Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
ISSA ndio YESU. Ni Mungu aliyekuja ktk mwili Ili awapeleke ktk uzima wa milele wote WAMWAMINIO. Vitabu vyote vinaeleza pia kuwa ALIKUFA na AKAFUFUKA. Vitabu vyote pia vinathibitisha ndiye atakayekuja KUUHUKUMU ulimwengu juu ya dhambi. Hivyo wote wanatakiwa WAMWAMINI Ili wawe salama, namaanisha Wapagani, wakristo, waislamu, wabudha, wasabato nk. Wakatoliki nk. USIPOMWAMINI YESU moto wa JEHANUM unakuhusu wewe mkristo, muislamu, mpagani mkatoliki nk
Issa sio Yesu.
 
Andiko linasema alizaliwa kisha akalazwa kwenye zizi la ng'ombe halisemi kazaliwa hapo kwenye zizi la ng'ombe.
Fafanuzi.
Baada ya wazazi wake kukosa mahali pa kulala nyumba zote za mji wa bethlehem zikiwa zimejaa hata nafasi isipatikane kwa wageni sababu ilikuwa wakati wa sensa nyumba zilikuwa zimejaa wageni toka miji mingine,nae uchungu ukampata hata asipate mahali,Yusuf mumewe akaomba hata zizi la kulaza ng'ombe.
 
Uko sahihi ndugu.

Yesu Kristo hakuongelea hayo maswala ya kuja kuoa anaongea
hivi.

Yohana 14:2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.

3 Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.

Yohana 6:40
Kwa kuwa mapenzi yake Baba yangu ni haya, ya kwamba kila amtazamaye Mwana na kumwamini yeye, awe na uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho.

Yesu atakuja siku ya mwisho.
Kufanya kama anavyo ahidi mwenyewe hapo juu.
Na alisema hayo kabla ya kuzaliwa Muhamadi, kabla ya kuandikwa Qurani na kabla ya kuwepo kwa Uislamu duniani.

{ Je hizo ndizo ahadi za Isa pia ?
Je isa ana Baba kama Yesu ? }

Kama mmeambiwa Isa ndiye Yesu ni wazi mmeongopewa na wala hamtaki kujiuliza ni kwa nini mnaendelea kuongopewa.

Inachojulikana kwa ushahidi wa wanazuoni wa kale wanasema uislamu ulianzishwa na mapadre watano walioasi ukatoliki wakipinga suala la kutoruhusiwa kuoa,ndio wao waliondika Quran kwa kuiga Yaliyomo kwenye biblia thus QURAN na Biblia yapo mafundisho yanafanana walichoweka ni kutofautisha kidogo mfano Yesu wakamuita Issa bin Marium,Yona- yunus,Ayubu- yakubu, nk.
 
Ndiye ndugu, wengi wa waislamu walipotoshwa mwanzoni nw wanaelewa. Ingia YouTube mfuatilie nabii Ilyas ni muislamu anafafanua quraan kuhusu issa
Sasa mbona maelezo ya Biblia na Quran hayawafananii.Mmoja atarudi ataoa,atazaa,atakuja kuivunja misalaba, atakuja kumfunga dajal,akija ndio dalili ya kiama.Kwingine kunaeleza atokanyaga ardhi ya Dunia ataishia juu mawinguni wateuliwe wake watamfata juu mawinguni kwenda kumlaki.Na tofauti ya masimulizi ya watu hao ni miaka 500 sasa tuamini kipi.
 
Inachojulikana kwa ushahidi wa wanazuoni wa kale wanasema uislamu ulianzishwa na mapadre watano walioasi ukatoliki wakipinga suala la kutoruhusiwa kuoa,ndio wao waliondika Quran kwa kuiga Yaliyomo kwenye biblia thus QURAN na Biblia yapo mafundisho yanafanana walichoweka ni kutofautisha kidogo mfano Yesu wakamuita Issa bin Marium,Yona- yunus,Ayubu- yakubu, nk.
Ndo nakwambia wapo wayahudi waliomkataa Yesu waliingiza upotoshaji huo na kuwadanganya waislamu juu ya YESU na ISSA. Bt nabii huyo amewaweka wazi waislamu. Izi ni siku za MWISHO. Hao wazushi ndo walioleta pia uongo Kwa wakatoliki kuabudu sanamu na uongo wa utatu mtakatifu.
 
Ndio maana nimekwambia kuwa wewe unaamini kilichoelezwa na biblia kuhusu Yesu ndio sahihi na ulitaka Qur'an imuelezee huyo Issa sawa na biblia ilivyomueleza Yesu ili ndio ukubali kwamba Issa ndio huyo huyo Yesu.

Tatizo lako ni dogo tu ni kwamba unaamini Yesu ni yule tu aliyeelezwa na biblia, ndio maana unasema aliyeelezwa kwenye Qur'an si Yesu kwa sababu kuna mambo yameelezwa tofauti japo ipo wazi kwamba anayekusudiwa ndio huyo huyo mmoja.
Kwani yasielezwe SAwa, mbona mengine yameelezwa sawa. Hoja ya ishu hii ni kukwepa USULUBIO wa Yesu Kristo, na Yesu asingesulubiwa pasingekuwepo na Ukristo.
 
Sasa mbona maelezo ya Biblia na Quran hayawafananii.Mmoja atarudi ataoa,atazaa,atakuja kuivunja misalaba, atakuja kumfunga dajal,akija ndio dalili ya kiama.Kwingine kunaeleza atokanyaga ardhi ya Dunia ataishia juu mawinguni wateuliwe wake watamfata juu mawinguni kwenda kumlaki.Na tofauti ya masimulizi ya watu hao ni miaka 500 sasa tuamini kipi.
Waliwaingizia mambo mengine ya uongo ikiwamo mambo ya UCHAWI wa kutumia kitabu. Ingia you tube andika Nabii Ilyas utaona.
 
Kwani yasielezwe SAwa, mbona mengine yameelezwa sawa. Hoja ya ishu hii ni kukwepa USULUBIO wa Yesu Kristo, na Yesu asingesulubiwa pasingekuwepo na Ukristo.
IPO ktk KITABU Chao sura ya 3 mstari 45 inaeleza
 
Waliwaingizia mambo mengine ya uongo ikiwamo mambo ya UCHAWI wa kutumia kitabu. Ingia you tube andika Nabii Ilyas utaona.
Hapa ndipo pameleta mkanganyiko kidogo, wapo waislamu wasioelewa hizo sura wamechanganya na shiriki. Hata albadili ni shirki, ndipo zikaingizwa nadharia za jini mzuri na jini mbaya kwa wengi, lakini waislamu walioelewa wanapinga hii hoja ya jini mzuri. Jini ni kiumbe kilichomuasi Mwenyezi Mungu na kimelaaniwa na tayari kishakula hukumu ya kuishi jehanamu milele iweje kiwe kizuri, hizi ni nadharia za washirikina kutaka kuhalalisha haya kwenye uislamu. Maana washirikina wapo dini zote.
 
Inachojulikana kwa ushahidi wa wanazuoni wa kale wanasema uislamu ulianzishwa na mapadre watano walioasi ukatoliki wakipinga suala la kutoruhusiwa kuoa,ndio wao waliondika Quran kwa kuiga Yaliyomo kwenye biblia thus QURAN na Biblia yapo mafundisho yanafanana walichoweka ni kutofautisha kidogo mfano Yesu wakamuita Issa bin Marium,Yona- yunus,Ayubu- yakubu, nk.
Iwe Wanazuoni wa Kikristo au Muhammadi.
Inaonesha kuna ukweli fulani aliyeandika Qurani ili kuifanya iwe Original from God basi lazima wayafanishe matukio na Wahusika wa kwenye Biblia.

Ila hawakuwa makini, ukisoma kwa ndani utaona kila Nabii waliye mwelezea wamepotosha maelezo yake kwa kiasi kikubwa sana.

Mfano lengo ya Yesu Kristo kuja duniani ni kuhubiri Injiri, kuteswa, kufa msalabani, kufufuka na kupaa Mbinguni hii ndio formula kuu ya Ukombozi wa Mwanadamu.

Mambo haya yametabiriwa na Manabii wa ktk Biblia kabla ya Yesu kuzaliwa.

Isaya ameandika kuhusu Mateso ya Yesu.
Tena ndiye aliyesema "kwa kupigwa kwake sisi tumepona "

Yesu mwenyewe alitamka mala nyingi tu kuwa inampasa akamatwe, ateswe, asulubiwe, AFE msalabani na siku ya tatu afufuke na kupaa Mbinguni.

Kufanana majina sio hoja.
Hata watu wengi tu wanafanana majina na tarehe za kuzaliwa lakini sio mtu mmoja.

Kuwa mtu mmoja ni kuwa na matukio na tabia sawa, na sio majina sawa.

Yesu hakuwawahi kuongea akiwa mtoto mchanga. Alikuwa na tabia kama za watu wa kawaida za ukuaji.

Mfano mzuri zaidi ni kutoka kwa Wayahudi wenyewe wanao mjua Yesu.
Wanakiri kuwa Yesu alipitia mateso kifo na ufufuo.

Maneno ya Manabii wa Kale, ya Yesu Mwenyewe na ya Ndugu zake Wayahudi yanafanana sawa kabisa.

Ila maneno ya Qurani yanatofautisha sasa hapa nani aaminike kuhusu matukio ya Yesu.

Qurani kuna mahali inasema ushahidi wa watu watatu ni bora kuliko wa mtu mmoja.

Yaani tuache kuwaamini Manabii wa Kale, Yesu mwenyewe na Ndugu zake Wayahudi tuje kumwamini Muhamadi ?

Awe ndio chanzo pekee cha historia ya Yesu Kristo ?
 
Walchukua UKWELI kdogo wakachanganya na uongo.
Huu ni msiba kwa dini zote kupotosha mafundisho. hata kwenye Ukristo mitume na manabii feki ambao wengi uenda kuzimu kupokea nguvu ya kufanya mazingaombwe makanisani ndio wamekuja na mafundisho ya Mfalme Daudi eti alicheza hadi akabaki uchi huu ni uongo mkubwa kabisa leo wameruhusu miziki na nyimbo za kumtukuza shetani makanisa zikiwemo hadi densi za kupromote ngono densi zisizo na staha kisha Daudi nguo ilimvuka. Inatakiwa waelewe sio kwamba mfalme Daudi alivua nguo Ili abaki uchi ila nguo ilimvuka. Kumvuka na kuvua ni vitu viwili tofauti kabisa. Pia hili la Mungu haangalii mwili bali roho nalo ni fundisho potofu kabisa limeingizwa makanisani na mitume na manabii sadaka ambayo asili yake ni ufreemason,hofu yao kuwaambia waumini wao ukweli juu ya mavazi watakosa sadaka. Leo wanawake wanamavaa uchi makanisani ikiwemo mavazi ya kuwatia watu kwenye dhambi ya uzinzi. Biblia imeeleza kabisa mavazi ya Mkristo yaweje. So upotoshi upo dini zao, wapo wanaolazimisha mambo ya ushirikina kwa kutumia QURAN na Biblia ikiwemo mambo ya mafuta, nk.
 
Hapa ndipo pameleta mkanganyiko kidogo, wapo waislamu wasioelewa hizo sura wamechanganya na shiriki. Hata albadili ni shirki, ndipo zikaingizwa nadharia za jini mzuri na jini mbaya kwa wengi, lakini waislamu walioelewa wanapinga hii hoja ya jini mzuri. Jini ni kiumbe kilichomuasi Mwenyezi Mungu na kimelaaniwa na tayari kishakula hukumu ya kuishi jehanamu milele iweje kiwe kizuri, hizi ni nadharia za washirikina kutaka kuhalalisha haya kwenye uislamu. Maana washirikina wapo dini zote.
Ushirikina mwingi sana umeingizwa katika Uislamu.

Urafiki na Majini
Kusujudia na Kulizunguka Jiwe Jeusi
Alama za Mwezi na Nyota
Kuswali kuangalia Al-Kaaba.
Kuwaheshimu miungu Lutta, Uzza na Manata.
Malaika maalum akina Maluta wa kufundisha Uchawi
Nk.
Nao wala hawataki kuhoji kabisa kuhusu hizo vitu.
 
Iwe Wanazuoni wa Kikristo au Muhammadi.
Inaonesha kuna ukweli fulani aliyeandika Qurani ili kuifanya iwe Original from God basi lazima wayafanishe matukio na Wahusika wa kwenye Biblia.

Ila hawakuwa makini, ukisoma kwa ndani utaona kila Nabii waliye mwelezea wamepotosha maelezo yake kwa kiasi kikubwa sana.

Mfano lengo ya Yesu Kristo kuja duniani ni kuhubiri Injiri, kuteswa, kufa msalabani na kupaa Mbinguni hii ndio formula kuu yavUkombozi wa Mwanadamu.

Mambo haya yametabiriwa na Manabii wa ktk Biblia kabla ya Yesu kuzaliwa.

Isaya ameandika kuhusu Mateso ya Yesu.
Tena ndiye aliyesema "kwa kupigwa kwake sisi tumepona "

Yesu mwenyewe alitamka mala nyingi tu kuwa inampasa akamatwe, ateswe, asyrubiwe, AFE msalabani na siku ya tatu afufuke na kupaa Mbinguni.

Kufanana majina sio hoja.
Hata watu wengi tu wanafanana majina na tarehe za kuzaliwa lakini sio mtu mmoja.

Kuwa mtu mmoja ni kuwa na matukio na tabia sawa, na sio majina sawa.

Yesu hakuwawahi kuongea akiwa mtoto mchanga. Alikuwa na tabia kama za watu wa kawaida za ukuaji.

Mfano mzuri zaidi ni kutoka kwa Wayahudi wenyewe wanao mjua Yesu.
Wanakiri kuwa Yesu alipitia mateso kifo na ufufuo.

Maneno ya Manabii wa Kale, ya Yesu Mwenyewe na ya Ndugu zake Wayahudi yanafanana sawa kabisa.

Ila maneno ya Qurani yanatofautisha sasa hapa nani aaminike kuhusu matukio ya Yesu.

Qurani kuna mahali inasema ushahidi wa watu watatu ni bora kuliko wa mtu mmoja.

Yaani tuache kuwaamini Manabii wa Kale, Yesu mwenyewe na Ndugu zake Wayahudi tuje kumwamini Muhamadi ?

Awe ndio chanzo pekee cha historia ya Yesu Kristo ?
True hata Ukisoma vitabu vya dini ya uyahudi agano la kale vimeeleza SAwa na ilivyo kwenye Biblia takatifu.Dini ya Uyahudi hawana vitabu vya Injili, wao hawaamini ktk Kristo. Wanaamini katika mitume na manabii.
Uandishi wa QURAN Ina shaka wao wanasema ilishuka toka juu. Wanazuoni wanauliza ilishuka kama kitabu kizima, hao waandishi walioshukiwa ujumbe utimamu wao upoje kama je waliandika mafundisho sahihi kama walivyopokea au walibadilisha.
 
Ndio maana nimekwambia kuwa wewe unaamini kilichoelezwa na biblia kuhusu Yesu ndio sahihi na ulitaka Qur'an imuelezee huyo Issa sawa na biblia ilivyomueleza Yesu ili ndio ukubali kwamba Issa ndio huyo huyo Yesu.

Tatizo lako ni dogo tu ni kwamba unaamini Yesu ni yule tu aliyeelezwa na biblia, ndio maana unasema aliyeelezwa kwenye Qur'an si Yesu kwa sababu kuna mambo yameelezwa tofauti japo ipo wazi kwamba anayekusudiwa ndio huyo huyo mmoja.
Basi muandishi wa QURAN hakuwa makini kuhusu ufananishi wa Issa na Yesu ikapelekea waonekane ni watu tofauti.
 
Back
Top Bottom