Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Miujiza aliyopewa Yesu na Mungu ni pamoja na kuumba ndege kwa idhini ya Mungu, hakujamfanya kuwa Mungu. Kwenye Biblia nzima hakuna sehemu Yesu anasema "Mimi ni Mungu na niabuduni" bali baadhi ya wakristo wanaungaunga aya ili wathibitishe Uungu wa Yesu.
Musa '' wakiniuliza Mungu huyo anaitwa nani niwaambieje?''
Mungu Waambie '' MIMI NIKO''.
Yesu Kabla Ibrahimu hajakiwepo '' MIMI NIKO"'
Wayahudi wakijua amesema yeye ni Mungu wakaokota mawe wampige wa sababwaliona anakufuru.

Mkuu naona mmeleweshwa mvinyo uleule uliowasumbua wayahudi miaka 2000 iliyopita.

Yesu ni Mungu ameumba vyote, na Anaabudiwa hata sasa mbinguni na duniani. na Yuko hai akitawala enzini na Baba yake ambaye nyie mnadai hamumjui.
 
Pole sana!
 
Wapi waislam wanasema Yesu kaandika Injil? Hata Mussa hakuandika Taurat, alipewa na akaifundisha.

usikimbie, rudi uoneshe wapi waislam wanasema Yesu kaandika Injil?
tangu nimeanza kufustilia hii hoja, wote mnapinga injili kuandikwa na Yhn, marko, luka, mathayo.
Ila mnakubali Yesu kuja na injili, na imeandikwa vinginevyo haya zinazohuzu injili sisingekiwemo kwenye Quran. Kama mnakana hili, na hamuonyeshi mtu aliyeandika, Basi atakuwa kaandika yeye. Niko sahihi kusema hivyo.

maana mnababaisha. Naomba iliko injili ya Isa ili uitumie kunithibitishia hii ninayoamini imechakachuliwa.

mbona naomba kitu ambacho kimo ndani ya uwezo wako wa kiimani unanipiga chenga shehe wangu?
usilete porojo za zurri eti imefichwa sijui kwenye kumbuku,bu za mbinguni.

niliaga lkn nimejua bado kuna watu mnahitaji msaada kutolewa propaganda potofu kuhusu injili
 
Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu.

Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu,ninyi mnategemea nini?

Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuka kwa mikono ya waandishi, karibuni katika dini ya Kiislamu.
Cha Muhimu "ISSA SIO YESU".
 
Mwambieni Mo yule shetani aliyekutana nae kwenye Mapango alimdanganya...maana alimbana sana kichwa jamaa asome lakini wapi? Hivi Malaika kama gabriel ashindwe kumfanya Mo asome tu mpk amkaririshe...kweli ( tena akamsqeezz kichwa wee ....daa huyu malaika gani)
 
Kwani yule aliyempa mimba alimfanya nini?
 
Yeye mwenyewe kakataza asiitwe Kristo mbona unampakazia Yesu? Au husomi Biblia?
Mafundisho ya mashetani sisi hatuyafati. Wapi pameandikwa kwenye biblia kuwa sio kristo? Usichanganye quraan na Biblia.
 
It is your choice kuabudu kiumbe cha kizazi cha zinaa ambacho hakiingii katika ufalme wa Mungu kama biblia ilivyotuambia
According to the most reliable traditions, Aisha brought her dolls to Muhammad’s house for play (Muslim 3341) and he would fondle the little girl in the tub while taking baths with her (Bukhari 6:298). Aisha was just a teenager by the time Muhammad died, but she had already spent over half her life in marriage to him. Even worse for Muslims is that part of the Quran was actually "revealed" while Muhammad was in bed with this little girl:
[Muhammad said] "…the Divine Inspirations do not come to me on any of the beds except that of Aisha." (Bukhari 47:755)
So, no... Muhammad did not condemn sex with children; he engaged in sex with children.

Embu tuanzie apo mudi kanajisi katoto kadogo , kalikuwa kanachezea mwanasesere , walikuwa mpaka anaoga nako , najua unajua mtoto wa 6yrs yupoje je ww unaweza kuoga nae
 
KAMA ALLAH NI MUNGU, KWANINI ALIUMWA MACHO MPAKA YAKAWA MEKUNDU?

Allah (s.w) aliumwa macho na pia wakati wa mafuriko ya Nabii Nuhu (a.s) alilia mpaka macho yakawa mekundu.

“Wakati mmoja macho ya Allah yalikuwa yanauma, na Malaika walikwenda kumuona, na kwamba Allah alitokwa na Machozi, kwaajili ya Mafuriko ya Nabii Nuhu mpaka macho yake yakawa mekundu (Al Milal Wannihal J.1 uk.141)

Msiba mzito sana tunapo soma ushahid kuwa:
1. Allah ana macho kama viumbe.

2. Allah analia kama viumbe ambavyo ni kafiri.

3. Allah ana sifa za kibinadamu ikiwa ni pamoja na kutokwa machozi.

MKRISTO MWENYE KUJITAMBUA HAWEZI KUMFUATA ALLAH ANAYE UGUA MACHO KAMA VIUMBE

ALLAH ANA MACHO Na tunaamini kuwa Allah Anayo macho mawili kikweli, na hii inatokana na kauli Yake Subhaanahu wa Ta’ala Aliposema kumwambia Nuuh (‘Alayhis-Salaam):

وَاصْنَعِ الْفُلْكَ بِأَعْيُنِنَا وَوَحْيِنَا
"Na unda jahazi mbele ya macho yetu na kwa mujibu wa ufunuo wetu."

Huud – 37
Na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:

"Pazia yake ni nuru, na lau kama Ataiondoa basi nuru ya Wajihi Wake ingeunguza kila kilichokifikia."

Na alipokuwa akihadithia juu ya Ad-Dajjaal alisema:

"Dajjaal ana chongo na Mola wenu Hana chongo."

Na tunaamini kuwa macho yetu hayamfikii kumuona Allaah.

Allaah Anasema:
لاَّ تُدْرِكُهُ الأَبْصَارُ وَهُوَ يُدْرِكُ الأَبْصَارَ وَهُوَ اللَّطِيفُ الْخَبِيرُ
"Macho hayamfikilii, bali Yeye anayafikilia macho. Naye ni Mjuzi, Mwenye khabari."
Al-An’aam – 103

Ndugu wasomaji, teyari mmesha elewa kuwa Allah ni kiumbe kama binadamu kwasabau ana macho na zaidi ya hapo aliugua macho.
Mungu awabariki sana.
 
Mafundisho ya mashetani sisi hatuyafati. Wapi pameandikwa kwenye biblia kuwa sio kristo? Usichanganye quraan na Biblia.

Mwambie huyo Roho Mtakatifu wako akuongoze vizuri usome vizuri hicho kinachoandikwa.
Soma tena nimeandika kitu gani
 
According to the most reliable traditions, Aisha brought her dolls to Muhammad’s house for play (Muslim 3341) and he would fondle the little girl in the tub while taking baths with her (Bukhari 6:298). Aisha was just a teenager by the time Muhammad died, but she had already spent over half her life in marriage to him. Even worse for Muslims is that part of the Quran was actually "revealed" while Muhammad was in bed with this little girl:
[Muhammad said] "…the Divine Inspirations do not come to me on any of the beds except that of Aisha." (Bukhari 47:755)
So, no... Muhammad did not condemn sex with children; he engaged in sex with children.

Embu tuanzie apo mudi kanajisi katoto kadogo , kalikuwa kanachezea mwanasesere , walikuwa mpaka anaoga nako , najua unajua mtoto wa 6yrs yupoje je ww unaweza kuoga nae

Ndiyo hicho ulichokileta kwa hasira kitaifanya biblia kumtoa Yesu kwenye kizazi cha zinaa??
 
KAMA ALLAH NI MUNGU, KWANINI ALIUMWA MACHO MPAKA YAKAWA MEKUNDU?

Allah (s.w) aliumwa macho na pia wakati wa mafuriko ya Nabii Nuhu (a.s) alilia mpaka macho yakawa mekundu.

“Wakati mmoja macho ya Allah yalikuwa yanauma, na Malaika walikwenda kumuona, na kwamba Allah alitokwa na Machozi, kwaajili ya Mafuriko ya Nabii Nuhu mpaka macho yake yakawa mekundu (Al Milal Wannihal J.1 uk.141)

Msiba mzito sana tunapo soma ushahid kuwa:
1. Allah ana macho kama viumbe.

2. Allah analia kama viumbe ambavyo ni kafiri.

3. Allah ana sifa za kibinadamu ikiwa ni pamoja na kutokwa machozi.

MKRISTO MWENYE KUJITAMBUA HAWEZI KUMFUATA ALLAH ANAYE UGUA MACHO KAMA VIUMBE

ALLAH ANA MACHO Na tunaamini kuwa Allah Anayo macho mawili kikweli, na hii inatokana na kauli Yake Subhaanahu wa Ta’ala Aliposema kumwambia Nuuh (‘Alayhis-Salaam):

وَاصْنَعِ الْفُلْكَ بِأَعْيُنِنَا وَوَحْيِنَا
"Na unda jahazi mbele ya macho yetu na kwa mujibu wa ufunuo wetu."

Huud – 37
Na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:

"Pazia yake ni nuru, na lau kama Ataiondoa basi nuru ya Wajihi Wake ingeunguza kila kilichokifikia."

Na alipokuwa akihadithia juu ya Ad-Dajjaal alisema:

"Dajjaal ana chongo na Mola wenu Hana chongo."

Na tunaamini kuwa macho yetu hayamfikii kumuona Allaah.

Allaah Anasema:
لاَّ تُدْرِكُهُ الأَبْصَارُ وَهُوَ يُدْرِكُ الأَبْصَارَ وَهُوَ اللَّطِيفُ الْخَبِيرُ
"Macho hayamfikilii, bali Yeye anayafikilia macho. Naye ni Mjuzi, Mwenye khabari."
Al-An’aam – 103

Ndugu wasomaji, teyari mmesha elewa kuwa Allah ni kiumbe kama binadamu kwasabau ana macho na zaidi ya hapo aliugua macho.
Mungu awabariki sana.

Hicho ulicholeta ndio Yesu anatamka Mimi ndiye Mungu
 
Ndiyo hicho ulichokileta kwa hasira kitaifanya biblia kumtoa Yesu kwenye kizazi cha zinaa??
Kama ww huwezi thubutu na unaona kitendo cha mudi ni cha kifirauni , hama hiyo dini kwanza alafu ya Yesu tutakufundisha , kama unaona ni sawa MTU wa miaka 53 kuoa mtoto wa miaka 6 na kuwa anaoga nae na kukanajisi basi baki uko
 
Naona unazidi kukasirika kama vile Mimi nimeandika biblia. Sasa hayo maneno yako yatamtoa Yesu katika kizazi cha zinaa kama inavyosema Biblia??
 
Unamjua ROHO anayezungumziwa na waislamu ? Huyu hapa ?

16. Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki.
17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.
18. (Maryamu) akasema: Hakika mimi najikinga kwa Mwingi wa Rehema aniepushe nawe, ukiwa ni mchamngu.
19. (Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako Mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliye takasika.
20. Akasema: Nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba?
21. (Malaika) akasema: Ndio hivyo hivyo! Mola wako Mlezi amesema: Haya ni mepesi kwangu! Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na Rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo lilio kwisha hukumiwa.
22. Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali.
23. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
24. Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!
25. Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.
26. Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu.
27. Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!
28. Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.
29. Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi. (Mariam : 16-29)

Huyo ndio ROHO na huo ndio uzao wa YESU.
Dunia Kuna maarifa mengi Sana. ....
 
Naona unazidi kukasirika kama vile Mimi nimeandika biblia. Sasa hayo maneno yako yatamtoa Yesu katika kizazi cha zinaa kama inavyosema Biblia??
Mambo ya Jesus Christ nitakujibu kama tu utanijibu ww kama ww MTU mzima unaweza kuoga na katoto cha miaka 6 na mko uchi wa nyama na uka kaingilia , ukiweka akilini mnaemfuata mudi ndo tabia zake zilikuwa , pia tafuta mtoto wa 6 yrs umuone yupoje
 
Ndiyo itabadilisha maneno ya Biblia yanayosema Yesu amezaliwa na ukoo wa mabibi waliozini na hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu?
 
Back
Top Bottom