Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Una point nzuri, ila uzaliwa wa Yesu ni kwamba Holy spirit alikua proceeding from the Father, papo hapo Yesu aliweza kumtengeneza ndege na akampa pumzi ya uzima, kama Adam alivyoumbwa na kupewa pumzi ya uzima. Ni Mungu peke yake anaweza fanya hivyo.

Nadhani kuna ambao watakupa maelezo mazuri
kama Hoja ni Yesu Kuzaliwa Bila Baba Ndiyo Sababu Ya Kuwa MUNGU, je! Adamu Ambae Hana Mama Wala Baba Nae Tumuiteje?.
 
Mudi bana anadai allah kampa ruhusa ya akipenda mwanamke yyt at a kama kaolewa mume sharti ampe talaka mke wake ili mudi amle uislamu ni kituko, pata nondo apo

Kituko ni Mungu kuzaliwa na katoto cha miaka 13 😀

Wakiristo bana, mnasoma vitabu ambavyo hamujui kaandika nani afu mnalazimisha kuwa ni maneno ya Mungu.

Inaonekana kanisani mnafundishwa kukimbia hoja....

Ile hadithi inabidi hadi sasa umeshindwa kutwambia ni kwa mujibu wa akaunti ya nani? 😀

Tukisoma Nambari tunaona Bibilia ilivyo chafu na tamaa za kingono kwa watoto....Tena inaamrisha kuuwa ilimradi tu ujipatie katoto cha kulala nacho

17 Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye.

18 Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.

Kwani Biblia ni kitabu kitukufu ? Je ni kitabu cha mtume gani ?

Halafu hii hoja yako dhaifu ya kutaka upewe "manuscript" ya Qur'aan nikishakujibu mara kibao lakini unaonekana umekaa kubisha bishana na si kujifunza. Nilikwambia hivi sisi tuna sanadi mpaka kufika kwa mtume,na Qur'aan tangu mtume yuko hai maswahaba walikuwa wanaihifadhi vifuani mpaka leo watu wanaihifadhi Qur'aan vifuani na elimu huenda kwa kuridhishana,leo hii mpaka kiama kinasimama hakuna hata wale walio muona Yesu walio hifadhi Injili yote vifuani,Yesu aliondoka na Injili yake.

Ajabu sasa nataka wewe uniambie iko wapi ile Injili aliyokuja nayo Yesu hata kipande cha nusu ukurasa ? Sababu Musa alikuwa na Torati,Daudi alikuwa na Zaburi. Sasa hapa ndipo utakapo kujua dhamiri ya kitabu sio mpaka kiwe cha kushikika mkononi.

Usinieletee habari za kina Luka,Mathayo,John na Marko ambao kati ya wawili hao hawakumdiriki Yesu vipi tuwaamini lwa yale wayasemayo ?
Hakuna mwislamu aliyeshinda dhambi ata we mwenyew kuna dhambi inakugalagaza
 
Wewe umechanganyikiwa kwa kweli. Kwa sababu unashindwa kutumia akili ipasavyo, lakini ndio ukiristo kikwazo chenu. akili hamzitumii ipasavyo kupima mambo. Kama waraka alikuwa na Injili aloshushiwa Issa, mbona kwenye bibilia hakuna injili aloshushiwa issa, bali kuna Injili ya matayo?
Hakuna mwislamu aliyeshinda dhambi ata swala tano hakuna
 
Kwanini aitwe bin Yussuf? hakumzaa wala hana nasaba nae. Kwanini umpe ubin ambao hauhusiki na yeye hata kisheria! hivi unaelewa maana ya Bin?

Je Issa ni Mwana wa Mariam au hapana? Jibu hili
Mbona Naskia Kwa Waislam : Akilea Mtoto, Hata Kama Si Wake 'Biologically' Say, Mke Kachepuka, Bado Atakuwa Mwanae Halali, Maana Kitanda Hakizai Haramu, Na Mke Ni Wake... Kamlpia Mahari Yeye.

Sawa Na Jirani, Mbegu Zake Zikimwagika Ktk Shamba Lako, Wewe Ukapalilia Na Kumwagilia, Mbolea Mpaka Ikafikia Siku Ya Mavuno. Je, Jirani Anaeza Kuja Na Kudai Ya Kuwa Mazao Ni YAKE? [emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji95][emoji95][emoji95][emoji927][emoji91][emoji91][emoji91][emoji418][emoji418][emoji418][emoji1015]
 
Kuna mkiristo aloshinda dhambi? hadi Mungu kaja kujiulisha kwa ajili yenu ila bado dhambi mnazo 😀 😀 😀
Kwanini tusiwepo tutakuwa watakatifu kama MUNGU wetu alivyo mtakatifu aliye hai sio aliyekufa

MAANA MUNGU WANGU NI BABA YANGU
Na kumbuka mtoto wa simba ni simba
 
Kituko ni Mungu kuzaliwa na katoto cha miaka 13 😀

Wakiristo bana, mnasoma vitabu ambavyo hamujui kaandika nani afu mnalazimisha kuwa ni maneno ya Mungu.

Inaonekana kanisani mnafundishwa kukimbia hoja....

Ile hadithi inabidi hadi sasa umeshindwa kutwambia ni kwa mujibu wa akaunti ya nani? 😀

Tukisoma Nambari tunaona Bibilia ilivyo chafu na tamaa za kingono kwa watoto....Tena inaamrisha kuuwa ilimradi tu ujipatie katoto cha kulala nacho

17 Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye.

18 Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili ye
Mwenzako kwenye video ubishi umemuisha kamkiri Yesu, amesema kabisa kitendo cha mudi cha ngono za avyo ni kibaya
 
Mbona Naskia Kwa Waislam : Akilea Mtoto, Hata Kama Si Wake 'Biologically' Say, Mke Kachepuka, Bado Atakuwa Mwanae Halali, Maana Kitanda Hakizai Haramu, Na Mke Ni Wake... Kamlpia Mahari Yeye.

Sawa Na Jirani, Mbegu Zake Zikimwagika Ktk Shamba Lako, Wewe Ukapalilia Na Kumwagilia, Mbolea Mpaka Ikafikia Siku Ya Mavuno. Je, Jirani Anaeza Kuja Na Kudai Ya Kuwa Mazao Ni YAKE? [emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji95][emoji95][emoji95][emoji927][emoji91][emoji91][emoji91][emoji418][emoji418][emoji418][emoji1015]
Una reference yoyote?
 
Kwanini tusiwepo tutakuwa watakatifu kama MUNGU wetu alivyo mtakatifu aliye hai sio aliyekufa

MAANA MUNGU WANGU NI BABA YANGU
Na kumbuka mtoto wa simba ni simba
Huwezi kukosa dhambi kwa sababu wewe ni binaadamu, na hakuna binaadamu alieko perfect. Ni mitume pekee ambao wao haihesabiwi kama ni dhambi bali linahesabiwa kama ni kosa na ni mtihani kwake.

Mtoto wa simba ni simba, na mtoto lazima awe na baba, je Yesu anae baba?
 
Mwenzako kwenye video ubishi umemuisha kamkiri Yesu, amesema kabisa kitendo cha mudi cha ngono za avyo ni kibaya
Huyo alokiri nani?

Ila kwa Mungu kumtia mimba katoto cha miaka 13 ni sawa?

Na bibilia ikawaambia muwaue wanaume afu mjisevie vitoto kwa ajili yenu 😀 😀 😀 unafiki tu umewajaa
 
Kituko ni Mungu kuzaliwa na katoto cha miaka 13 😀

IMEANDIKWA WAPI KWENYE BIBLIA TAKATIFU?? NIMEAMINI HARJUNUNU FUNUNU [emoji12]

Wakiristo bana, mnasoma vitabu ambavyo hamujui kaandika nani afu mnalazimisha kuwa ni maneno ya Mungu.

MAKADIANI BANA NI RAINAA [emoji12]

Inaonekana kanisani mnafundishwa kukimbia hoja....

Ile hadithi inabidi hadi sasa umeshindwa kutwambia ni kwa mujibu wa akaunti ya nani? 😀

Tukisoma Nambari tunaona Bibilia ilivyo chafu na tamaa za kingono kwa watoto....Tena inaamrisha kuuwa ilimradi tu ujipatie katoto cha kulala nacho

17 Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye.

18 Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.

Hayo maelekezo NI ya ummat gani??[emoji44][emoji12] unachanganya kokoto mahindi na maharage unaita kande [emoji44][emoji12][emoji33][emoji33]
 
Huwezi kukosa dhambi kwa sababu wewe ni binaadamu, na hakuna binaadamu alieko perfect. Ni mitume pekee ambao wao haihesabiwi kama ni dhambi bali linahesabiwa kama ni kosa na ni mtihani kwake.

Mtoto wa simba ni simba, na mtoto lazima awe na baba, je Yesu anae baba?
MUNGU ana baba ???
 
Huyo alokiri nani?

Ila kwa Mungu kumtia mimba katoto cha miaka 13 ni sawa?

Na bibilia ikawaambia muwaue wanaume afu mjisevie vitoto kwa ajili yenu 😀 😀 😀 unafiki tu umewajaa
Leta maali maandiko yaliyo sema umri acha kuokoteza kujipa Moyo
Shehe kapigwa knockout kumtetea mudi unaitaji kuwa chizi kidogo pata uondo APA
 
Back
Top Bottom