Kabla sijachangia chochote inapasa tupate mfanano wa majina haya na kama kweli yana maana ya jina moja la mtu huyo huyo mmoja:-
1. Yesu/Jesu/Jesus vs Issa
2. Adam na Ever vs Adam na Hawa
3. Solomon vs Seleman/Suleiman
4. Gabriel vs Jibril
5. Abraham vs Ibarahim
6. Isack vs Isihaka
7. Joseph/Yoseph vs Yusuf/Yusuph/Yousouf
8.nk nk nk nk.
Na kwa nini kwa mfano kama Gabriel na Jibril wanatajwa kua na sifa zilezile, Kwa nini Adam na Hawa na Adam na Ever wana sifa zinazofanana kwa vitabu vyote? Kwa nini Yesu ni Jesus na hiyo ikubalike? Kwa nini mama wa Yesu ni Marima na mama wa Issa ni Mariam? Kwa nini Yesu hana Biological Father likewise Issa hana Biological Father, hii imetokea kwa bahati mbaya?
Nimeuliza kwa mtu anaefikiri ataelewa nini maana yangu. Na kwa nini Masjid al Aqsa na Temple Mount na lile Kanisa vyote vipo sehem moja, kwa nini? Je hatuoni kama kuna unasaba mkubwa wa maandiko ila kuna sehemu tunakwama kwa kujopotosha wenyewe?
Ila bottom line, ukristo kwa uwiaono wowote, hauna uhusika wowote kule kwa Wayahudi. Kwa takwimu za sasa dini ya Ukristo una asili zote za wazungu wa Roma na kamwe siyo Israel. Ingekua Israel, kwa miaka mingi tangu Yesu azaliwe, isingewezekana Wakristo hadi leo wakabaki 2% pekee, huku Waislam wakiwa ni asilimia zaidi ya 30, hii kitu haiwezekani aslani, kuna wajanja wameanzisha hii dini(dini ni dini haijalishi, isipokua uhusika wa Yesu au jamii ya Kiyahudi kwenye Ukristo, inatia shaka)
Katika Qurani yenye jumla ya juzuu
30 Surah
114 aya
6236 maneno yenye kutamkika
76,440 herufi
322,373 jina Isa linatamkwa
lisa au
Aysi limetajwa mara
25. Isa pia ameitwa masihi mara
93. Lakini tunaposoma Qurani iliofarsiriwa na Imam Baidawi
voI.1 ukurasa wa
160 ameeleza kuwa
Isa jina la Kiarabu maana yake ni Wekundu unaozidiana na weupe.
Maana ya jina Yesu
Jina Yesu linatokana na lugha ya Kiebrania ‘
Yehoshua’ katika lugha ya Kigiriki wanasema ‘
Iesous’ inatamka
‘Yesous’ yaani Yesu. Katika lugha ya Kiarabu wanasema
“ Yasu.”kwa kiingereza ni
‘’Jesus’’ Maana yake “
Bwana anaokoa au Bwana ni Mwokozi”Soma aya hizi..
Mathayo 1:18-21 na Luka 2:8-11. Bwana maana yake Mungu ndiye mwokozi
Isaya 43:6, 10-11. Katika Biblia ambayo ina jumla ya
Surah 1189 aya 31,102 vitabu 66 39, Agano la kale na
27 agano jipya neno Mwokozi kiiengereza wanasema Saviour limetajwa
mara 55. ikumbuke kwamba katika agano jipya jina Yesu au kiebrania Yehoshua kiarabu Yashua au Yasu limetajwa
mara 1275 katika aya zipatazo
1226. zingatia pia kuwa agano jipya lina jumla ya
aya 7930 na
Sura 260 hivyo hapa tunaona jina Yesu maana yake ni Mwokozi na jina Isa ni wekundu uliozidiana na weupe. Kwa kuwa maana ya haya majina tofauti bila shaka Isa siyo Bwana Yesu.
KABLA YA MWAKA 622 AD HAPAKUWAHI KUWEPO DINI INAYOITWA UISLAMU, HATA LEO HAKUNA KUMBUKUMBU WALA TONE YA MABAKI KUWA KABLA YA MUHAMMAD KULIWAHI KUWEPO UISLAMU, KAMA UNAO LETA HAPA
LAKINI UPO USHAHIDI WA KUTOSHA UKRISTO UPO KABLA YA UISLAMU ,
HATA HUO MSIKITI HAPO LILIPOKUWEPO SOLOMON TEMPLE UMEJENGWA MWAKA 711AD
The
al-
Aqsa Mosque, originally
built in 711 A.D., has not changed significantly in size or plan since the 12th century
HALAFU ACHA KUKARIRI HAO WAYAHUDI ASILIMIA 2, HAIBADILISHI KUWA UKRISTO UPO KITAMBO KULIKO UISLAMU
KUTOKUAMINI KWA BAADHI YA JEWS HAIBADILI UAMNIFU WA MUNGU.....
Warumi 3
1 Basi Myahudi ana ziada gani? Na kutahiriwa kwafaa nini?
2 Kwafaa sana kwa kila njia. Kwanza kwa kuwa wamekabidhiwa mausia ya Mungu.
3 Ni nini, basi, ikiwa baadhi yao hawakuamini? Je! Kutokuamini kwao kutaubatili uaminifu wa Mungu?
4 Hasha! Mungu aonekane kuwa amini na kila mtu mwongo; kama ilivyoandikwa, Ili ujulike kuwa una haki katika maneno yako, Ukashinde uingiapo katika hukumu.
BADO MUNGU ANA WAYAHUDI WANAOMUAMINI YESU UNAWAJUA MESSIANIC FAITH
Messianic Jews believe that Jesus is the Messiah, and that the Tanakh (Hebrew Bible) and New Testament are the authoritative Scriptures. Salvation in
Messianic Judaism is achieved only through acceptance of Jesus as one's savior, and Jewish law does not contribute to salvation
Messianic Jews consider themselves Jewish Christians. Specifically they believe, as do all Christians, that Jesus is the son of God, as well as the
Messiah, and that he died in atonement for the sins of mankind. There are approximately 175,000 to 250,000
messianic Jews in the U.S, and 350,000 worldwide