Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
According to both sources, Paul was not a follower of Jesus and did not know him before his crucifixion. Paul's conversion occurred after Jesus's crucifixion. sasa hayo aliyoandika katoa wapi?
Paul hakuwa moja Kati ya wanafunzi wa yesu lakini alikuwepo wakati huo na mafundisho ya Paul juu ya uungu wa yesu hayakuwa tofauti na ya mitume 12 wa yesu ambao wote waliamini katika kufufuka kwa yesu, hakuna Kati ya mitume wote wa yesu ambaye aliamini katika uislamu wote waliamini kuwa yesu ni mwana wa mungu alikufa na kufufuka siku ya tatu na atarudi Tena.

Paulo na mitume wa yesu waliishi wakati mmoja ndio maana ukisoma matendo ya mitume unaona Paulo akizungumza na kina Petro.
Paul alipewa jukumu la kusambaza habari njema za ufalme wa mungu kwa mataifa (yaani wasio wayahudi).
Vitu vyote hivi vinashuhidiwa na vitabu mbalimbali vya kipindi hicho vikiwemo vya kihistoria na findings mbalimbali za kisayansi.

On the other hand Habari za Issa zinatoka na Quran na hadithi za Muhammad ambaye aliishi uarabuni, 600 years baada ya yesu ambaye hakuwahi kukutana na mitume wa yesu. Isitoshe zinakinzana na Habari za mitume wa yesu.
 
Uungu wa Yesu.....Yesu ni mwana wa Mungu!!!!!!

[emoji848]
 
Ninachoipendea Biblia takatifu ni kuwa inaeleza kwa mpangilio mwanzo Hadi mwisho wa Kila kitu kwa mpangilio.

Kuanzia binadamu anapoumbwa, anapoanguka na kuingia dhambini then mungu anampatia
Adhabu kuwa hakika utakufa lakini kutokana na upendo wake anakuwa na plan ya ukombozi
ambayo kuanzia kitabu Cha mwanzo anamuaidi Eva kuwa katika uzao wako atatokea mkombozi ambaye atamkanyaga yule nyoka kichwani naye atamuuma mguuni huo ndio unabii wa kwanza kumuhusu huyo mkombozi. Akimaanisha yule nyoka aliyemsababisha adamu na Hawa kutenda dhambini(shetani) atashindwa na uzao wa Eva ambaye katika atamshinda kwa kumkanyaga kichwani lakini pia nyoka atamuuma mguuni yaani atamjeruhi. Hii ilikuja kutimizwa na Yesu ambaye aliishinda dhambi baada ya kusulubishwa pale msalabani

Baada ya hapo tunaona vitabu vingine vya Biblia vilivyofuata vikielezea kwa habari za huyo Messiah kupitia maisha ya manabii mbali mbali kama na watu mbali mbali kama kina Ibrahimu ambaye aliambiwa ajaribu kumtoa kafara mwanaye wa pekee Isaka ambayo inaakisi kitendo ambacho mungu baba atakwenda kukifanya ambacho ni kumtoa sadaka mwanaye wa pekee ambaye ni Yesu kristo.

Vivyo hivyo story kama za kina Yusufu ukiangalia ulinganifu wa stori ya Yusufu mpaka alivyosalitiwa na ndugu zake kwa vipande vya fedha Tena aliyetoa wazo Hilo ni mmoja wa watoto wa yakobo aliyeitwa Yuda, jinsi Yusufu alivyoshitakiwa mashtaka ya uongo na yule binti wa tajiri wake na jinsi gani mungu at the end anampatia ufalme wote wa misri kama ambavyo atakavyompatia Yesu kristo utawala wote na hukumu. Hii stori ilikuwa ni inaakisi habari za Messiah lakini kupitia maisha ya Yusufu.

Stori ya Musa toka kuzaliwa kwake na ile amri ya kuua watoto wote wa kiume ilivyotolewa na farao kama ilivyokuwa kwa Yesu ilivyotolewa na herode, jinsi gani wana wa Israel walivyokombolewa kutoka Egypt siku ile ya pasover yeyote ambaye hakupaka damu kwenye mlango wake hakika angekufa, kupitia ile damu walihesabiwa haki kama ambavyo kupitia damu ya yesu tunakombolewa. Yesu alikuja kusulubiwa miaka elfu kadhaa baadaye kipindi hicho hicho Cha pasaka. Stori ya Mussa ni story ya ukombozi inayomuelezea mesiah kupitia maisha ya Mussa na wanaisrael.

Yona kukaa tumboni mwa samaki kwa siku tatu sio hadithi ya kufurahisha. Nayoinaonyesha jinsi gani yesu atakavyokufa na kukaa kaburini kwa siku tatu. Wanawaisrael walipomuomba Yesu awaonyeshe ishara kuwa yeye ndiye mesiah aliwaambia hatawaonyeshabishara isipokuwa ishara ya Yona kwa kuwa Yona alikaa tumboni siku tatu ndivyo hivyo yampasa mwana wa adamu kufa na kufufuka siku ya tatu.
 
Yesu alizaliwa mwaka, mwezi na tarehe gani ?
What's matter tarehe, mwezi na mwaka unatumia kwa sasa ni kwa mujibu wa Yesu ndio tukaanza kuhesabu

Swali la ufahamu
Muhammad alizaliwa mwaka ,mwezi na tarehe gani? Weka na uthibitisho wa kimaandiko
 
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Paulo muongo hapo Yesu anamuomba Mungu gani kama yeye ndio Mungu mkuu

Tena hapo Yesu amesujudu yani paji lake la uso limegusa aridhi hilo neno (kuanguka kifulifuli ) limewekwa ili kukuzugeni nyinyi wagalatia

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
‘Muhammad namlinganisha na mti, sasa matunda yake yakiwa mazuri sina ubishi nitamfuata, lakini yakiwa ni matunda kinyume na hayo nitamhesabu kama nabi iwa uongo’.

Je, katika Qurani Allah wa waislamu na Muhammad anasemaje?

Qr. 112 au surat Al-Ikhlas’
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
Hakuzaa wala hakuzaliwa.
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

Qr. 19 au surat Maryam 35
Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanau, Yeye ametakasika! Anapolihukumia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa.

Huyu ni mungu tofauti na Mungu wa mbinguni ambaye jina lake ni Yehova! na tukilinganisha na yale maandiko ya Mathayo na waraka wa kwanza wa Yohana ukweli uko wazi kama huyu hatokani na Mungu na kwamba huyu ni Anti-Kristo! Kwani Biblia inasemaje ?

1Yohane 2:22-26,
Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana. Kila amkanaye Mwana, hanaye Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia. Ninyi basi, hilo mlilolisikia tangu mwanzo na likae ndani yenu. Ikiwa hilo mlilolisikia tangu mwanzo linakaa ndani yenu, ninyi nanyi mtakaa ndani ya Mwana, na ndani ya Baba.
Na hii ndiyo ahadi aliyoyuahidia, yaani, uzima wa milele.
Nimewaandikia haya katika habari za watu wale wanaotaka kuwapoteza.

Wakolosai 1:13-15,
Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake; ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi; Naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
 
Mathayo 5:20
Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.

KWELI NYINYI MNADANGANYWA YANI HAPO NDIO MMEFUNDISHWA KUWA YESU ANAWASIFIA MAFARISAYO?

KWELI NYINYI MNA YESU WENU MWINGINE NA SIO HUYU YESU MTOTO WA MARYAM ALIYEPEWA INJILI

INAONEKANA UNAJUA SANA KUTAFSIRI INJILI NA KUWALINDA MAADUI WA YESU HAYA TAFSIRI NA HAPO KUANZIA 16:1

Mathayo 16:1
Wakamjia Mafarisayo na Masadukayo, wakamjaribu, wakamwomba awaonyeshe ishara itokayo mbinguni.
Mathayo 16:2
Akajibu, akawaambia, [Kukiwa jioni, mwasema, Kutakuwa na kianga; kwa maana mbingu ni nyekundu.
Mathayo 16:3
Na asubuhi, mwasema, Leo kutakuwa na dhoruba; kwa maana mbingu ni nyekundu, tena kumetanda. Enyi wanafiki, mwajua kuutambua uso wa mbingu; lakini, je! Ishara za zamani hizi hamwezi kuzitambua?]
Mathayo 16:4
Kizazi kibaya na cha zinaa chataka ishara; wala hakitapewa ishara, isipokuwa ishara ya Yona. Akawaacha, akaenda zake.

Mathayo 16:6
Yesu akawaambia, Angalieni, jilindeni na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipokuwa nikichunguza kitabu cha historia ya Muhammad, kwa umri wake wa miaka 12 alikwenda na Abu Talib baba yake mdogo huko Shamu (Syria) kwa safari ya biashara, njiani wakakutana na mwanamume nabii wa kikristo ambaye jina lake alikuwa ni Bahirah naye akatowa unabii kuhusu Muhammad kwa maneno haya:

« Ewe Abu Talib;
Mtunze vema mtoto huyu kwa maana naona alama za umaarufu kwa mtoto huyu katika siku zake za usoni naye atapata kazi ya kumtumikia Mungu.»

Ni katika kitabu cha Maisha ya mtume Muhammad, ukurasa namba 4. Swali ni hili, lini nabii wa kikristo akatabiri uislam? Jibu ni hapana sababu neno la unabii kutoka kwa Mungu haliwezi kamwe kutabiri imani kinyume na Mungu na Kristo mwana wake wa pekee!

Mithali 8:7-9
«Maana kinywa changu kitasema kweli, Na uovu ni chukizo kwa midomo yangu. Maneno yote ya kinywa changu yana haki; Hapana hata neno lililopotoka au la ukaidi. Yote humwelea Yule afahamuye, Yote huelekea mbele yao waliopata maarifa.»

2Petro 1:20-21
« Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu. maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.»
 
Mathayo 5:20
Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.

KWELI NYINYI MNADANGANYWA YANI HAPO NDIO MMEFUNDISHWA KUWA YESU ANAWASIFIA MAFARISAYO?

KWELI NYINYI MNA YESU WENU MWINGINE NA SIO HUYU YESU MTOTO WA MARYAM ALIYEPEWA INJILI

INAONEKANA UNAJUA SANA KUTAFSIRI INJILI NA KUWALINDA MAADUI WA YESU HAYA TAFSIRI NA HAPO KUANZIA 16:1

Mathayo 16:1
Wakamjia Mafarisayo na Masadukayo, wakamjaribu, wakamwomba awaonyeshe ishara itokayo mbinguni.
Mathayo 16:2
Akajibu, akawaambia, [Kukiwa jioni, mwasema, Kutakuwa na kianga; kwa maana mbingu ni nyekundu.
Mathayo 16:3
Na asubuhi, mwasema, Leo kutakuwa na dhoruba; kwa maana mbingu ni nyekundu, tena kumetanda. Enyi wanafiki, mwajua kuutambua uso wa mbingu; lakini, je! Ishara za zamani hizi hamwezi kuzitambua?]
Mathayo 16:4
Kizazi kibaya na cha zinaa chataka ishara; wala hakitapewa ishara, isipokuwa ishara ya Yona. Akawaacha, akaenda zake.

Mathayo 16:6
Yesu akawaambia, Angalieni, jilindeni na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Paulo Mtume ni Mkuu Kuliko Muhamad mwanzilishi wa dini ya Kiisalamu

Paulo ni Mtume wa Mataifa. Kama Waislam walikuwa wanaona kuna hitaji kwa kila taifa kuwa na Mtume wake ni Muhimu kwao kufahamu kuwa Mpango wa Mungu tangu mwanzo haukuwa kuwapendelea wayahudi tu, yeye tangu mwanzo alimkusudia Ibrahimu kuwa Baraka kwa jamaa zote za dunia (Mwanzo 12;1-3),

Baraka hii ilitimizwa kupitia Yesu kristo ambaye alitolewa kwa kusudi lileliel la kiulimwengu (Yohana 3;16),Katika mpango huu mzima wa kuwafikia Mataifa yoote Masihi aliwaagiza wanafunzi wake kuihubiri injili kwa kila taifa (Mathayo 28;19) inashangaza sana kufikiri kuwa Manabii waliotumwa Pamoja na Ujio wa Kristo duniani uliihusu Israel tu au wayahudi tu na ndio maana hata ile siku ya Pentekoste Roho mtakatifu alipo washukia wanafunzi wa Yesu waliwezeshwa kuzungumza lugha mbalimbali ikiwemo kiarabu soma (Matendo 2;1-12).

Hii maana yake ni kuwa Mungu alitaka kuufikia Ulimwengu mzima kupitia Taifa teule alilolitenga la Kiyahudi maana huko ndiko wokovu unakotokea(Yohana 4;22), na mwokozi wa ulimwengu ni mmoja tu (Yohana 4;39-42).
 
Mathayo 5:20
Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.

KWELI NYINYI MNADANGANYWA YANI HAPO NDIO MMEFUNDISHWA KUWA YESU ANAWASIFIA MAFARISAYO?

KWELI NYINYI MNA YESU WENU MWINGINE NA SIO HUYU YESU MTOTO WA MARYAM ALIYEPEWA INJILI

INAONEKANA UNAJUA SANA KUTAFSIRI INJILI NA KUWALINDA MAADUI WA YESU HAYA TAFSIRI NA HAPO KUANZIA 16:1

Mathayo 16:1
Wakamjia Mafarisayo na Masadukayo, wakamjaribu, wakamwomba awaonyeshe ishara itokayo mbinguni.
Mathayo 16:2
Akajibu, akawaambia, [Kukiwa jioni, mwasema, Kutakuwa na kianga; kwa maana mbingu ni nyekundu.
Mathayo 16:3
Na asubuhi, mwasema, Leo kutakuwa na dhoruba; kwa maana mbingu ni nyekundu, tena kumetanda. Enyi wanafiki, mwajua kuutambua uso wa mbingu; lakini, je! Ishara za zamani hizi hamwezi kuzitambua?]
Mathayo 16:4
Kizazi kibaya na cha zinaa chataka ishara; wala hakitapewa ishara, isipokuwa ishara ya Yona. Akawaacha, akaenda zake.

Mathayo 16:6
Yesu akawaambia, Angalieni, jilindeni na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Abu Huraira amesimulia kuwa, “Mtume Muhammad (S.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa”
Lakini mkewe katika kumtuliza mumewe wakiwa chumbani kitandani, akaamua kumriwadha na maneno matamu, ambayo kwa kweli hata kama ni wewe mwanaume lazima ulainke, mwisho wa mariwadho hayo, Bi KHADIJA ambaye hakuwa na Dini, hamjui Mungu, anamtangaza Muhammad mumewe kuwa ni mtume, na baada ya hapo sasa Habari zikaenea, na Waandishi wa vitabu vingine wakakoleza zaidi kwa kusema huyo aliyembana huko pangoni Muhammad, ni Malaika Jibril imani ambayo ipo kwa waislamu mpaka leo, wakati Muhammad mwenyewe amejieleza kuwa Shetani ndiye kamfanyizia, huko Pangoni mpaka kumtia homa, na mwisho kupata utume kupitia mkewe, hapo ni kabla ya Quran kuwapo, Kwa hivyo Quran ilipoanza, waliamua kufunika funika, Ili Muhammad aonekane utume wake kapewa na Mungu, kumbe sivyo.
 
MUHAMMAD NI NABII NA MTUME PEKEE ALIYE PATA UTUME KWA KUUGUA HOMA, NA ALIYEKUFA KWA KUUGUA HOMA

Sijambo la kustaajabisha kuwasikia Waislamu
wa KIMNADI Muhammad kuwa ni mtume wa Mwenyezi Mungu, na tena mbaya zaidi
husema kuwa yeye ndiye kiongozi wa mitume na mwisho wa Manabii, NA MBORA WAO.
yaani wakiwa na maana kuwa,
Ibrahimu
Isaka
Musa
Yusufu
Yona
Haruni
Eliya
Daudi
Yohana
Yesu

Wapo chini ki ubora dhidi ya Muhammad, kwa hivyo Marehemu Muhammad, yeye ni mbora wao,
maana yeye ni kipenzi cha Mwenyezi Mungu, jambo hili kwa mtu mwenye akili timamu, haliwezi kumuingia kabisa, kwani Muhammad thamani yake inazidiwa na hata Yuda Isakariote (Aliyemsaliti YESU) seuze Manabii hao? Ukimzungumza Eliya tu pekee ambaye yeye kwa Yesu hafiki hata robo, bado Eliya yupo juu mara 100,0000. dhidi ya marehemu Muhammad,
 
Ibrahimu anaitwa baba wa imani baada ya kukubali kumtoa sadaka mwanaye Isaka naye aliadiwa kuwa uzao wake watapewa mji ule wa caanan mji ambao ni wa maziwa na asali. Ukifatilia vizuri mungu anaitumia caanan ambayo leo hii ni Israel kuakisi ufalme wake utakaokuja huko baadaye, Israel hii hawajahi kusettle kwa sababu ni ufalme wa dunia hii Kila wanapofanikiwa kuingia caanan wanamsahau mungu wao na hivyo anawaadhibu lakini caanan halisi ni ile ambayo watairithi wale wamwaminio yesu kristo, ambao utawala huo ni wa milele na wale wote watakoingia humo wamehesabiwa Haki.

Nabii Daniel kipindi wana wa Israel wapo utumwani Babel alifunga na kumuomba mungu amfunulie mustakabali mzima wa taifa la Israel, na ni lini mesiah atakuja na ni lini mwisho wa Mambo yote.

Mungu alimjibu kupitia malaika,
Akamueleza kwa details kuwa ni muda gani masihi atakuja kwa Mara ya Kwanza exact year na jinsi watakamvyosulubisha.

Lakini pia alimueleza pia falme zote zitakazofuata kutoka ufalme wa Babylon ambao ndio ulikuwa ukitawala kipindi Cha Daniel, na tawala zitakazofuata kama medo persia, Greek na Rome na baada ya hapo utawala wa yesu.

Ukiangalia tawala zote zilizotabiriwa zimeshapita hivyo inaashiria tupo katika wakati wa mwisho kabla ya hukumu na kinachongojewa ni gospel kufika Kila Kona ya dunia ili iwe ushahidi kwa Kila binadamu.

Soma kile kitabu Cha Daniel then jaribu kutafakari yale maneno yaliyoandikwa humo kwa kuyatafutia ufumbuzi then hautahitaji kubishana kuhusu Yesu au Isa yupi ni kweli kwa sababu utaelewa maana nzima behind. Na sio story ambazo hazina back up kama za Quran
Mara Isa aliongea akiwa tumboni, Mara aliongea akiwa mtoto Mara wanaamini Isa ni masihi pasipokuelewa maana hata maana nzima ya masihi ni Nini. Sababu hata hao wayahudi wanajua maana nzima ya masihi lakini wakiamini kuwa mkombozi kwa maana atakuwa kiongozi wa hapa duniani atawakomboa dhidi ya maadui zao wa hapa duniani, lakini wakristo tunaamini kuwa mesiah ni Yesu na kuwa ufalme wake sio wa dunia hii.

Sasa Isa bin Mariam yeye kama pia ni masihi umasihi wake ni kwa ajili ya Nini? Quran haielezi umasihi wake Bali inamueleza kuwa yeye ni mtume tu ambaye alikuja alihubiri uislam na kuwa Kuwa alitabiri kuwa Kuna nabii mwingine atakuja ambaye ni Ahmad. Haielezi mafundisho yake, inasema alikuja na kitabu ambacho hakijawahi kuexist. Ukiwauliza hicho kitabu alichokuja nacho Isa kipo wapi wanarely kusema ndio agano jipya na kwamba limebadilishwa. Ukiwauliza Lakini Injili si kitabu kilichoshushwa kama Quran na Allah na tujuavyo agano jipya liliandikwa na binadamu(wafuasi wa Yesu). Je hicho kitabu kinachoitwa Injili kipo wapi. Je Allah alishindwa kukitunza hata copy moja iwe kama ushahidi.

The true Messiah ambaye ni Yesu ametimiza zaidi ya unabii 300 ambao umendikwa kuhusu Messiah to the smallest detail including mazungumzo atakayoongea, na yote haya yaliandikwa kabla ya kuzaliwa kwake with evidence. Kimahesabu kutimiza unabii wote huo ni sawa na uambiwe Kuna kamchanga kamoja kapo dar es salaam na usiambiwe kapo wap unatakiwa ukaokote.

So make a choice
Yesu alisema ukinionea aibu nami nitakuonea aibu mbele za baba yangu.

Hakuna anayeweza kuja kwa baba isipokuwa kupitia kwa yesu kristo.

Ni jina moja tumepewa wanadamu ambalo yeyote atakayekiri kuwa yeye ndiye bwana na kwamba alikufa pale msalabani kwa ajili yetu ataokolewa.

Hakuna aliye mtimilifu mbele ya macho ya mungu if you want to be jugded by the law of God only then no one will be saved. Utajidanganya tu kwamba Leo nimefanya matendo mazuri kesho ukamtamani mke wa mtu na ndo ikawa siku yako ya mwisho duniani. Gift of God to humanity is etenal life through Christ Jesus.

Moto wa jehanam haukuwa kwa ajili ya wanadamu Bali kwa ajili ya shetani na malaika zake shetani kwa kujua kuwa the only way to eternal life is through Christ amewapotosha watu wengi na wengi wameamua kufumba macho na masikio.
 
WAJE WAJIBU , HUO UMASIIHI WA ISSA ...NI UKOJE
 
Matendo ya Mitume 23:6
Paulo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Masadukayo, na sehemu ya pili ni Mafarisayo, akapaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo mwana wa Farisayo; mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu.

Muulize Yesu atakuambia anawajua vizuri ndio maana alikuambia ujihadhari nao

Mathayo 5:20
Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe pia ni mfarisayo au siyo?
 
Ibrahimu anaitwa baba wa imani baada ya kukubali kumtoa sadaka mwanaye Isaka naye aliadiwa kuwa uzao wake watapewa mji ule wa caanan mji ambao ni wa maziwa na asali. Ukifatilia vizuri mungu anaitumia caanan ambayo leo hii ni Israel kuakisi ufalme wake utakaokuja huko baadaye, Israel hii hawajahi kusettle kwa sababu ni ufalme wa dunia hii Kila wanapofanikiwa kuingia caanan wanamsahau mungu wao na hivyo anawaadhibu lakini caanan halisi ni ile ambayo watairithi wale wamwaminio yesu kristo, ambao utawala huo ni wa milele na wale wote watakoingia humo wamehesabiwa Haki.

Nabii Daniel kipindi wana wa Israel wapo utumwani Babel alifunga na kumuomba mungu amfunulie mustakabali mzima wa taifa la Israel, na ni lini mesiah atakuja na ni lini mwisho wa Mambo yote.

Mungu alimjibu kupitia malaika,
Akamueleza kwa details kuwa ni muda gani masihi atakuja kwa Mara ya Kwanza exact year na jinsi watakamvyosulubisha.

Lakini pia alimueleza pia falme zote zitakazofuata kutoka ufalme wa Babylon ambao ndio ulikuwa ukitawala kipindi Cha Daniel, na tawala zitakazofuata kama medo persia, Greek na Rome na baada ya hapo utawala wa yesu.

Ukiangalia tawala zote zilizotabiriwa zimeshapita hivyo inaashiria tupo katika wakati wa mwisho kabla ya hukumu na kinachongojewa ni gospel kufika Kila Kona ya dunia ili iwe ushahidi kwa Kila binadamu.

Soma kile kitabu Cha Daniel then jaribu kutafakari yale maneno yaliyoandikwa humo kwa kuyatafutia ufumbuzi then hautahitaji kubishana kuhusu Yesu au Isa yupi ni kweli kwa sababu utaelewa maana nzima behind. Na sio story ambazo hazina back up kama za Quran
Mara Isa aliongea akiwa tumboni, Mara aliongea akiwa mtoto Mara wanaamini Isa ni masihi pasipokuelewa maana hata maana nzima ya masihi ni Nini. Sababu hata hao wayahudi wanajua maana nzima ya masihi lakini wakiamini kuwa mkombozi kwa maana atakuwa kiongozi wa hapa duniani atawakomboa dhidi ya maadui zao wa hapa duniani, lakini wakristo tunaamini kuwa mesiah ni Yesu na kuwa ufalme wake sio wa dunia hii.

Sasa Isa bin Mariam yeye kama pia ni masihi umasihi wake ni kwa ajili ya Nini? Quran haielezi umasihi wake Bali inamueleza kuwa yeye ni mtume tu ambaye alikuja alihubiri uislam na kuwa Kuwa alitabiri kuwa Kuna nabii mwingine atakuja ambaye ni Ahmad. Haielezi mafundisho yake, inasema alikuja na kitabu ambacho hakijawahi kuexist. Ukiwauliza hicho kitabu alichokuja nacho Isa kipo wapi wanarely kusema ndio agano jipya na kwamba limebadilishwa. Ukiwauliza Lakini Injili si kitabu kilichoshushwa kama Quran na Allah na tujuavyo agano jipya liliandikwa na binadamu(wafuasi wa Yesu). Je hicho kitabu kinachoitwa Injili kipo wapi. Je Allah alishindwa kukitunza hata copy moja iwe kama ushahidi.

The true Messiah ambaye ni Yesu ametimiza zaidi ya unabii 300 ambao umendikwa kuhusu Messiah to the smallest detail including mazungumzo atakayoongea, na yote haya yaliandikwa kabla ya kuzaliwa kwake with evidence. Kimahesabu kutimiza unabii wote huo ni sawa na uambiwe Kuna kamchanga kamoja kapo dar es salaam na usiambiwe kapo wap unatakiwa ukaokote.

So make a choice
Yesu alisema ukinionea aibu nami nitakuonea aibu mbele za baba yangu.

Hakuna anayeweza kuja kwa baba isipokuwa kupitia kwa yesu kristo.

Ni jina moja tumepewa wanadamu ambalo yeyote atakayekiri kuwa yeye ndiye bwana na kwamba alikufa pale msalabani kwa ajili yetu ataokolewa.

Hakuna aliye mtimilifu mbele ya macho ya mungu if you want to be jugded by the law of God only then no one will be saved. Utajidanganya tu kwamba Leo nimefanya matendo mazuri kesho ukamtamani mke wa mtu na ndo ikawa siku yako ya mwisho duniani. Gift of God to humanity is etenal life through Christ Jesus.

Moto wa jehanam haukuwa kwa ajili ya wanadamu Bali kwa ajili ya shetani na malaika zake shetani kwa kujua kuwa the only way to eternal life is through Christ amewapotosha watu wengi na wengi wameamua kufumba macho na masikio.
Well explained
 
Allah ni tofauti na mungu wetu sababu yeye anawachukia wayahudi wana wa israel na amewaagiza waislam kuwaua wayahudi ndo maana waislamu/waarabu hawawapendi wayahudi.

Mungu wa kwenye biblia ni mungu wa Ibrahim,Yakobo na Isaka na Yakobo kwa maana nyingine ndiyo Israel hivyo ni mungu wa Israel.
Hivyo Basi Allah sio mungu wa kwenye Bible.

Kwenye mbingu ya Allah unazawadiwa wanawake 72 mabikra wa kulala nao.
Yesu alipoulizwa kuhusu ndoa mbinguni alijibu mbinguni hakuna ndoa Bali wote mnakuwa sawa kama malaika.

Issa ktk Quran anaelezwa kuwa alizaliwa bila ya baba kwa uwezo wa allah, akaongea akiwa mtoto mchanga, alifufua watu na kufanya miujiza mingi pia alikabidhiwa kitabu ambacho ndiyo Injili kama ilivyo torati kwa Musa na Zaburi kwa Daudi. Je hicho kitabu alichokabidhiwa Kiko wap? Miujiza yote pamoja na kuzaliwa bila ya baba dhumuni ni Nini haswa kama hakuacha kitu chochote wakati mitume wengine wote waliacha mafudisho yao.

Je kwa nini Allah awachukie wale wanomuita Issa kuwa ni Mwana wa mungu ikiwa wao wanafuata mafundisho aliyowaachia ikiwemo kufa na kufufuka kwake? Je kwa Nini Allah hakuyatunza hayo mafundisho au hicho kitabu ili kiwe ushahidi?

Allah anasema kuwa Issa hakufa Bali ilifanywa ionekane hivyo ili kuwapotosha wanafunzi wake then kwa Nini aje kuwalaumu wale ambao waliamini ktk kifo na ufufuo wake. Then aache hio situation Hadi miaka 600 baadaye aje kutoa ufafanuzi. Je kosa ni la Nani?

I think mungu huyu wa Quran ni tofauti na yule wa kwenye Bible ambaye ahadi zake ni za kweli ambaye anatoa details katika Kila Jambo anatumia manabii kutoa unabii wenye mantiki ambao unatimia katika maisha yao hata wewe hii leo ukitaka kuhakikisha unaweza ukaerejea, na sio anayewapachika watu unabii ukiuliza Issa alitoa unabii gani hakuna,

dhumuni gani haswa alilokuja nalo Issa ukizingatia alizaliwa kwa namna ya tofauti kuliko manabii wote, alifanya miujiza mikubwa kuliko hata muhamad lakini hakuacha chochote duniani. Julius Cesar,Isack newton, Herode, Plato hawa ni watu mashuhuri wa zamani hizo lakini ukitaka kufahamu kuhusu wao Kuna documents kibao za miaka yao zikieleza maisha yao. Huyu Issa na miujiza yote iwaje ashindwe kutunza kitabu chake Basi hata kama sio kwa uwezo wake Basi Allah amsaidie kutunza kama ilivyo kwa Torati na Zaburi.
 
Kwenye Suala la huyu Issa ni Bora abaki kuwa Issa maybe aliyeandika Quran alijua dhahiri kuwa huyu Issa sio yesu ndo maana hakutumia jina halisi ambalo ni Yasu kwa Kiarabu.

Hata atakapoulizwa atasema Mimi nilimuongelea Issa na sio Yasu na atajitoa ktk upotoshaji alioufanya.

Hata kama huamini Bible Basi hata kasome historia maana historia yake pia ipo imeandikwa na wanahistoria wasiobase kwenye imani yoyote za kidini ambao waliishi katika jamii yake katika wakati wake 1st and 2nd century historians.

Kuamini blindly informations kwa kigezo Cha dini imeniambia hivi, ni against utashi ambao tunao kama binadamu.
 
Abu Huraira amesimulia kuwa, “Mtume Muhammad (S.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa”
Lakini mkewe katika kumtuliza mumewe wakiwa chumbani kitandani, akaamua kumriwadha na maneno matamu, ambayo kwa kweli hata kama ni wewe mwanaume lazima ulainke, mwisho wa mariwadho hayo, Bi KHADIJA ambaye hakuwa na Dini, hamjui Mungu, anamtangaza Muhammad mumewe kuwa ni mtume, na baada ya hapo sasa Habari zikaenea, na Waandishi wa vitabu vingine wakakoleza zaidi kwa kusema huyo aliyembana huko pangoni Muhammad, ni Malaika Jibril imani ambayo ipo kwa waislamu mpaka leo, wakati Muhammad mwenyewe amejieleza kuwa Shetani ndiye kamfanyizia, huko Pangoni mpaka kumtia homa, na mwisho kupata utume kupitia mkewe, hapo ni kabla ya Quran kuwapo, Kwa hivyo Quran ilipoanza, waliamua kufunika funika, Ili Muhammad aonekane utume wake kapewa na Mungu, kumbe sivyo.
Hakuna kitu kigumu kama kutetea uongo haya uliyoandika ni kupayuka payuka ovyo

Hoja ya msingi ni kwamba Paulo ni muongo na mafundisho yake aliyekufundisheni nyinyi wakristo yanapingana na Yesu

Paulo anasema Yesu ni Mungu

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Lakini Yesu anakaata hayo mafundisho ya Paulo na anasema ili uende peponi ni lazima ukubali kuwa Mungu ni mmoja nayeye Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma

SASA KAMA WEWE UNAMUAMINI PAULO NA KUMUONA YESU NI MUONGO NDIO USEME SASA

  • Point yako kubwa ni ipi? Kwamba Yesu hakutumwa au vipi?
  • Kuna swali niliwauliza huko nyuma , Huyu Paul wa Allah alienda Antiokia kufanya nini, kama alikuwa mtume wa allah kitabu chake tunakipata wapi (ata sura moja tu)
  • 36:14. Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu(Bulus)
 
Point kubwa ni kwamba Paulo muongo anasema Yesu Mungu

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Kama Yesu ni Mungu hapa anamuomba Mungu gani tena?

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujajibu swali langu,,

Yesu alizaliwa Mwaka, mwezi na tarehe gani ?

Nitakujibu,, ila kwanza jibu swali langu hapo juu....
  • LK 3:23 Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa na umri wa miaka thelathini, Piga Hesabu,
 
Back
Top Bottom