Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,547
Wafia dini.
Babu wa taifa
Alikataza udini na ukabila
Babu wa taifa
Alikataza udini na ukabila
Soma Aya ya 1 hadi ya 3.Unaweza kuwataja wengine?
Basi nimejibiwa na mwenzioWewe umeuliza WAISLAM tunachukuliaje yesu kuzaliwa Bila baba. Ndo mimi nimekujibu si jambo la kushangaza kwa kuwa mwanamke kuzaa ni jambo la kawaida. Ila kama angezaliwa na baba Bila mama hapo ndo tungepata mshangao.
Wafia dini.
Babu wa taifa
Alikataza udini na ukabila
Sawa mkuuusituharibie mjadala wetu.
hiyo sahihi ya zamani naiomba basi mkuu, maana hata nyie mmeambiwa muiamini.@Khantwe hakuna muislamu anaekataa biblia, ila inapingwa kwasababu ya kuongezewa aya za kishetani..
Biblia ilikuwa sahihi hapo zamani kwa asilimia 100% ila kwa sasa wameongeza na kupunguza maneno
Kumbuka ule mkutano uliofanywa kule ulaya kwaajili ya kupiga kura vitabu gani viwepo na gani visiwepo
Binadamu anazaliwaje pasi na baba?
Ni nani mwingine mnayem-address kwa ubin wa mamaake?
Kwa mantiki hii inadhihirisha hakuwa mwanadamu wa kawaida kabisa tunaweza kusema ni Mungu na kama sio kwanini?
hiyo sahihi ya zamani naiomba basi mkuu, maana hata nyie mmeambiwa muiamini.
kama hamna sahihi unatumia kigezo gani kusema hii ambayo hata nyie mmeikuta sio sahihi wakati hama iliyo sahihi.
mkuu hujagundua hii ni propaganda hadi leo.
tena cha ajabu duniani kote badala ya kitumia hiyo sahihi mnatumia hihii mnayoiponda kujengea hoja za kuutetea uislam ndani ya bibilia
Mantiki ni neno au wazo linalosaidia kufikia muafaka wa jambo kama ni la kweli au la!Unaweza kunipa tofauti kati ya mantiki na maana ?
Sisi waislamu tunajua ya YESU alikuwa ni binadamu wa kawaida na kuzaliwa kwake yeye ni kuonyesha ujuzi wa Allah aliye juu katika uumbaji,kwahiyo wewe unae sema hakuwa binadamu wa kawaida kisa kazaliwa na mama pekee,ndio utuambie ukiacha kuzaliwa na mama pekee,jambo ambalo amelifanya Allah kipi kinachomfanya asiwe ni binadamu wa kawaida ?
Kutokuwa kawaida kunaondolewa na nini ?
asante mama, umekuja vizuri.Hata Yesu mwenyewe hajawahi kumuita Yusuf "baba".
Naomba niongezee na ukimuamini Kristo unatoka kabisa kwenye uzao wa Adam wa kwanza ambao ni wa mauti unakuja kuwa mwana wa Kristo ambako hakuna mauti ni neema tuasante mama, umekuja vizuri.
Baba yake Yesu ni nani?
kama hana baba Sio Mtu na anatoka kabisa katika mnyororo wa wanadamu unaoanzia kwa adam.
He is not human being biologically.
sasa ni nani?
Yohana Moja inasema ni Mwana wa Mungu ambaye ni Mungu aliyeacha utukufu akaja kwa njia hiyo ya Bila Baba maana Baba anaye tayari hukomMbinguni.
Na hukommbinguni kwa kuwa hakuna kuoana Anaposema ni Mwana wa Mungu na Mungu kuwa Baba yake ni kwa mifumo ya Mimbingu ambayo iligoma yeye kuja kupitia Biological father.
nawapongeza waislam kujua Yesu hana Baba wa kibinadamu, Maana Yeye ni Mungu mwana.
Na Baba yake kwa kujua mtakuja watu kama nyie, siku anabatikwa akatangaza waziwazi huyu ni mwanangu mpendwa.
Na kuonyesha ni tofauti na wanadamu ambao nao huwaita wanawe. Yeye alikuwepo siku zote hata kabla ya babu Ibrahim, na pasipo Yesu hakuna hata adamu asingefanyika.
Kuna haja ya Kuanza sasa kumuheshimu upya mkuu. Nadhani naeleweka
Kuna jambo zito sana nyuma ya Yesu sio sio kitu cha kawaida, hata waislam watiifu wanaposoma bibilia na quran linawachanganya.Mantiki ni neno au wazo linalosaidia kufikia muafaka wa jambo kama ni la kweli au la!
Sasa kwa mantiki yako ile huoni kama Yesu hakuwa kiumbe wa kawaida kuna jambo kubwa sana juu yake?
naunga mkono hoja.Naomba niongezee na ukimuamini Kristo unatoka kabisa kwenye uzao wa Adam wa kwanza ambao ni wa mauti unakuja kuwa mwana wa Kristo ambako hakuna mauti ni neema tu
Umekuja na hekaya tofauti kabisa na nilichokuuliza.Kwani anae zaa ni baba au mama ?
Unajua kwanini ISSA ana nasibishwa kwa mama ake ?
YESU amezaliwa hakuzaliwa ?
Tupo hapa kwa ajili ya kuongeza ufahamu tu so kuwa na amani ustadhiSoma Aya ya 1 hadi ya 3.
Yesu sio wa kwanza kuzaliwa Bila baba.
Kwa hyo acheni KUJIDANGANYA View attachment 1138216
Baba yake Adam aliitwa nani vile?Naomba mtume mwingine aliyeAliwa hivyo?
Naomba zaidi ya Yesu mwanadamu aliyezaliwa bila Baba.
Hata Yesu hasemi Yusufu ni Baba Yake, ila yeye sio Wa ulimwengu huu.Yusufu ni Baba Wa kulea.
Hivyo chanzo cha Yesu sio Mariam ,Mariam ni njia tu
adam ndie baba wa watu. labda niseme baba yake ni udongo labda unielew.Baba yake Adam aliitwa nani vile?
Hawa mama yake nani?adam ndie baba wa watu. labda niseme baba yake ni udongo labda unielew.
naomba baba yake yesu Vinginevyo sio mtu ukikoswa maelezo, maana wanadamu wote ambao wa kwanza ni ibrhm wanajulikana wanavyopatikanw