Mungu hakusema kama atayalinda, na binaadamu kasema litadumu milele. Umewahi kuona wapi hilo jambo?1 Peter 1:25. Neno la Mungu litadumu milele.
leo waislam wanadanganya eti limepotea, ila wanaliamini japo hawalijui huuonintatizo boss
Mungu hakutaka lidumu na halijadumu. neno alotaka lidumu, lipo hadi saiv na hadi mwisho wa dunia ukifika ambapo kazi yake itakuwa imekwisha