kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,892
- 2,803
Nakuuliza allah wako anaitwa nani?Naona unayoulizwa huyajibu.
Nipe maana ya Allah basi.
Nakuuliza allah wako anaitwa nani?Naona unayoulizwa huyajibu.
Nipe maana ya Allah basi.
Lini Utaanza kunijibu masuali nlokuuliza? Nikikwambia wewe ni bwana mdogo huamini.Nakuuliza allah wako anaitwa nani?
Hayo ni Maoni.Malaika kaumbwa kwa Nuru na hana Free will. Hivo hawezi kuasi. Upupu kama huo unaupata kwenye bibilia tu.
Mmeingia mtegoni
Acha unafiki mkuuTumeambiwa tuamini kuwa Allah ameshusha Injili, na tunaamini kuwa alimshushia Issa a.s Injil. Suala la kukwambia iko wapi, sijui iko wapi na haina umuhimu kwetu kujua iko wapi, kwa sababu Injil wameshushiwa mayahudi wakati ule, kwa ajili yao peke yao. Sasa wewe kama unataka kujiita Ahlu kitab, basi tuoneshe kitabu cha Issa ibn Maryam, kama huna, wewe jiite Ahlu Nicea tu.
unachanganya mambo nimekupa kweli mbini.Kumbe unabatiza watu wasiojua dini yao 😀 sisi tunasilimisha wenye kuujua ukiristo. Yale maonesho yenu tumeshawazoea, mnaokota watu na kuwapa hela ya maji waje stejini ku act. Kanisa lako lishafufua wafu ama mpaka meseji mlotuma kwa mungu kwenye Whatsapp was not delivered?
Anatakiwa kuthibitisha kuwa Mungu kasema atavilinda ivo vitabu ni wewe na sio mimi. Na kama huna sehemu ambayo Mungu kasema atalinda basi hakuona haja ya kulinda kitabu ambacho zama zake hazitaendelea. Uislam ndio umekuja kukamilisha dini halali ya Mungu alieumba mbingu na ardhi.
Kucopy na kupaste inachukua mda mfupi sana. Hao walioandika Quran hawakukaa na kutunga aya za kuandika, walichukua aya zilizokuwepo na kuzikusanya kwenye kitabu.
Kuna mdau kaleta aya za Bibilia ndo kamaliza kila kitu.
Ahlul Nicea mnakaa lini kuifikiria Injili ya Judas kuiweka kwenye bibilia?
Fuata maneno ya Allah na sio ya kina petro sijui paulo wazinifu na wauwaji.
Mda upo hujachelewa kusilimu.
Quran inasema hakuna mtu anayeweza kubadili maneno ya allaha ikiwemo quran.Anatakiwa kuthibitisha kuwa Mungu kasema atavilinda ivo vitabu ni wewe na sio mimi. Na kama huna sehemu ambayo Mungu kasema atalinda basi hakuona haja ya kulinda kitabu ambacho zama zake hazitaendelea. Uislam ndio umekuja kukamilisha dini halali ya Mungu alieumba mbingu na ardhi.
Kucopy na kupaste inachukua mda mfupi sana. Hao walioandika Quran hawakukaa na kutunga aya za kuandika, walichukua aya zilizokuwepo na kuzikusanya kwenye kitabu.
Kuna mdau kaleta aya za Bibilia ndo kamaliza kila kitu.
Ahlul Nicea mnakaa lini kuifikiria Injili ya Judas kuiweka kwenye bibilia?
Fuata maneno ya Allah na sio ya kina petro sijui paulo wazinifu na wauwaji.
Mda upo hujachelewa kusilimu.
Huna akili ndio maana unafikiri Mungu kuumba kiumbe kilichokosa free will kuwa ni dikteta.Hayo ni Maoni.
Ila kwa Mujibu wa Bibilia Malaika anafree will, na Ndio Maana aliasi akiongozwa na malaika mkuu.
Mungu sio Dicteta aabudiwe na viumbe ambao hawana utashi kama maroboti.
Ndio maana nakukumbusha amini Bibilia, Hicho kitabu cha karne ya saba hakiwezi kuwa superior kwa maneno ya Munvu yaliyoandikwa kwa range ya miaka 1500+ alafu yanauhusiano utadhani yameandikwa siku moja na jopo la watu wanaofahamina.
Umesema kuwa aya inasema tuwaulize watu wa bibilia, mbona haikuandikwa bibilia? kitabu gani hicho kilichozungumzwa kwenye aya uloileta.Acha unafiki mkuu
Surah 10
94. Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.94
Sasa Quran inadanganya kusema wapo watu waliosoma kitabu kabla yako.
Na ukisema hawapo basi, njoo nikubatize maana kitabu kinadanganya.
Nicea hujiui mkuu. Maandiko Yapo kabla hata ya Yesu Kuzaliwa, Yamekuwepo kabla hata hao unaowaita nicea kuwepo. Kuna maelefu ya wakristo ambao hata hawajui wala hawakujua kama kuna kitu nicea kiliwahi kukaa lkn wanamaneno hayahaya unayoyasoma kwenye Bibilia. Unadhani St thomas christians wa India ambao ni wafuasi wa Thomaso mwanafunzi wa Yesu walijua hayo mambo ya Nicea, Tena cha ajabu walijua makao makuu ya ukristo ni Bagdadi enzi hizo.
Usipotoshwe kirahisi hivyo mkuu.
Ni vizuri kuwa umekiri unaowabatiza hawajui dini yao. Mana anaejua dini huwezi kumbatiza 😀unachanganya mambo nimekupa kweli mbini.
1: Waislam wengi hawajui mambo ya dini yao. Ndio maana hata ukimuuliza wewe ni sunni, amadiya, shia, hajui chochote. wala quran hana..
2: Wanabatizwa hadi mashehe. ntakuwekea hapa link nikishindwa kuipata nitakupa jina ukaulizie tu cv ya huyo kijana wa Bagamoyo. Wewe humsogelei.
Hapa unathibitisha kama wewe huna elimu na unadandia treni kwa mbele maskini.18:27 Na soma uliyo funuliwa katika Kitabu cha Mola wako Mlezi. Hapana wa kubadilisha maneno yake. Wala nawe hutapata makimbilio isipo kuwa kwake.
6:115 Na yametimia maneno ya Mola Mlezi wako kwa kweli na uadilifu. Hapana awezaye kuyabadilisha maneno yake. Na Yeye ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua. 115
unathibitisha kiwango cha juu cha kutoelewa unaamini nini na hauamini nino.
Kitabu chako kinasema hakuna mtu anayeweza kubadili maneno ya Mungu.
Wewe unasema maneno ya Mungu (Zaburi, Taurat na Injil) watu waliyabadili.
Nakushangaa sana mkuu maana hata quran inakushangaa na propaganda zako.
Wewe umechanganyikiwa kwa kweli. Kwa sababu unashindwa kutumia akili ipasavyo, lakini ndio ukiristo kikwazo chenu. akili hamzitumii ipasavyo kupima mambo. Kama waraka alikuwa na Injili aloshushiwa Issa, mbona kwenye bibilia hakuna injili aloshushiwa issa, bali kuna Injili ya matayo?Quran inasema hakuna mtu anayeweza kubadili maneno ya allaha ikiwemo quran.
wewe na quran mnakili zabur, injil nantauran ni maneno ya Allah.
wewe huyohuyo unasema ameneno ya allah ya injil, zabur na taurat yalibadilishwa.
Mtume anaandika kwenye quran hata wakati wake injil na taurat vilikuwepo.
Waraqa alikuwa anatafsiri injili kwa kiarabu siku mtume alipopelekwa akiwa anaumwa baada ya kutokewa na jibrili Pangoni.
Wewe unasema injili ilichakachuliwa Nicea (325 AD) ila aliyemthibitisha mtume alikuwa nayo 610AD.
mkuu ukiendelea hivi, utachanganyikiwa, maana hueleweki unaamini nini.
Hadi ubatizwe ndio utaanza kuona mambo kwa usahihi🤓
Wewe umechanganyikiwa kwa kweli. Kwa sababu unashindwa kutumia akili ipasavyo, lakini ndio ukiristo kikwazo chenu. akili hamzitumii ipasavyo kupima mambo. Kama waraka alikuwa na Injili aloshushiwa Issa, mbona kwenye bibilia hakuna injili aloshushiwa issa, bali kuna Injili ya matayo?
Sasa mgen, aya ulizoleta na ulichoquote unajaribu kutwambia nini? au unataka kutwambia watu waliobeba kwa uadui ni mayahudi na washirikina. Hatujakataa kama KULIkuwa na wakiristo wacha Mungu. Hakika ni wale waliokuwa wakisoma injili aloshushiwa Issa na sio upupu wa "Pengine ni kutoka kwa matayo"Tatizo lako Hujui KUSOMA na hata aliye tumwa kuwasomesha Anawashangaa kwa uongo na uzushi wenu [emoji44][emoji12] Huyo unaye TAKA kufundisha hata Allah Anatambua NI MSOMI NA Mcha MUNGU...[emoji117]View attachment 1145201View attachment 1145202View attachment 1145203
Sasa mgen, aya ulizoleta na ulichoquote unajaribu kutwambia nini? au unataka kutwambia watu waliobeba kwa uadui ni mayahudi na washirikina. Hatujakataa kama KULIkuwa na wakiristo wacha Mungu. Hakika ni wale waliokuwa wakisoma injili aloshushiwa Issa na sio upupu wa "Pengine ni kutoka kwa matayo"
Sasa mgen si kwamba hujui bibilia uisomayo waandishi wake hamuna uhakika nao. Unajua fikka kuwa unasoma kitabu kilichoandikwa na mwanadamu.Ulicho andika ni hakika kama alivyo sema allah wewe ni muongo na mzushi [emoji44] Allah kwa kinywa muhammad ibn Abd'Allah Amesema [emoji117] "WALE WASEMAO SISI NI WAKRISTO!" wewe Hujui KUSOMA [emoji106]unasomeshwa na aliye tumwa kukusomesha unamuona hajui unaongeza TOKA kichwani mwako [emoji44] [emoji117]eti ni wale walio KUWA wakisoma INJILI ALIYO shushiwa isa [emoji44] Kwani WASEMAO SISI NI WAKRISTO HAWAPO NA HAWASOMI INJILI??¿ [emoji12]
Hii point yako ni weak sanamkuu unamshkaji yoyote JINI ambaye amesilimu. Maana mmeambiwa mfanye nao urafiki.
na naona mashehe wakipunga mapepo huwa wanayasilimisha.
Nilitaka nikuhoji maswali kadhaa japo nje ya mada. Ila kama unaamini kinadharia tu lkn hu anexperience nayo potezea
Huyu ni Baba Wa kumlea, angalau mmgemuita isa bin Yusufu. Kama Leo tumekubaliana Yesu hana Biological father, Basi tukubaline baba ni Yule aliyekuwa akimuomba na anasema yuko naye siku zote yeye na Baba huyo ni ummoja, uungu una yeye 100% na Yesu sio Kiumbe ni Muumba pamoja Baba yake. Sasa rudi kusoma Yohana Moja uje ubatizwe
Sasa kwanini yesu akiitwa mwana wamungu wanakata kama niivyo watuambie baba yake yesu ninaniKwahyo tukubaliane hapa ndo ulimwengu mzima utakubali?