mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,762
Zurri
Mkamuita Issa ibn Mariam badala ya Issa Ibn Yusuf ambaye angalau ni baba mzazi. Kitendo cha kumuita Bin Mariam hamuoni mnakubaliana na Yesu kuwa Yeye sio wa dunia hii wala chanzo chake sio Mariam, Mariam ilikuwa kama daraja la kuwafikia wanadamu.
Huoni hapo kuna jambo mnalificha nmalijua. Kuwa Yule hakuwa binadamu wa kawaida hivyo ni makosa kumnasibisha na Baba yake wa kuf