Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Bado hujanielezea Kwanini mataifa aliyozunguka Yesu ndo kuna asilimia ndogo ya Wakristo ?
Na ikaweje mataifa ya mbali ya wazungu kama Italy ndo iwe na Wakristo wengi ? Huoni kwamba hio dini imetungwa tu ? Na kwamba Yesu hajahubiri Ukristo!!
HIYO SIO HOJA , NA NIMEIJIBU, SHIDA TAYARI UNA MAJIBU YAKO KICHWANI

HALAFU KWA MUNGU UWINGI SIO ISHU ,

Mt 7:13-27 SUV​

Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache. Jihadharini na manabii wa uongo,
 
Unaona sasa unajichanganya !!

Yesu anaweza kuwa ni Mungu at the same time kuwa mwana wa Mungu ?

Sasa yupi ni Mungu ?
KIPI KINASHINDIKANA KWA MUNGU aU UNAMCHUKULIA MUNGU KAMA WEWE?

KWETU SISI MUNGU NI MKUU NA MUWEZA WA YOTE, KAMA allah hawezi , BASI YHWH ANAWEZA

Isa 55:8-9 SUV​

Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA. Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
 
Hujanipa jibu,, ulichofanya ni kuzunguka tu na kutoa vifungu vingi vya Biblia....Mm sijakuuliza vifungu vya Biblia !!.... Leta jibu sentensi mbili tatu kisha ulitetee

Asa ndo umefanya nn hapa ?
hutaki nijibu kwa aya unataka nijibu kwa mawazo yangu binafsi siwezi
 
UPO USHAHIDI WA KUTOSHA UKRISTO UPO KABLA YA UISLAMU ,

HATA HUO MSIKITI HAPO LILIPOKUWEPO SOLOMON TEMPLE UMEJENGWA MWAKA 711AD

The al-Aqsa Mosque, originally built in 711 A.D., has not changed significantly in size or plan since the 12th century

HALAFU ACHA KUKARIRI HAO WAYAHUDI ASILIMIA 2, HAIBADILISHI KUWA UKRISTO UPO KITAMBO KULIKO UISLAMU

KUTOKUAMINI KWA BAADHI YA JEWS HAIBADILI UAMNIFU WA MUNGU.....

Warumi 3​

1 Basi Myahudi ana ziada gani? Na kutahiriwa kwafaa nini?

2 Kwafaa sana kwa kila njia. Kwanza kwa kuwa wamekabidhiwa mausia ya Mungu.

3 Ni nini, basi, ikiwa baadhi yao hawakuamini? Je! Kutokuamini kwao kutaubatili uaminifu wa Mungu?

4 Hasha! Mungu aonekane kuwa amini na kila mtu mwongo; kama ilivyoandikwa, Ili ujulike kuwa una haki katika maneno yako, Ukashinde uingiapo katika hukumu.


BADO MUNGU ANA WAYAHUDI WANAOMUAMINI YESU UNAWAJUA MESSIANIC FAITH

Messianic
Jews believe that Jesus is the Messiah, and that the Tanakh (Hebrew Bible) and New Testament are the authoritative Scriptures. Salvation in Messianic Judaism is achieved only through acceptance of Jesus as one's savior, and Jewish law does not contribute to salvation

Messianic Jews consider themselves Jewish Christians. Specifically they believe, as do all Christians, that Jesus is the son of God, as well as the Messiah, and that he died in atonement for the sins of mankind. There are approximately 175,000 to 250,000 messianic Jews in the U.S, and 350,000 worldwide
Mambo ya kutunga na kuunga unga. Hakuna lolote
 
Basi ndo hivo umeshindwa kujibu swali...

Hii inazidi kuthibitisha kuwa Ukristo ni dini iliyotungwa tu na kwamba haijaenezwa na Yesu !!
ila hii ndio ilienezwa na MUNGU?

Quran 2:223. Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Allah , na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini.
Aya 223
Anasimulia Naafii :Siku moja nilisoma aya hii :Abdallah bin Umar bin Khattab akauliza unajua aya hii ilishuka kwa ajili gani? Nikajibu Sikujui :Akasema Imeshuka kwa ajili ya kuwaingilia wanawake tupu zao za nyuma yaani Matakoni
➖
➖
➖
➖
➖
➖
➖
ASALAM ALEIKUM

1621978800022.png

1621978825940.png
 
Basi ndo hivo umeshindwa kujibu swali...

Hii inazidi kuthibitisha kuwa Ukristo ni dini iliyotungwa tu na kwamba haijaenezwa na Yesu !!
uthibitisho huu hapa UISLAMU NI DINI YA KUTUNGA

Na je anayetoa utume ni Mke ama MWENYEZI MUNGU? WAPI KHADIJA ALIKUWAKO PANGONI

Muhammad alisema Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na shetani katika pango na kuniharibu akili yangu na kunizuga lakini mkewe khadija akasema hujachezewa na shetani bali Naapa UMESHAKUWA mtu wa uma huu :
Kitabu cha wakeze Mtume Wakubwa Na Wanawe Ukrasa 13-14
1621979088637.png
 
Basi ndo hivo umeshindwa kujibu swali...

Hii inazidi kuthibitisha kuwa Ukristo ni dini iliyotungwa tu na kwamba haijaenezwa na Yesu !!
Unahabari SHETANI NI MUISLAMU?

MUHAMMAD S.A.W ALIMSILIMISHA SHETANI NA KUWA WAISLAMU
----
Kitabu Asili ya Majini Ukurasa wa 20 INASEMA: Ni bahati mbaya kwamba #Adam na #Hawa hawakufanya jitihada za kumwezesha #Shetani na wanawe majini kuomba Msamaha kwa Mwenyezi Mungu, NI MTUME #MUHAMMAD TU NDIE ALIYE MSILIMISHA SHETANI AKAWA MUISLAMU.

1621979281603.png
 
Basi ndo hivo umeshindwa kujibu swali...

Hii inazidi kuthibitisha kuwa Ukristo ni dini iliyotungwa tu na kwamba haijaenezwa na Yesu !!
NIMEJIBU KWA AYA

WEWE BAKI KWA SHETANI

BAADA YA KUSILIMU SHETANI ANAWAPULIZA MATAKO WAISLAMU WOTE MSIKITINI
Kasema Mtume (s.a.w)
“ Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikira ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMINIFU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
☝
☝
☝
☝
☝
☺
☺
☺
☺
☺
☺
☺
☺
☺


1621979574143.png
 
KIPI KINASHINDIKANA KWA MUNGU aU UNAMCHUKULIA MUNGU KAMA WEWE?

KWETU SISI MUNGU NI MKUU NA MUWEZA WA YOTE, KAMA allah hawezi , BASI YHWH ANAWEZA

Isa 55:8-9 SUV​

Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA. Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
Yapo mambo mengi ambayo Mola muumba ametakasika nayo,na kumnasibisha kwayo ni kumzulia uongo na kumtia dosari. Mola ametakasika na udhaifu wowote,Mola amejiharamishia dhulma. Vipi kisa yeye ni muweza wa yote maana yake anaweza kudhulumu ? Au ana bagua ?

Wakristo hamumjui Mola ndiyo maana mmemzulia mengi ya uongo ya kufru na ushirikina.
 
Yapo mambo mengi ambayo Mola muumba ametakasika nayo,na kumnasibisha kwayo ni kumzulia uongo na kumtia dosari. Mola ametakasika na udhaifu wowote,Mola amejiharamishia dhulma. Vipi kisa yeye ni muweza wa yote maana yake anaweza kudhulumu ? Au ana bagua ?

Wakristo hamumjui Mola ndiyo maana mmemzulia mengi ya uongo ya kufru na ushirikina.
HUYO ATAKUWA ALLAH, SIO YHWH NIMJUAYE MIMI

1621980572791.png
 
Wapi nimesema nakubali kupulizwa na shetani...

Ina maana mpaka umeshindwa kutaja Mungu wenu ni yupi.. Mara Yehova,, mara Yesu... Hueleweki,, full mvurugano..

Hebu tuambie Mungu wenu ni yupi,, unazidi kujiaibisha
UNA JIBU LAKO LA MFUKON, MM NILISHAJIBU,SINA MUDA WA KURUDIARUDIA SWALI MOJA
 
Umesema hapo Mungu baba alimtuma mwanaye....

Nataka uniambie huyo Mungu baba ni nani ?
Wewe inaelekea aidha huna uelewa kabisa au una uelewa mdogo sana, Mungu ni Mmoja na ana nafsi tatu (3) ''Trinity''

Mungu Baba, Mungu Mwana, Mungu Roho mtakatifu

Yesu Kristo ni Mungu Mwana, maana yake ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu.

Inawezekanaje? Hakuna kinachoshindikana kwa Mungu kwakuwa yeye ndiye aamuaye na kufanya yale tunayoona kuwa ni ajabu na yanashangaza.

Mathalani :

- Mbona hujashangaa Yesu kuzaliwa bila kupitia mbegu za kiume za Mwanadamu mwanamume?

- Mbona hujashangaa Muhammad (S.A.W) kushushiwa QURAN na kufanywa Mtume ilihali hakujua kusoma na kuandika?
 
Mbona hasira hivo mkuu,, usipanic,, twende taratibu..

Baba yake ni nani ?
Sijapanic nimeshangaa, bado najaribu kupima uelewa wako kama utakuwa unaelewa utofauti wa Uweza wa Mungu na wa kibinadamu au lah.
 
Lazima nikuChallenge mkuu,, kama ni uongo je.... Wewe inatakiwa utetee hoja yako na sio vinginevyo
Kibinadamu tunajua kuwa awezaye kusoma ndiye anayeweza kusoma, kung'amua na kuchambua maandishi na hata kufafanua kwa wengine

Muhammad Abdullah wa Mecca hakujua sio tu kusoma Bali hata kuandika..Yet ndiye aliyepokea Quran na kufanywa Mtume wa Waislam

Tuambie, alijaaliwa uwezo huo na nani?
 
Hapa ndo mnapokosea.... Hii kitu ni CONTRADICTION...

Kama Yesu ni Mungu,, alafu pia ni mwana wa Mungu ( ina maana kuna Mungu mwengine ambaye mwana wake ni Yesu )

Sasa yupi ni Mungu ?
Umeelewa maana ya Utatu (Trinity)? Kwasababu kama hujaelewa hilo dogo pia hutaelewa kingine chochote.
 
Back
Top Bottom