Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

The Quran

Commentaries for 36.13

Ya Sin

« PrevGoNext »

36.13 Abbas - Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs(Coin for them a similitude) explain to the people of Mecca: (The people of the city) of Antioch, how We destroyed them (when those sent (from Allah) came unto them) i.e. when the emissary of Jesus, Simon the Pure, came to them and they disbelieved in and denied him;

36.13 Jalal - Al-JalalaynAnd strike for them as a similitude (mathalan is the first direct object) the inhabitants (ashāba is the second direct object) of the town, [of] Antioch (Antākya), when the messengers, namely, Jesus’s disciples, came to it (idh jā’ahā’l-mursalūna is an inclusive substitution for ashāba’l-qaryati, ‘the inhabitants of the town’).


Umefanya lamaana kuweka link kwa hiyo. Wewe huoni kuwa anaetoa hayo maelezo hapo ni Mgalatia kama wewe

Ndio maana nimekuambie endeleeni tu kudanganyana maana mmeshazoea kudanganyana
 
Siitaji kujua walipo yatoa , ndio maana nimekwambia nimekujibu kulingana na maandiko yenu wenyewe sasa kama wamekosea nenda kawaambie waondoe hayo majina na jiulize wewe na Ibn kathir nani mjuzi?

nafikiri hilo nimeshamaliza

Na Neno Koran lipo sawa kabisa Ingia google search ilo neno uone linaleta nini acha kupoteza mda kwa issu ndogo
Sasa kama huitaj kujua kwanini unaandika ujinga na kupotosha mambo ? Huku ukiegemeza hoja yako katika Qur'aan ?

Hili tatizo lingine,nimekwambia iwa mujibu wa nani,unaleta habari sa google,sasa hao google si wajinga kama wewe ndiyo maana wameandika.

Nenda kwa waarabu wenye neno lao wakutamkie kisha uandike.
 
Isa Bin Mariam Jina la Baba #Mungu,
Yusuph au Joseph alilea mwana wa Mungu.
Sasa tutafute jina la MUNGU na koo zake.Huko ndipo tutajua wajomba wa Isa na Mashangazi zake.
Zaidi tutadanganyana humu kwa uchambuzi usio na maana.
 
  • Nakuuliza swali dogo sana Hii hapa chini ni Aya ya Koran unaweza kusema nani kaongea haya maneno
1;1. KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
Hiyo ni dua Allah ametufundisha tuwe tunaisoma kabla ya kuanza kufanya kitu chochote
 
The Quran

Commentaries for 36.13

Ya Sin

« PrevGoNext »

36.13 Abbas - Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs(Coin for them a similitude) explain to the people of Mecca: (The people of the city) of Antioch, how We destroyed them (when those sent (from Allah) came unto them) i.e. when the emissary of Jesus, Simon the Pure, came to them and they disbelieved in and denied him;

36.13 Jalal - Al-JalalaynAnd strike for them as a similitude (mathalan is the first direct object) the inhabitants (ashāba is the second direct object) of the town, [of] Antioch (Antākya), when the messengers, namely, Jesus’s disciples, came to it (idh jā’ahā’l-mursalūna is an inclusive substitution for ashāba’l-qaryati, ‘the inhabitants of the town’).


Umefanya lamaana kuweka link kwa hiyo. Wewe huoni kuwa anaetoa hayo maelezo hapo ni Mgalatia kama wewe

Ndio maana nimekuambie endeleeni tu kudanganyana maana mmeshazoea kudanganyana
  • Mtu muongo ni son of the devil, kasome maelezo ya Kathir - Ibn Al Kathir acha kujitia uchizi
 
HUWEZI UKAJUA uungu wa Yesu kwakuwa uislamu ni kama mafalisayo
Kama uliwahi kuonana na Yesu akakuambia yeye ni Mungu saws

Ila kama unaamini Yesu ni Mungu kupitia mwandishi Yohana tambua kwamba huyo mwandishi Yohana hadi Leo hi ajulikani ni nani in short mmeingizwa chaka

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however, does not include the same incidents or chronology found in the other three Gospels, and the fact that it is so different has spurred a debate over whether John’s Gospel is historical or not, something that has been noted in Gospel of John commentary for hundreds—even thousands—of years.
 
Sasa kama huitaj kujua kwanini unaandika ujinga na kupotosha mambo ? Huku ukiegemeza hoja yako katika Qur'aan ?

Hili tatizo lingine,nimekwambia iwa mujibu wa nani,unaleta habari sa google,sasa hao google si wajinga kama wewe ndiyo maana wameandika.

Nenda kwa waarabu wenye neno lao wakutamkie kisha uandike.
  • wanaotakiwa kufundisha uislamu ni nyinyi waislamu , na nimefanya jambo jema kabisa nimecopy mnayofundisha huyu hapa muislamu mwenzako ambae anajua kuliko wewe Kathir - Ibn Al Kathir amewataja kama Sham`un (Peter), Yuhanna (John) and Bulus (Paul) walitumwa kwenda mji wa Antioch (Antakiyah) link hii hapa QuranX.com The most complete Quran / Hadith / Tafsir collection available!
  • Unachotakiwa sema Kathir - Ibn Al Kathir ni muongo ili tumalize mada, ni jambo rahisi tu
 
  • wanaotakiwa kufundisha uislamu ni nyinyi waislamu , na nimefanya jambo jema kabisa nimecopy mnayofundisha huyu hapa muislamu mwenzako ambae anajua kuliko wewe Kathir - Ibn Al Kathir amewataja kama Sham`un (Peter), Yuhanna (John) and Bulus (Paul) walitumwa kwenda mji wa Antioch (Antakiyah) link hii hapa QuranX.com The most complete Quran / Hadith / Tafsir collection available!
  • Unachotakiwa sema Kathir - Ibn Al Kathir ni muongo ili tumalize mada, ni jambo rahisi tu
Naona unasoma huku unaruka ruka,wapi nimesema Ibn Kathir muongo ? Huku nimemrejea ?

Nilikuuliza unajua hayo majina uneyatoa wapi ? Ukajibu huna haja nalo hilo.
 
Hivi Mwamedi nae huo utume alipewa na Nani ndugu maana Mimi naona janja janja ya Paul na Mwamedi ni moja wote kujifanya wameshukiwa na Mungu na kupewa maono na hapo hapo wakajiita mitume
Napata ukakasi wa kutenganisha Kati ya
Paulo......mkristo
Mohammed....mwislam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
haaaahaaa jamaa wana vituko wanahoji Paulo alipewa na Nani utume ukiwajibu alitokewa na Mungu wanabisha

Hapo hapo ukiwauliza Mwamedi alipewa na Nani utume watakujibu na Allah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mie huwa wananiacha hoi hapo tyuuh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Quran haijaeleza habari za Yesu imeeleza habari za Issa.
Napinga kilichoeleza Quran kwa 100% kwasbb
1. Biblia na Quran ni vitabu viwili tofauti. Lengo la wakristo watu wamjue Mungu ili kuwafikia watu wamjue Mungu ndiyo maana utakuta mpk Biblia za Kisukuma zipo. Sijui mpango wenu maana kuna waislam ukimpa hiyo Quran akosomee anakutumbulia macho tu. Yeye ni kutafsiriwa na kukaririshwa na viongozi tu
2. Ukisoma habari za Yesu kwenye Biblia ni tofauti kwa 100% na za Issa kwenye Quran.
Hayupo mkristo yoyote duniani anayeamini Quran, Allah na huyo Issa 100% kwasbb
A. Amri ya kwanza ilifanyika pale Eden ambapo Adam alipewa mke mmoja kwahiyo ukioa wake wawili hiyo ni dhambi. Quran inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja
B. Wakristo tunaamini hakuna jini wazuri wote ni wabaya ni maajenti wa shetani. Kushirikiana nao ni kutenda dhambi. Waislam wanaamini kuna majini wazuri
Pole sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
  • wanaotakiwa kufundisha uislamu ni nyinyi waislamu , na nimefanya jambo jema kabisa nimecopy mnayofundisha huyu hapa muislamu mwenzako ambae anajua kuliko wewe Kathir - Ibn Al Kathir amewataja kama Sham`un (Peter), Yuhanna (John) and Bulus (Paul) walitumwa kwenda mji wa Antioch (Antakiyah) link hii hapa QuranX.com The most complete Quran / Hadith / Tafsir collection available!
  • Unachotakiwa sema Kathir - Ibn Al Kathir ni muongo ili tumalize mada, ni jambo rahisi tu
Bora hata umetoa na evidence, safi sana.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png


waulize majini na wachawi na waganga wakilisikia jina la Yesu kwanini wanaungua moto,sasa wewe thubutu umtaje huyo issa utakapo kutana na mashetani kama atakusaidia
 
Mi sijaona swali hapo Quran haiwezi kuandikwa kama unavyo taka wewe


Quran 2-27.
Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.

128.
Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.

129.
Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.

Huyo ni nabii Ibrahim na mwanawe Ishmael walipo maliza kujenga msikiti wa Maka nchini Saudi Arabia ya sasa wakamuomba Mungu alete mtume anaetokana na vizazi vya Ishmael


Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Mwanzo 25:16
Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.

Nakuwekea Family tree ya watoto wa Ishmael kuanzia Kedar hadi Muhammad na ramani ili kuonyesha kuwa hao watoto wa Ishmael waliishi Saudi Arabia

Wewe labda upinge kuwa Kedar sio mtoto wa Ishmael na pia vizazi vya Ishmael hajawahi kuishi Saudi Arabia

Zaidi yahapo nenda tu kanisani ukaimbe na kupiga makofi usubiri siku yako ya kufa upelekwe Jahanam
View attachment 1795383View attachment 1795385
QURAN HAIJAKAMILIKA? Wapi inamuelezea KEDARI hadi KWA mudy....






QURANI NGAPI INAELEZA HUO UKOO KUTOKA KWA ISHMAELI HADI KWA MUDY?


KEDARI NI ADUI WA MUNGU WA ISRAEL
✔



(Isaya 21 )
------------
16 Kwa sababu Bwana ameniambia hivi, Katika muda wa mwaka, kama miaka ya mtu mwenye kuajiriwa, utaangamia utukufu wote wa Kedari.
17 Na mabaki ya hesabu ya wavuta pinde, hao mashujaa wa Kedari watakuwa wachache; maana Bwana, Mungu wa Israeli, amenena neno hili.
(Zabur 120 )
------------
1 Katika shida yangu nalimlilia Bwana Naye akaniitikia.
2 Ee Bwana, uiponye nafsi yangu Na midomo ya uongo na ulimi wa hila.
3 Akupe nini, akuzidishie nini, Ewe ulimi wenye hila?
4 Mishale ya mtu hodari iliyochongoka, Pamoja na makaa ya mretemu.
5 Ole wangu mimi! Kwa kuwa nimekaa katika Mesheki; Na kufanya maskani yangu Katikati ya hema za Kedari.

6 Nafsi yangu imekaa siku nyingi, Pamoja naye aichukiaye amani.
7 Mimi ni wa amani; Bali ninenapo, wao huelekea vita.

JIBUNI MASWALI BASI

1621982084458.png
 
Wasio elewa Quran ni makafiri peke yao

Kama hao watu Allah hakutaja majina yao iweje aje mtu akuambie hawa watu majina yao ni haya na wewe ukubali Quran imekalika haitakiwi kiongezwe kitu wala kipunguzwe kitu

Hiyo aya haikutaja majina hao watu wa jina ya hilo eneo itabaki kuwa hivyo

Ila kwa kuwa mmeshazoea kudanganya endeleeni tu kudanganyana
Tutajie Mitume watatu waliotumwa na Mwenyezi Mungu na utwambie walitumwa mji upi ,piga PICHA vitabu Vya QURANI TUSOME hapa? HAPA KAMA NILIVYO WEKA MIMI

SOMA USHAHIDI HUU NDANI YA QUR-AN YAKO
Quran 36:14-19
14. Na uwapigie methali ya wenyeji wa mji Mitume walipoufikia.
15. Tulipowapelekea (mitume)wawili nao wakawakadhibisha, basi Tukawazidishia nguvu kwa (Mtume) wa tatu: nao walisema: Kwa yakini sisi tumetumwa kwenu
16. Wakasema: Ninyi si cho chote ila ni watu kama sisi, wala Mwenyezi Mungu Hakuteremsha cho chote; ninyi mnasema uwongo tu.
17. Wakasema: Mola wetu Anajua bila shaka sisi tumetumwa kwenu.
18. Wala si juu yetu ila kufikisha (ujumbe) waziwazi.
19. Wakasema: Hakika sisi tunapata bahati mbaya kwa sababu yenu: kama hamtaacha kwa yakini tutawapigeni mawe, na bila shaka itawafikieni kutoka kwetu adhabu iumizayo.
20. Wakasema: Bahati yenu mbaya i pamoja nanyi: je! kwa kuwa mnakumbushwa? Bali ninyi ni watu wapitao kiasi.
21. Na akaja mtu mbio kutokea upande wa mbali wa mji, akasema: Enyi watu wangu, wafuateni Mitume


Ufafanuzi ya Qur'ani hiyo
KWA KIARABU

(عندما أرسلنا إليهما رسلان حرمهما كليهما ؛) يعني سرعان ما كفروا بهما.
(لذلك قمنا بتدعيمهم بثالث ،) يعني ، `` لقد دعمناهم وعززناه برسول ثالث. وروى ابن جريج عن وهب بن سليمان عن شعيب الجبععي: "أسماء الرسولين الأولين شمعون (سيمون) ويوحنا (يوحنا) واسم الثالث بولس (بولس). ) ، وكانت المدينة أنطاكية (أنطاكية).
(eindama 'arsalna 'iilayhima rslan haramahuma kulihima yaeni srean ma kafaruu bihima.
(ldhulk qumna bitadeimihim bithalith ,) yaeni , `` laqad daeamnahum waeazaznah birasul thalithin. warawaa abn jarij ean wahab bin sulayman ean shueayb aljbeey: "asima' alrasulayn al'awalin shimeun (syumuna) wyuhnaa (ywhna) waism alththalith bwls (bwls). ) , wakanat almadinat 'antakia (antakiat

https://www.answering-islam.org/Shamoun/christs_apostles.htm

KWA KINGEREZA
(When We sent to them two Messengers, they denied them both😉 means, they hastened to disbelieve in them.
(so We reinforced them with a third,) means, `We supported and strengthened them with a third Messenger. ' Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu`ayb Al-Jaba'i, "The names of the first two Messengers were Sham`un(Saimon) and Yuhanna (Yohana ), and the name of the third was Bulus(Paul ), and the city was Antioch (Antakiyah).

KWA KISWAHILI
Tulipowatuma Mitume wawili, nao wakawakanusha😉 inamaanisha, waliharakisha kuwakataza.
(kwa hivyo tuliwaimarisha kwa theluthi,) inamaanisha, `Tuliwaunga mkono na tukawatia nguvu na Mjumbe wa tatu. Ibn Jurayj alielezea kutoka kwa Wahb bin Sulayman, kutoka Shu`ayb Al-Jaba'i, "Majina ya Wajumbe wawili wa kwanza walikuwa Sham`un (Saimon) na Yuhanna (Yohana), na jina la wa tatu alikuwa Bulus (Paul ), na mji ulikuwa Antiokia (Antakiyah).

Kwa sasa alisema kuwa Ibn Jurayjqubo Mitume watatu (3) aliandika hivi kwa njia ya kwanza ya Simon, aliacha kuchagua Yohana na watatu ni Paulo kwa kiunga Paulo anaitwa Bulus walitumwa mji wa Antiokia

KWA KIARABU
✔
Quran 36: 14-27
رواه ابن أبي حاتم عن سلطة شعيب الجبايعي وقال: كان اسم الرسولين الأولين سيمون ويوحنا. واسم الثالث بول.
rawah abn 'abi hatim ean sultat shueayb aljbayei waqal: kan aism alrasulayn al'awalin saymun wuywhna. waism alththalith bul
KWA KINGEREZA
Narrated Ibn Abi Hatim by the authority of Shuwaib Al Jabâ'ayee who said: The names of the first two messengers were Simon and John. And the name of the third one was Paul.
KWA KISWAHILI
Imesimuliwa na Ibn Abi Hatim by Authority of shaibu Al Jabâ'ayee Amesema majina ya Mitume wawili ni Simon na Yohana na wa tatu ni Paulo

HADITH YA MTUME MUHAMMAD KASEMA KWA KIARABU

رواه ابن الشهرري عن سعيد بن جبير فقال: كان اسم الرسول الثالث بولس. (المصدر مترجم من العربية مطيع الفادي).
rawaah abn alshahrariu ean saeid bin jabir faqala: kan aism alrasul alththalith buls. (alimasdar mutarjim min alearabiat matie alfadi

For English
Narrated Ibn al-Monthere from Saed bin Jubayr who said: The name of the third messenger was Paul. (Source; translated from the Arabic by Mutee’a Al-Fadi)

Kwa Kiswahili
Imesimuliwa na Ibn al-Monthere kutoka kwa Said bin Jubayr amesema jina la mtume wa tatu aliye Tumwa na allah ni Paulo (Chanzo, imetafasiriwa kutoka lugha ya kiarabu na Matee'a Al -Fadi )

1621982914473.png

1621982947314.png

1621983031893.png
 
Back
Top Bottom