Hi ni tafsiri ya kiswahili
Quran 36:14
Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwenu.
Na hii yapa ni original language ya Quran
The Noble Quran 36:14
إِذْ أَرْسَلْنَآ إِلَيْهِمُ ٱثْنَيْنِ فَكَذَّبُوهُمَا فَعَزَّزْنَا بِثَالِثٍ فَقَالُوٓا۟ إِنَّآ إِلَيْكُم مُّرْسَلُونَ
Katika hiyo aya tafsiri ya kiswahili hakuna jina Paulo wala Antokiya na katika original language (kiarabu} pia hakuna jina Paulo wala Antokiya
Wewe hayo majina umeyapata wapi?
Nani amekuambia Quran inatafsiriwa kwa kuongeza majina ambayo hayapo?
Hilo andiko halina uhusiano wowote na mtume wenu wa uongo Paulo
Narudia tena toa andiko katika Quran linalosema Paulo ni mtume wa Mungu
Sent using
Jamii Forums mobile app