mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,761
hahaha mimi sio huyo mdau. siwezi kufanya usanii kwenye mambo ya Mungu mkui. Bora nitoke kabisa jukwaa hili kuliko kuwa mnafiki kiasi hicho.Kwaio wewe ni Lukwangu? Sasa kuna faida gani ukitumia ID mbili? au ndio ionekane una wafuasi wengi kama kawaida yenu wakiristo 😀 😀 😀
nilikuta notification (Quotes) zaidi ya 12 nikafungua moja baada ya nyingine kwenye tab na kuanza kurespond.
hiyo niliishtukia baada ya kuwa nimeandika nikaona kumbe kuna jamaa mwinhine huyo anakomaa na yeye nikaamua kupotezea.
usihofu sijafikia hatua hizo mkuu, usiwe na wasiwasi wala shaka.