Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Kwani baba yake Adam na hawa unawajua?
KwaMujbu wa ndugu zetu waislam Yesu ni mtu tu kamaibrahim . ndio tunahoji hapa kama ni mtu kwa nini baba awe mariam? Angalau basu awe issa IBn Yusuf baba mlezi.

Allah anasema baba mzazi ya issa ninani? Kama hana Baba basi sio mtu huyo, mariam ilikuwa ni njia tu
 
Na hapa ndo mnaanza kumkubali Roho Mtakatifu

Unamjua ROHO anayezungumziwa na waislamu ? Huyu hapa ?

16. Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki.
17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.
18. (Maryamu) akasema: Hakika mimi najikinga kwa Mwingi wa Rehema aniepushe nawe, ukiwa ni mchamngu.
19. (Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako Mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliye takasika.
20. Akasema: Nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba?
21. (Malaika) akasema: Ndio hivyo hivyo! Mola wako Mlezi amesema: Haya ni mepesi kwangu! Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na Rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo lilio kwisha hukumiwa.
22. Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali.
23. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
24. Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!
25. Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.
26. Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu.
27. Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!
28. Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.
29. Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi. (Mariam : 16-29)

Huyo ndio ROHO na huo ndio uzao wa YESU.
 
KwaMujbu wa ndugu zetu waislam Yesu ni mtu tu kamaibrahim . ndio tunahoji hapa kama ni mtu kwa nini baba awe mariam? Angalau basu awe issa IBn Yusuf baba mlezi.

Inaonekana huwa hufikiri,kama mtoto amezaliwa bila babau,ulitaka aitwe kwa ubini wa nani ?

Na nani amekwambia MARIAMU ni baba ? Hivi huwa unawaza kwa kutumia nini ?

Hivi kwanini hamshangai kuhusu ADAMU ambaye ameumbwa pasi na baba wala mama,mnajadili yule ambae ametokana na mama tu ? Hivi kati ya mawili hayo lipi linastahiki kushangaa ?
 
Mtume, wake zake, rafiki zake wote na waislam wote huitwa kwa ubin Wa baba. Hata wote kwenye taurat,zabur,injil, hakuna anayetumia jina la mama.
Mfano Juma Bin Said.

Kwa nini Sio Issa Bin Yusufu?

Je mnakubali kisirisiri kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja kupitia Marian na sip trndo la ndoa kati ya Mariam na Yusufu?
Wanajipendekeza tu, Issa bin Maryam sio Yesu Kristo Mwana Wa Mungu

Kama ilivyo Biblia sio Quran wala Uislam sio Ukristo!

Kila mmola akiridhika na imani yake hakutakuwa na shida tena!
 
Nani amekwambia Yesu baba ake ni Yusufu ? Sasa ndio utuambie Yesu baba ake Yusufu kimalezi au kinasaba ? Na kama kinasaba utupe ushahidi.

Kwetu sisi waislamu Yesu(Issa) kazaliwa pasi na baba,ndio maana ubini wake unarudi kwa mama,na kuitwa ISSA MWANA WA MARIAM.
Kuna binadamu asiye na baba? Hebu fafanua vizuri hapo
 
Baba yake ni yusuph au mungu?
Mbona mnatuchanganya nyie wakristo.
Sisi tunafahamu kwamba Yesu hakuzaliwa kwa namna ya kawaida inayofahamika kwa kuwa ni Mungu. Sasa tunawauliza wanaosema sio Mungu kwa nini basi yanamuita kwa jina la mama yake na sio la mume wa mama yake?
 
Unamjua ROHO anayezungumziwa na waislamu ? Huyu hapa ?

16. Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki.
17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.
18. (Maryamu) akasema: Hakika mimi najikinga kwa Mwingi wa Rehema aniepushe nawe, ukiwa ni mchamngu.
19. (Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako Mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliye takasika.
20. Akasema: Nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba?
21. (Malaika) akasema: Ndio hivyo hivyo! Mola wako Mlezi amesema: Haya ni mepesi kwangu! Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na Rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo lilio kwisha hukumiwa.
22. Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali.
23. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
24. Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!
25. Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.
26. Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu.
27. Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!
28. Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.
29. Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi. (Mariam : 16-29)

Huyo ndio ROHO na huo ndio uzao wa YESU.
17. Tukampelekea Roho wetu, HAWA wengi walikuwa kina nani maana inaonesha walikuwa mobu kubwa , Yesu na huyo issa sio wamoja wapo tofauti kabisa,
 
Naomba mtume mwingine aliyeAliwa hivyo?
Naomba zaidi ya Yesu mwanadamu aliyezaliwa bila Baba.

Hata Yesu hasemi Yusufu ni Baba Yake, ila yeye sio Wa ulimwengu huu.Yusufu ni Baba Wa kulea.

Hivyo chanzo cha Yesu sio Mariam ,Mariam ni njia tu
kama Hoja ni Yesu Kuzaliwa Bila Baba Ndiyo Sababu Ya Kuwa MUNGU, je! Adamu Ambae Hana Mama Wala Baba Nae Tumuiteje?.
 
yesu anaweza akawa mungu. Lakini sio MWENYEEZI MUNGU.
miungu ipo mingi sanaaa.
Hapa duniani
Sisi tunafahamu kwamba Yesu hakuzaliwa kwa namna ya kawaida inayofahamika kwa kuwa ni Mungu. Sasa tunawauliza wanaosema sio Mungu kwa nini basi yanamuita kwa jina la mama yake na sio la mume wa mama yake?
 
Sisi tunafahamu kwamba Yesu hakuzaliwa kwa namna ya kawaida inayofahamika kwa kuwa ni Mungu. Sasa tunawauliza wanaosema sio Mungu kwa nini basi yanamuita kwa jina la mama yake na sio la mume wa mama yake?
Kuzaliwa kwa namna isiyo ya kawaida, sio sababu ya kukifanya icho kiumbe ni Mungu[emoji4]
 
Ebu soma Aya ya 20.
Alafu uniambie wachungaji walimsifu mungu gani. Wakati yesu alikuwa mtoto?
Mbona hamjibu swali
Screenshot_2019-06-25-12-13-27.jpeg
 
Mnashangaza sana mnaikataa biblia halafu mnaitumia kujibu maswali
@Khantwe hakuna muislamu anaekataa biblia, ila inapingwa kwasababu ya kuongezewa aya za kishetani..

Biblia ilikuwa sahihi hapo zamani kwa asilimia 100% ila kwa sasa wameongeza na kupunguza maneno

Kumbuka ule mkutano uliofanywa kule ulaya kwaajili ya kupiga kura vitabu gani viwepo na gani visiwepo
 
Ngoja nicheke kwanza 😀 😀 😀 😀 😀

Yaani kwa sababu hakuitwa bin Yussuf ndio maanake waislam wanaamini yesu ni mungu kisirisiri? Labda nkuulize imehusiana vipi ukisemacho na ubin wa Isa?

Katika Quran: Mungu Hakuzaa wala Hakuzaliwa.
 
Back
Top Bottom