Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Usijitie wazimu kitabu chako cha biblia kinataja makosa haya ,kwa hivyo yesu alifanya makosa na si mungu .Usijaribu kujidanganya mwenyewe Utalibeba zigo lako mwenyewe

Uliandika

Nitajie kosa moja TU LA YESU ili tusimuite MUNGU
emoji101.png


Majibu

Here are the quotes from Jesus that proves that he lied:

1) And Jesus answered and said to them, “Truly I say to you, if you have faith and do not doubt, you will not only do what was done to the fig tree, but even if you say to this mountain, `Be taken up and cast into the sea,’ it will happen. “And all things you ask in prayer, believing, you will receive.” (Matthew 21:21-22 NAS)

2) Ask and it will be given to you; seek and you will find; knock and the door will be opened to you. For everyone who asks, receives; and the one who seeks, finds; and to the one who knocks, the door will be opened. (Matthew 7:7-8 NAB)

3) Again I say to you, that if two of you agree on earth about anything that they may ask, it shall be done for them by My Father who is in heaven. For where two or three have gathered together in My name, I am there in their midst.(Matthew 18:19-20 NAS)

4) Amen, I say to you, whoever says to this mountain, ‘Be lifted up and thrown into the sea,’ and does not doubt in his heart but believes that what he says will happen, it shall be done for him. Therefore I tell you, all that you ask for in prayer, believe that you will receive it and it shall be yours. (Mark 11:24-25 NAB)

5) And I tell you, ask and you will receive; seek and you will find; knock and the door will be opened to you. For everyone who asks, receives; and the one who seeks, finds; and to the one who knocks, the door will be opened. (Luke 11:9-13 NAB)

6) And whatever you ask in my name, I will do, so that the Father may be glorified in the Son. If you ask anything of me in my name, I will do it. (John 14:13-14 NAB)

7) If you remain in me and my words remain in you, ask for whatever you want and it will be done for you. (John 15:7 NAB)

8) It was not you who chose me, but I who chose you and appointed you to go and bear fruit that will remain, so that whatever you ask the Father in my name he may give you. (John 15:16 NAB)

9) On that day you will not question me about anything. Amen, amen, I say to you, whatever you ask the Father in my name he will give you. Until now you have not asked anything in my name; ask and you will receive, so that your joy may be complete. (John 16:23-24 NAB)
Uislam na Kingereza wapi na wapi?
 
Unataka kusema MUNGU Ana DHAMBI?? [emoji44][emoji12]
Mjinga wewe huwezi kutumia akili ata kidogo 😀

Kwani Mungu ana thawabu? nani anamuhukumu Mungu kuwa kafanya dhambi au kapata thawabu 😀

Pumbav wahed 😀
 
Ujinga utakutoka lini nilisha kwambia kitabu kinacho tumiwa na wakristo ni biblia na nikakuomba leta umri wa maria kutoka kwenye bible unaangaika kuokota maandiko , hiyo haya leta imeandika wapi ndani ya biblia


Mudi alipenda ngono mpaka alikuwa anaota anafanya ngono na anamuadithia make mke wake aisha
Bibilia ni kitabu mnachodai kimetoka kwa Mungu (ilhali hamujui hata nani kaandika). Kujidai kuwa eti wakiristo wanatumia bibilia tu, ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa. Kama hujui kamuulize padre wako akwambie kuwa zipo source nyengine ambazo zinatumiwa kama reference.

Mungu wako kampachika mimba katoto cha miaka 13 ili azaliwe 😀

Na kama haitoshi, bibilia ikwaamrisha kuwaua wanaume ili mjipatie VITOTO vya kike kwa ajili yenu 😀 Uchimvi mtupu kwenye bibilia.

Na hio hadithi ulioileta na ile ya mara ile twambie ni kwa mujibu wa akaunti ya nani? 😀 😀 😀 Swali limekushinda kujibu sio?

By the way, Ngono ukifanya na mkeo sio kosa, na ukiota unafanya ngono sio kosa wala sio dhambi. Tatizo lenu mshazoea kufanya uzinifu mkazaliwa na kuwazaa watoto wa nje ya ndoa sasa mnashindwa kutofautisha ndoa na uzinifu wenu 😀

Jibu maswali mchimvi
 
Nyie, huyo mnaemwita "Yesu" akirudi leo ukimwita "Yesu" hakuelewi.

Nani aliwadanganya kuwa jina lake "Yesu"?

Lugha za Kihebrania ba Aramaic hazina herufi Y.

Halafu hiyo Biblia mnayosoma ni kopi ya kopi ya kopi ya kopi ya kopi...

Iko wapi "orijino"?

Acheni kulisha watu matango pori.
 
Mjinga wewe huwezi kutumia akili ata kidogo 😀

Kwani Mungu ana thawabu? nani anamuhukumu Mungu kuwa kafanya dhambi au kapata thawabu 😀

Pumbav wahed 😀
Asante [emoji117] HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO NI MTUME WAKE [emoji123][emoji106]
 
Asante [emoji117] HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO NI MTUME WAKE [emoji123][emoji106]
Karibu tena, najua jibu nlokupa tayari umetambua ukweli, lakini kwa vile wewe ni mjinga basi utaachana na ukweli na utamfata shetani .Wewe endelea kuabudu mtu 😀 wacha sisi wengine tumuabudu alieumba mbingu na ardhi 🙂

By the way kabla hujakimbia, nijibu hili hapa chini basi mana umeliruka:

lukwangul.JPG
 
Tatizo ni kuwa Yesu hawez kuwa Mungu. Mungu hazaliwi na wala hazai...

Au wewe hoja yako ilikuwa inasemaje?
Acha ukafiri ww! MWANADAMU KWELI HAWEZI KUWA MUNGU jee NA MUNGU HAWEZI KUWA MWANADAMU??
 
Acha ukafiri ww! MWANADAMU KWELI HAWEZI KUWA MUNGU jee NA MUNGU HAWEZI KUWA MWANADAMU??
Ukafiri ni kuamini kuwa Mungu anaweza kuwa mwanadamu. Huo ni ukafiri mkubwa sana! na ndio maana hata wewe mwenyewe umejiita mjinga na kukiri kuwa ile kengele ya kanisa huwa inawaita wajinga. Tatizo lako wewe ni mwanaharamu uliekubuhu. Ivi mungu ajigeuze katika umbile la kiumbe dhaifu? Yaani Mungu muweza wa yote adhalilike asulubishwe na watu? Yaani Mungu awe hoi bin taaban halafu anajiomba msaada mwenyewe? Shetwani Rrajium......
 
Nyie, huyo mnaemwita "Yesu" akirudi leo ukimwita "Yesu" hakuelewi.

Nani aliwadanganya kuwa jina lake "Yesu"?

Lugha za Kihebrania ba Aramaic hazina herufi Y.

Halafu hiyo Biblia mnayosoma ni kopi ya kopi ya kopi ya kopi ya kopi...

Iko wapi "orijino"?

Acheni kulisha watu matango pori.
ww jidanganye mnyewe mwali WANGU BIBLIA TAKATIFU INA TBS MOJAWAPO NI HII [emoji116]Halafu TUMEHIFADHI KIFUANI [emoji116] na ndio tukafahamu koloani NI famba [emoji44][emoji23][emoji23] HAKUNA ALICHO SAHAU MUNGU HADI AMTUME muhammad ibn Abd'Allah!
IMG_20190129_201028_551.jpeg
IMG_20190621_180051_917.jpeg
 
Akiwa mtumishi huwa anatumwa na nan? 😀
ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI [emoji106][emoji123] YALE ALIYO TUFUNULIA NDIYO TUNAYO YAHUBIRI KWA JIHAD NA KUWAFUNDISHA WATOTO WETU [emoji123][emoji123][emoji123][emoji106]
IMG_20190801_160309_639.jpeg
 
ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI [emoji106][emoji123] YALE ALIYO TUFUNULIA NDIYO TUNAYO YAHUBIRI KWA JIHAD NA KUWAFUNDISHA WATOTO WETU [emoji123][emoji123][emoji123][emoji106]View attachment 1169382
Akiwa mtumishi hutumwa na nani? Swali jepesi tu linakushinda?

John 8:42 Yesu akawaambia, "Kama Mungu angekuwa Baba yenu, mngenipenda mimi, maana mimi nilitoka kwa Mungu na sasa niko hapa. Sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila yeye alinituma.
 
upo? naona uliufyata!
Quran ilikuja kipindi cha mtume wala haikuwepo kabla yake. Hivyo kitabu kilichokuepo ni Biblia tu na quraan imekuja kuichalenge biblia na kuukataa Uungu wa Yesu. Hii imesababisha unabii utimie wa mpinga kristo na soon atajitokeza waziwazi mkuu wa quraan yake na kukokota wafuasi wake motoni. Inabidi utubu leo na kumfuata Yesu wakati bado mlango wa neema upo wazi.
 
Quran ilikuja kipindi cha mtume wala haikuwepo kabla yake. Hivyo kitabu kilichokuepo ni Biblia tu na quraan imekuja kuichalenge biblia na kuukataa Uungu wa Yesu. Hii imesababisha unabii utimie wa mpinga kristo na soon atajitokeza waziwazi mkuu wa quraan yake na kukokota wafuasi wake motoni. Inabidi utubu leo na kumfuata Yesu wakati bado mlango wa neema upo wazi.
Quran ilikuja wakati wa Mtume s.a.w, na wewe umemwita mtume, kwaio tayari umetambua kuwa yeye ni mtume wa Mungu.

Bibilia haikuwepo wakati Yesu, ilikuja kuandikwa baada ya miaka kupita, sasa nyie mnainasibisha na Yesu, Quran imekuja kuwaweka sawa.

Hata hivo, Sio Quran tu inapinga Uungu wa Yesu, hata Bibilia nayo pia inapinga na kukufundisha kuwa alikuwa mtume tu. 🙂
 
Back
Top Bottom