Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Uchaguzi umekamilika kwa rais na wabunge pia na madiwani kutangazwa japo dosari nyingi zinaonesha uchaguzi ulikosa fairness na transparent kiukweli naumizwa sana na watu wanaoleta ushabiki kwenye mambo yanayogusa maisha moja kwa moja sasa wapinzani bungeni hakuna na waliopo wapo kuitetea serikali zaidi kuliko wananchi ni muda wa kuisoma number we reap what we sow.
 
Kipindi cha corona walikimbia bungeni wakishinikiza nchi ipigwe lockdown bila kuzingatia madhara yatakayowakumba wananchi, wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa eti watu wanazikwa usiku, Magufuli alisimama na Mungu tukafunga na kusali kwa siku tatu Mungu akajibu maombi yetu.

Eventually magufuli anadeclare the country free of covid, yakapinga tena. Kampeni zimeanza, kwa kututhibitishia jinsi gani yalivyo na mtindio wa ubongo, tunayaona yakifanya mikutano ya hadhara bila hata kuvaa barakoa, hakika JPM deserved more than that.
 
Uchaguzi umekamilika kwa rais na wabunge pia na madiwani kutangazwa japo dosari nyingi zinaonesha uchaguzi ulikosa fairness na transparent kiukweli naumizwa sana na watu wanaoleta ushabiki kwenye mambo yanayogusa maisha moja kwa moja sasa wapinzani bungeni hakuna na waliopo wapo kuitetea serikali zaidi kuliko wananchi ni muda wa kuisoma number we reap what we sow.

Maisha ya moja kwa moja kivipi?
 
Back
Top Bottom