbinu hapo, mnahitaji kuwa karibu na polisi pengine, ni mawazo tu. Poleni na kila la kheri.
Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .
 
Ahsante kutujuza, tuendelee na utamaduni huu huu yamkini wana JF wapo wengi wanaaga dunia lakini kwa kuwa ID zetu hazijulikani inakuwa MTIHANI
 
Vya moto vinawekwa karibu, lakini si karibu sana.

May all beings attain enlightenment.
 
mtu kama wewe ndio hutakiwi hata kuchangia pumba kama hii
grow up

kwani sasa hata ukijua username itakusaidia nini na umeanza na kinyongo kimekujaa kama vile alikuwa adui au weye ndio unajua yoteeee duniani

eti unauliza swali, kwa kweli shame on you.

^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^ ^^^^^^^^^^^^^^^^^^
sipendi matapeli wasiojua kutapeli yaani wanaotaka kunifanya mimi mjinga live kama waandika uongo mitandaoni na ukiwa katika maongezi nao
 
Kwa wana JF wa Arusha Branch wanaopenda kuja kumwaga mwana JF mwenzetu , marehemu ataagwa leo na ibada itafanyika kanisa kimandolu lutheran kuanzia saa 5 asubuhi na baadae mazishi yatafanyika nyumbani kwao maeneo ya ngulelo. BWANA AMETOA BWANA AMETWAA !
 
uchawi huu!!! au Ukenge kabisa!
afadhali ya kenge, huyo jamaa atakuwa ni huyu hapa
mongoose.jpg
 
  • Thanks
Reactions: RR
Back
Top Bottom