Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Adamu asie kuwa na baba wala mama,na yeye sio mtu ?

Halafu Mola wetu anaumba anavyotaka,ndio maana akamuumba ADAMU bila baba wala mama na YESU akamuumba kwa mama tu.
Adamu sio mtu tu, bali mtu wa kwanza, hakuanza na baba na mama ila yeye na mke wake ndio waliumbwa baba na mama. Ndio maana hawakuumbwa watoto bali watu wazima waliokomaa.
Yesu sio Kiumbe, Bali ni Mwana wa Mungu aliyefanyika kiumbe mwanadamu na kisha kurudi katika enzi yake kama alivyo kuwa kabla hajafanyika kwa njia ya mariam.

Kama hana baba basi tunamtoa kwenye mfumo wa ubinadamu. hii unaelewa ila unajitoa fahamu tu
 
Wanajipendekeza tu, Issa bin Maryam sio Yesu Kristo Mwana Wa Mungu

Kama ilivyo Biblia sio Quran wala Uislam sio Ukristo!

Kila mmola akiridhika na imani yake hakutakuwa na shida tena!
kuna uwezekano habari za issa ni distorted vesrion ya habari za Yesu.
Maana zilikuwpo hata kabla ya uislma.
wakibaki na hiyo dhana unadhani utawasaidiaje wamrudie Yesu mwenyewe badala ya huyu ambaye maelezo yake yanapwaya kwa kitabu kile.

Ila yote yakifanyika kwa kuvumiliana bila kukashifiana wala kugombana maana wote ni mzao wa adam osipokuwa Yesu aliyefanyika mwanadamu maana sio mtu au kiumne ni muumba. Yohana 1:1-3
 
ADAM TUMEAMBIWA WAZI WALIUMBWA KWA UDONGO. ORGIN YA WANADAMU.
AKAWAAMBIA WAZAE NA KUONGEZEKA WANADMU WENZAO. HAKUNA KWANADAMU AKATOKEA KWA MFUMO HUO TENA.
ILA YESU ANASEMA '' NILISHUKA'', NILIKUJA'' SIO NILIZALIWA NA MALIAMU. MARIAM ALIKUWA NJIA TU MKUU.

YESU NI KITUNCHA ZIADA NJE YA MWANADAMU. WAISLAM HAWANA JINSI INABIDI WAKUBALIANE NA YOHANAN 1
KUWA YESU NI MUNGU
kwa hyo unataka kusema mariam hakusikia uchungu kama wanawake wengine?
 
Mimba yake inamuhusisha mzazi mmoja ambaye ni MAMA YAKE.
kwanini asiitwe ubin wa mama yake?
Kwani kuna ubaya Gani?
issa bin mariam maana yake YESU MTOTO WA MARIAM.
angekuwa yesu ni mwanamke angeitwa ISSA BINT MARIAM.
Yaani ISSA MTOTO WA MARIAM.
Shida ipo wapi hapo?
Mbona unauliza sana kuwa shida uko wapi?

Ni wapi Mimi niliposema kuwa kuna shida?

Lengo lilikuwa kuelewa tu kwanini anaitwa hivyo.

Na je mnaamini kuwa Baba yake ni nani?
 
Yeye anasema alikuja sio alizaliwa. Kuzaliwa ilikiwa ni jinsi ya huyu Emmanuel (Mungu pamoja na wanadamu) anaweza kuwafikia.
Sasa mariam anabadilika kiwa njia tu ila sio source na hakuna hata link za kiDNA maana mfumo wake ni extraterestrial.

Unasikitisha sana. Unazo taarifa za DNA za YESU kwamba hazina mahusiano na za MARIAMU ? Mbona unakuwa mjinga kiasi hicho ?

Unajua kaz ya kupuliza roho huwa anaifanya nani ?

Vipi binadamu ana zaa paka au anazaa binadamu mwenzake ?

Nani anasema alikuja ? Kama alikuja kwani kuja kwake hakuoyeshi kama hajazaliwa ?
 
Wewe umeuliza WAISLAM tunachukuliaje yesu kuzaliwa Bila baba. Ndo mimi nimekujibu si jambo la kushangaza kwa kuwa mwanamke kuzaa ni jambo la kawaida. Ila kama angezaliwa na baba Bila mama hapo ndo tungepata mshangao.
Asante kwa jibu,japo hujaelewa nilichouliza
 
kama Hoja ni Yesu Kuzaliwa Bila Baba Ndiyo Sababu Ya Kuwa MUNGU, je! Adamu Ambae Hana Mama Wala Baba Nae Tumuiteje?.
adqmu ndiye source ya mwqnadamu ndio baba wa kwanza.
ni kama unaulizia baba yake na chanzo cha mto ni nani. wakati umeumbiwa chanzo hapohapo na flow yote chanzo chake ni hapo eden.

Ila Yesu hayumo kabisa kwenye huo mfumo ndi maana jamaa wanachanganyikiwa inabidi baba yake waite ni mariam maana wakisema Ni Mwana wa Mungu ambaye sio mtu wanakuwa wakekana imani yao kuwa Yesu sio Mungu.
 
Kuzaliwa kwa namna isiyo ya kawaida, sio sababu ya kukifanya icho kiumbe ni Mungu[emoji4]
Yeye sio Kiumbe mkuu ndio maana naomba unisaidie Source yake ni Ipi.
Maana hasemi nimetokana na mariam anasema '' nimeshuka kitoka juu''.
Mariam ni ngazi tu ya yeye kupitia atufikie.

Ndio maana Yohana anasema sio kiumbe ni Muumba. Na sio muumba tu hakuna kitu chochote kilichofanyika pasipo yeye. sio kiumne Yule. Kiumbe kipotee kiokolewe na kiumbe chenzake huku shetani anaangalia haiwezekani, ilibidi devine entity ije kuokoa ilichokiumba.

hata sasa tunaonges Yuko hai anakuangalia tu unavyosoma akisikitika kwa nini hawa vijana hawanielewiiii
 
Huyo hajawahi kuwa na baba.
ni miongoni mwa miujiza ya mwenyezi mungu. Na sio yeye TU ambaye amezaliwa Bila baba wapo wengi
Mbona unauliza sana kuwa shida uko wapi?

Ni wapi Mimi niliposema kuwa kuna shida?

Lengo lilikuwa kuelewa tu kwanini anaitwa hivyo.

Na je mnaamini kuwa Baba yake ni nani?
 
Ebu soma Aya ya 20.
Alafu uniambie wachungaji walimsifu mungu gani. Wakati yesu alikuwa mtoto? View attachment 1138123
Baba Yake.
Mungu ni Taasisi itoayo uhai ambayo inacomprise Baba, Mwana (Yesu) na Roho mtakatifu.
Huo ni umoja usiobagulika wala kutengana. ni tukio la Yesu kuja tu kidogo lilileta utengano ingawa alikuwa akimuomba baba muda wote maana alikuja bila ule utukufu. Na aliokuwa anaelekea kuutoa uhai wake ili aje auchukue tena siku ya jumapili alilia sana maanankwa kipindi anatengana na mfumo.

Ndio maana kuna maali alipaza sauti akasema '' Babaaaaa unitukuze kwa ule utukufu ambao nilikuwa nao kabla''.

hata haya waislam nguvu zangu hawataki kabisa kuelewa.
 
Kwetu sisi waislamu Yesu(Issa) kazaliwa pasi na baba,ndio maana ubini wake unarudi kwa mama,na kuitwa ISSA MWANA WA MARIAM.
Binadamu anazaliwaje pasi na baba?

Ni nani mwingine mnayem-address kwa ubin wa mamaake?
 
Waislam wenye dini hawanauwezo wa kujibu maswali ya kama haya. Wao wanajua kupulizwa tu. So ukiwaambia maswala ya kupulizwa aaah watakujibu vizuri.
 
Nani amekwambia Yesu baba ake ni Yusufu ? Sasa ndio utuambie Yesu baba ake Yusufu kimalezi au kinasaba ? Na kama kinasaba utupe ushahidi.

Kwetu sisi waislamu Yesu(Issa) kazaliwa pasi na baba,ndio maana ubini wake unarudi kwa mama,na kuitwa ISSA MWANA WA MARIAM.
Kwa mantiki hii inadhihirisha hakuwa mwanadamu wa kawaida kabisa tunaweza kusema ni Mungu na kama sio kwanini?
 
Kwa hyo unataka kutuaminisha kuwa yesu ni mungu. Hapo hapo ni mwana wa mungu?
Baba Yake.
Mungu ni Taasisi itoayo uhai ambayo inacomprise Baba, Mwana (Yesu) na Roho mtakatifu.
Huo ni umoja usiobagulika wala kutengana. ni tukio la Yesu kuja tu kidogo lilileta utengano ingawa alikuwa akimuomba baba muda wote maana alikuja bila ule utukufu. Na aliokuwa anaelekea kuutoa uhai wake ili aje auchukue tena siku ya jumapili alilia sana maanankwa kipindi anatengana na mfumo.

Ndio maana kuna maali alipaza sauti akasema '' Babaaaaa unitukuze kwa ule utukufu ambao nilikuwa nao kabla''.

hata haya waislam nguvu zangu hawataki kabisa kuelewa.
 
@Khantwe hakuna muislamu anaekataa biblia, ila inapingwa kwasababu ya kuongezewa aya za kishetani..

Biblia ilikuwa sahihi hapo zamani kwa asilimia 100% ila kwa sasa wameongeza na kupunguza maneno

Kumbuka ule mkutano uliofanywa kule ulaya kwaajili ya kupiga kura vitabu gani viwepo na gani visiwepo
Bwana mkubwa tuwekee hapa hizo aya zilizobadilishwa na zimekuwaje hivi sasa tafadhali
 
Back
Top Bottom