Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 4,843
- 13,120
Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!!
Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii
Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana
Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi.
Imagine unakuja kukamatwa chumbani kwako ukiwa umelala na mkeo, dharau kiasi gani?