Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Katika uislamu mtoto asiyenamafungamano na baba (aliyyetoka na kauli ya Mungu Kuwa nae akawa,watoto wa zinaa,watoto wasiojulikana baba zao) basi huitwa kwa majina ya mama zao.Mtoto wa Zinaa hana haki kwa baba mtia mimba.
 
Sisi wakrosto tunayo injili. tuko nayo siku zote tangu ilipoandikwa na wanafunxi wa Yesu sio Yesu. Mungu alikuja kuishi kwq wanadamu ktk umbile lao akaleta habari njema, imeandikwa mara nne chini ya 100AD. haijawahi kuharibiwa. ila nyie ndio mnasema hapana injili aliiandika Yesu. mtupe basi, maana siku mtume anapata wahya au anatokewa na jibril mkewe alimpleleka kwa mzee waraqa, mzer huyo alikuwa mkristo akitafsiri Injili kuja kiarabu.

naomba basi hata hiyo? ukwl ni hii unayoikwepa mkuu. kama Yesu aliandika. Thibitisha!!!!!!!!!!!!!!!!

Thibitisha hawakuandika alichoshushiwa Yesu kwa kunilinganishia na alichoshudhiwa.

acha braa braa chief. hatutaki msimamo kwenye evidenceless arguments.
Kwanza afadhali kuwa umekubali kuwa wanafunzi wa Yesu ndio walioandika Injili na sio kwamba Injili hio ilitoka kwa Mungu kwa sababu Luke anasema kuwa kama vile walivoandika wengine basi na yeye kaamua kuandika injil.

Narudia tena, nioneshe mahala niliposema kuwa Yesu kaandika Injili, naona huleti hio sehemu 😀 Kwisha habari yenu
 
[emoji121][emoji116]

UMEULIZA NINI? [emoji44]

Allah wanakataa [emoji44] labda ulete Ushahidi walikutana wapi na kumpa utume [emoji12]View attachment 1146509View attachment 1146518
Kwanza nikwambie, uniquote vizuri usichanganye madawa. chukua post yangu moja badala ya nyingine uiquote kama nifanyavyo mie, usi edit quote ukaifanya haieleweki. mana Quote uloiweka umeongeza vitu ambavyo havikuwemo. Basi mpaka maneno yangu pia mnayachakachua, mtaacha lini nyie 😀

Yaani unasema Allah amekataa halafu unataka aya isemayo kuwa Allah kampa utume Muhammad, hapo hapo io aya unaileta mwenyewe. 😀

we jamaa unahitaji kusaidiwa kwa kwel
 
CHA MUHIMU "ISSA SIO YESU"[emoji61]

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu.

Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu,ninyi mnategemea nini?

Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuka kwa mikono ya waandishi, karibuni katika dini ya Kiislamu.
 
ivi mnavyo tumia nguvu kubwa kusema biblia imechakachuliwa kwa nn msilete original tukaisoma apa, narudia tena issa sio Yesu na hatakuwa , mudi mwenyewe mnamuamini vipi wakati alimnajisi mtoto wa miaka 9 , yani mudi alitakiwa awe behind bars
 
Sasa utakuwa umekasirika , wakati mimi sikuandika Biblia. Nikikuletea ya huyo alomzaa huyo unayemwabudu kama mungu unaweza ukavunja kioo cha simu au computer 😛😛😛
 
Nimejifunza mengi kwenye hii post mkuu.

Kumbe kwa mujibu wa Bibilia yao Yesu ni Kizazi cha zinaa na Bibilia hio hio inasema hatoenda yoyte kizazi cha zinaa kwenye mkutano wa Mungu. 😀

Umemaliza kila kitu hapa, sasa wamebaki na ubishi kama spensa tu. Tatizo hawatumii akili zao na ni marufuku kutumia akili kuhoji yalioyochaguliwa kuwekwa kwenye Bibilia.
 
ivi mnavyo tumia nguvu kubwa kusema biblia imechakachuliwa kwa nn msilete original tukaisoma apa, narudia tena issa sio Yesu na hatakuwa , mudi mwenyewe mnamuamini vipi wakati alimnajisi mtoto wa miaka 9 , yani mudi alitakiwa awe behind bars
Kwanini tuhangaika kutafuta kitabu ambacho walipewa wana wakondoo tu wakati hakituhusu? Habari zote ambazo mlizizusha kwenye bibilia yenu basi Quran ilikuja kuweka Sawa.

Eti Mungu wako alozaliwa na "Maria" alikuwa na miaka mingapi tangu aumbe dunia na Maria alikuwa na miaka mingapi wakati anamzaa huyo mungu wako? Vile vile unaweza kutwambia Yussuf alikuwa na umri gani wakati akitoka na Maria?

Halafu lete ushahidi kama mtume alimnajisi mtoto wa miaka tisa 🙂 Nasubir
 
Mjumbe wa Allah alinioa nilipokuwa na miaka sita, na niliingizwa nyumbani mwake nikiwa na miaka tisa. (A'isha) Aliendelea kusema: Tulikwenda Madina na nilishikwa na homa kwa muda wa mwezi mmoja, na nywele zangu zilianguka hadi kwenye ndewe (masikioni). Umm Ruman (mama yangu) alikuja kwangu na wakati huo nilikuwa kwenye bembea pamoja na wenzangu ninaocheza nao ,na hapa midoli (wanasesere) yalikuwa pamoja naye
MPAKA inasikitisha dogo alikuwa anacheza kwenye bembea na watoto wenzake , midoli na wanasesere, mudi akakatisha ndoto ya mtoto mdogo ya kukua na kucheza na wenzie
 
Back
Top Bottom