Ivi kweli najadiliana na mtu ambae hajui maana ya sinproof na kufananishwa na kurogwa? Ivi kuna sehemu nimesema mtume wetu kuwa ni mtu wa ajabu? Mbona alipokufa Abu bakr bin Siddiq aliweka wazi? mbona kila mtu anajua kuwa mtume alikuwa binaadamu kama sie tu?
Mnaemwita Mungu kauliwa msalabani, ata ulinzi wake mwenyewe hakuwa nao
Hakuuliwa aliutoa uhai wake kisha akaurudisha. hii sisemi mimi anasema Yesu.
Yohana 10:17 - Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena.
Ilibidi iwe hivyo ili wewe ukiamini kufa na kufufuka kwake uokolewe milele.
Ukiendelea kubisha ufe milele. Mimi nakupendekezea uchague uzima wa milele. Alikuwa na uwezo wote wa kushuka pale msalabani, Ndio Maana aliweza hata kumponya mtu upofu, mwingine akarudishiwa sikio unadhani Yesu angeshindwa kuondoka pale?
Jiulize kwa nini, mengine sio ya kitafuniwa.
Ulinzi ulikuwepo wote, ndio maana Angels walikua kumuhudumia ila walijua Mwana wa Mungu kaaga Mbinguni kuja duniani kukinywea kwa ajili Chilubi uwe na uwezo wa kusimama kwa ujasiri mbele ya shetani, kwa jina La Yesu uko huru na mauti.
Allah amemkosoa mtume kwenye Quran mbona? Kwaio ushakiri kuwa mtume Muhammad s.a.w alikuwa mtume sahihi, umebakisha ubishi. usione aibu kusilimu.
kuhusu usahihi au ufeki wa SAW hiyo ni mada nyingine. Ila vyovyote atakavyokuwa. Tunapoonhea sasa amekufa na Yesu Yu hai anatawala na kuqbudiwa na viumbe vyote vya mbinguni pamoja na mimi akiwa na baba Yake.
Hukumu ya wema na waovu kakabidhiwa yeye na Baba, Utake usitake Utafufuliwa na atakuhukumu sio wewe tu bali mitume wote hadi huyo SAW. Ikiwa alimkubali Yesu kimyakimya maana nauhakika anajua vizuri Ataokolewa, Ikiwa alibaki na misimamo ya Kumoinga atapotea milele. Hii changamoto inakuhusu wewe pia. Hakuna neutral katika hili.
Kamwe huwezi kukuta uchafu kama huu kwa mitume wa Allah.
Hivi unachagua mlevi kuongoza familia unategemea nini? Hapa tayari unatuonesha kuwa huyo mnaemwita mungu na mitume yake yote ni dhaifu hakujua nani amchague kuongoza watu. 😀 Hivi mtu una akili timamu unafuata mitume wenye kusema uongo? kuzini na watoto wao?
Unaanzaje kumuamini mtume Paulo muuaji?
Asante @mitale na midimu leo umetuthibitishia kuwa Wakiristo mnafuata wahuni na washenzi kuwaongoza kwenye dini.
Kama hao ndio walikuwa mitume wenu, sisi waislam mitume wetu walikuwa wema na walichaguliwa kwa wema wao.
Mtume anapokuwa hana dhambi basi ni ushahidi wa kuwa huyo ni mtume sahih kwani Mungu anachagua aliekuwa mwema miongoni mwa watu kuongoza wenzake.
Mungu hufanya kazi na wazinzi waliotubu, waongo na walevi walioachana na huo, wauaji walibadilika, walioanguka wakaamua kusimama. Umekilimmwenyewe kuwa hata Mtume alikuwa na madhaifu. Ni unafiki kushangaa wengine kuwa dhaifu. Ila hakuna udhaifu mkubwa ambao hatahivyo haujawahi kutokewa kwa mtume yoyote ulimwenguni kama eti mtume '' analogwa''.
Hakuna unafiki mkubwa kama kumuita paulo (Muuaji aliyetubu na kubadilika) muuaji alafu unamsherehekea Umar ibn Khattab ambaye alikuwa anatembea na jambia amuue Mtume baadaye akabadilika. Huyu kubadilika na kuwa swahaba na baadae Caliph aliyefanikisha kusambaza uislam hadi jerusalem na maeneo mengi ni sawa, Ila Muuaji paulo kubadilika na Kuupindua ulimwengunwake kuwa wafuasi wa kristo ni dhambi na bado anaitwa Muuaji.
Acha unafiki mkuu. Nimeandika haya nikisukumwa na upendo mwingi wa Mungu wetu na mwana wake Yesu kristo Mwokozi wako. sio wewe tu bali na Ulimwengu wote.
Asalam aleikum