Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Yapo mambo mengi ambayo Mola muumba ametakasika nayo,na kumnasibisha kwayo ni kumzulia uongo na kumtia dosari. Mola ametakasika na udhaifu wowote,Mola amejiharamishia dhulma. Vipi kisa yeye ni muweza wa yote maana yake anaweza kudhulumu ? Au ana bagua ?

Wakristo hamumjui Mola ndiyo maana mmemzulia mengi ya uongo ya kufru na ushirikina.
  • Kuna madhaifu mengi sana kama hapa anasema hawezi kuwa na mwana maana hana mke , swali akipata mke?
6:101. Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? ......
 
Majina ya wale messengers waliongelewa kwenye hio ayah ni Sadiq, Saduq na Shalom kama alivyochambua İbn Kathir hapa chini....Hakuna Paul

In Surat Yasin 36:13-14:

وَاضْرِبْ لَهُم مَّثَلًا أَصْحَابَ الْقَرْيَةِ إِذْ جَاءَهَا الْمُرْسَلُونَ إِذْ أَرْسَلْنَا إِلَيْهِمُ اثْنَيْنِ فَكَذَّبُوهُمَا فَعَزَّزْنَا بِثَالِثٍ فَقَالُوا إِنَّا إِلَيْكُم مُّرْسَلُونَ

And present to them an example: the people of the city, when the messengers came to it when We sent to them two but they denied them, so We strengthened them with a third, and they said, "Indeed, we are messengers to you."

Who are those three who were sent to the city to convince the people there?

Had there been any value in specifying the name of the city and the names of the messengers, Allah would have revealed them in the verse, or through a hadith by the Prophet, or his companions would have asked about them. The verse warns the people of Mecca of what happens to those who do not follow the messengers: It was not but one shout, and immediately they were extinguished.

Having said that, there are several views. The most prevalent view is that the city was Antioch (in modern-day Turkey), which was ruled by a king called Antiochus. The three messengers were Sādiq, Sadūq, and Shalōm. This is what Ibn Kathir considered the most likely view based on narrations attributed to Ibn 'Abbas, Ka'b al-Ahbār, and Wahb ibn Munabbih.

Nina mashaka na hio source ulotuma QuranX. com ,, it is not authentic..
Bila shaka ni moja ya website wanazotumia wakristo wenzako kuwapotosha wakristo kama nyie kuhusu mambo ya Uislamu..
  • Hii mada nimeshamaliza nimekwambia kapambane na Scholar wako alieweka hayo majina , Yani waislamu mkristo anaanzisha website anaweka mafundsho yenu!!!! acha kujitia uchizi, mada ya Paulo nimeshaifunga na usirudie tena
 
KIPI KINASHINDIKANA KWA MUNGU aU UNAMCHUKULIA MUNGU KAMA WEWE?

KWETU SISI MUNGU NI MKUU NA MUWEZA WA YOTE, KAMA allah hawezi , BASI YHWH ANAWEZA

Isa 55:8-9 SUV​

Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA. Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
Unavyoambiwa Mwenyezi Mungu ni muweza wa yote hapa inamaanisha vitu vyenye asili ya kimungu. Haina maana eti kwa kuwa muweza wa kila kitu aje apitie kwenye uke wa mwanamke, atahiriwe, apigwe viboko na waroma hadi kumuua, na kumsulubu kwa kumvisha pampers.
Kuna vitu ndugu yangu muwe mnatumia akili na muwe mnawahoji wachungaji wenu.
 
Tahadhali : huu si mjadala wa mashambulizi ya Kidini. Ni mjadala qwa kisomi wa kujenga Hoja. Kelele za Dini zenu pelekeni kwingine. Hapa tunataka hoja na uelewa. Sisi wengine hatuna Dini...
Ni mtume kama mitume wengine mkuu?
 
UTABIRI WA MTUME MUHAMMAD NDANI YA BIBILIA

MUNGU ANASEMA NINI KUHUSU ISHMAEL....
Kuna maswali ya kujiuliza na Ramani yako
  • Kwa nini nabii Isaya hajatajwa popote kwenye Koran
  • Tunaona mtu pekee alie prophecied ujio wa Muhammad ni Issa
    • 66:6. Na Isa bin Mariamu alipo sema: ............, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad!...
    • Je unataka kusema wewe unajua kuliko Allah , kwamba Allah hakujua Isaya amemtaja Muhammad?
 
  • Kuna madhaifu mengi sana kama hapa anasema hawezi kuwa na mwana maana hana mke , swali akipata mke?
6:101. Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? ......
Huu ujinga mwingine.

Ufasaha wa Qur'aan ni wa ajabu sana,hapo aya imeonyesha ya kuwa ni tamko la wakati ulio pita na la kufunga,ya kuwa haiwezekani.

Kadhalika imeeleza aya ya kuwa kwake jambo hilo ni muhali.

Ili uone ya kuwa Qur'aan ni ya maajabu,wewe onyesha tu japo uwezekanno wa yeye kuwa na mke.

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa

4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. (al-Ikhlas : 1-4)

 
Moja ya njia ilimradi uwe na mwana ( mtoto) ni kwamba inatakiwa uwe na mke au mwanamke (ambao hawajaoa)...
Sasa hiyo ayah ilikuwa inawajibu wale wanaosema Issa ni mwana wa Mungu, ndo amewajibu kupitia hio ayah... Yaani, itakuwaje Yesu awe mwana wa Mungu ilhali Mungu hana mke ?

Swali lako la kuuliza vp akipata mke ni swali la uongo na uzushi,,kwasababu Mungu sio binadamu,, hahitaji mke ( hana matamanio).
  • Ni maandiko gani ya kabla ya Koran yanasema Kuna watu walikuwa wanamtaja Issa kama mwana wa Mungu? kumbuka huko nyuma mlishindwa kuthibitisha uwepo wa Issa!!!
  • Allah katika Koran 21:17 anasema akitaka mke au mtoto atamtapa kwenye jamii yake
    • Had We desired to find some diversion that which provides diversion in the way of a partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Kuna issue nzito hapa, Allah wapo wangapi mpaka atumie neno Ourselves,
  • Allah anasema akitaka mke (Partner) atachukua houris au malaika kwa nini?
 
Huu ujinga mwingine.

Ufasaha wa Qur'aan ni wa ajabu sana,hapo aya imeonyesha ya kuwa ni tamko la wakati ulio pita na la kufunga,ya kuwa haiwezekani.

Kadhalika imeeleza aya ya kuwa kwake jambo hilo ni muhali.

Ili uone ya kuwa Qur'aan ni ya maajabu,wewe onyesha tu japo uwezekanno wa yeye kuwa na mke.

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa

4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. (al-Ikhlas : 1-4)

  • Nani ali mlimit Allah kwamba kuwa na mtoto lazima awe na mke? na kwa nini kwenye aya nyingine anasema akitaka mtoto atachagua
    • 39:4. Lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba.......
  • Iliwezakanaje kwa Mariam wa Allah kuwa na mtoto bila Mume na Allah ameshindwajwe kuwa na mtoto bila mke?
 
Nimekuoesha kwamba jina Bulus halijatajwa na İbn kathir katika ripoti yake...

Na pia nilikwambia unipe uthibitisho kwamba hilo jina Bulus ndo ilimaanisha Paul,, umeshindwa kutuambia..
  • Unajua najua unatumia Taqiya nimekwambia issue ya Paul nimeshamaliza , usirudie tena
  • Bulus kama ni Paul au la nenda ka search google itakupa jibu,
 
  • Nani ali mlimit Allah kwamba kuwa na mtoto lazima awe na mke? na kwa nini kwenye aya nyingine anasema akitaka mtoto atachagua
    • 39:4. Lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba.......
  • Iliwezakanaje kwa Mariam wa Allah kuwa na mtoto bila Mume na Allah ameshindwajwe kuwa na mtoto bila mke?
Sababu Allah ametakasika na suala la kuzaa,ndiyo maana akasema hivyo.

Suala la Maryam,alionyesha uwezo wake,na likawa. Hili rahisi kwake.

Kuna mambo Allah amejiharamishia kwake miongoni mwayo ni kudhulumu,Allah hadhulumu,sasa mathalani ukasema adhulumu hili tunakwambia haliingii kwake. Huo mfano kwa munasaba wa ulicho kiuliza.
 
Biblia iliandikwa kwa lugha gani
Agano la kale liliandikwa hasa katika lugha ya kiebrania. Kuna sehemu ndogo zilizoandikwa katika lugha ya Kiaramu. Jina la Kiaramu linaonekana katika Danieli 2:4. Sehemu zilizoandikwa katika Kiaramu ni hizi:
Ezra 4:8-6:18;7:12-26.

Ndiyo nijibu sasa, Jina la Issa lilipatikanaje?
 
Sababu Allah ametakasika na suala la kuzaa,ndiyo maana akasema hivyo.

Suala la Maryam,alionyesha uwezo wake,na likawa. Hili rahisi kwake.

Kuna mambo Allah amejiharamishia kwake miongoni mwayo ni kudhulumu,Allah hadhulumu,sasa mathalani ukasema adhulumu hili tunakwambia haliingii kwake. Huo mfano kwa munasaba wa ulicho kiuliza.
Aya ipi ndo kasema kweli , ile ya kuwa hana mwana maana hana mke au hii ya akitaka mwana anachagua
 
Nakala original za hiyo Bible ya kiebrania ipo ?..... Kama vile Qur'an ilivyo kwa Kiarabu ( haijachakachuliwa)

Nilikwambia jibu langu litategemea jibu la swali hili ;
Yesu alizaliwa mwaka, mwezi na tarehe gani ?.... Hapo ndo utaona wapi jina Issa limepatikana
Nauliza swali la Ndio au Hapana , Je unayo Quran ya Muhammad?​
​
​
 
Biblia imemtaja Yesu ( Issa in Arabic) kama mwana wa Mungu

Wapi tumeshindwa kuthibitisha uwepo wa Issa

Yapo maeneo mengi sana kwenye Qur'an yametumika maneno kama " We", "ourselves".... Ni kwasababu ya kilugha kuonesha ukubwa wa Allah...

Mfano, hata katika lugha ya kituruki,, mtu mkubwa wako utamuongelea kwa uwingi hata kama yupo peke yake ( mmoja)... Wanaojua hii lugha watanielewa nadhani..

Wapi hapo Allah amesema hivo ? Kama unaongelea hiyo ayah hapo juu,, sio sahihi...

Hii ndo tafsiri halisi ;
Surat Anbiya ( 21:17) " Had We intended to take a pastime (i.e. a wife or a son, etc.), We could surely have taken it from Us, if We were going to do (that)."
  • Kuwa makini sana , Yesu anaitwa Yeshua
  • Issa mmeshindwa kuthibitishwa uwepo wa jina lake kwenye vitabu vya kabla ya Koran hata Biblia hakuna maali imemtaja Issa(iMRAN)
  • Kumbuka hapo anazungumzia kuchukua mke na kasema anaweza kuchukua katika jamii yake (ourselves) , Hii jamii ya kina allah ni viumbe au vitu gani?
  • Tena Hapa ndo umenirahisishia sana na hii tafsir yako
    • Hii ndo tafsiri halisi ;
      Surat Anbiya ( 21:17) " Had We intended to take a pastime (i.e. a wife or a son, etc.), We could surely have taken it from Us, if We were going to do (that)."
    • Who is US? (amesema atachukua kutoka SISI) ao sisi ni kina nani
 
Aya ipi ndo kasema kweli , ile ya kuwa hana mwana maana hana mke au hii ya akitaka mwana anachagua
Qur'aan yote ni kweli tupu.

Sasa unaposema hivyo,nitakuuliza wewe aya ipi ni ya uongo au amesema Uongo.

Kuna swali kuna swali nilikuuliza hujajibu.
 
N vita kali kati ya Qur'aan tukufu iliyoshushwa toka juu (ambayo umri wake ni miaka 1200 nikimaanisha ilishushwa kwa mafungu mafungu toka mwaka 600 A.D ambayo n karne ya 6 A.D) Na Biblia takatifu iliyoandikwa chini ya uweza wa ROHO MTAKATIFU ikiwa na umri wa miaka zaidi 3000 kwa baadhi ya vitabu (na vitabu vy agano jipya vikiwa na miaka zaidi ya 1900 nikimaanisha viliandikwa karne ya 1 A.D)
 
Back
Top Bottom