Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Andiko lipo ila silitoi mpaka ukiri kuamini kitabu Cha sahih bhukhari, usipo kiri siweki
Tupe na mwingine alieripoti tukio hilo mbona hadithi zipo nyingi tu sio lazima Bukhari. Kwni akiri Nini sasa nimeona toka juu apo anataka andiko mmpe andiko kesi iishe

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Huyo adui wa jibril hajui lugha zaidi ya kiarabu!
Ndio sababu kuna tafsiri!
Usijifiche kwenye lugha jibu hoja mungu wako anaweza hana uwezo??
Kazi ya kufundisha Mimi nimechoka sio vyepesi kufundisha mtu ambae hataki kuelewa nyie anawaweza Mackenzie tu sisi tumenyoosha wabishi kabisa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Swali rahisi na jepesi
Je unakiamini kitabu cha sahih bhukhari?
A. Ndio
B. Hapana
Nyie kweli vichaa hivi mtu anpizi vipi hewani jaman hata katkka sense ya mwenye akili tuu.. Bukhari ajawahi kumuona hata generation ya tano ya swahaba

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli sio kwamba tunamkataa bukhari Ni kweli amefanya kazi kubwa na miongoni wanaokubalika na sehem kubwa sana ya Sunni Islam na mashekh wengi wanatumia maandiko yake aliyokusanya alikua na kili kubwa Sana ya kuhifadhi maandiko.

Hivyo Sasa Ni dhahiri watu kutumia andiko hizo Kama reference changangamoto inakuja namna ya kutumia hapo ndio unawapata kina mokiti na wagalatia wenzie Wanapokwama ndio shida inayotupata hapa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.

Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.

Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Wewe huwezi kumfahamu yesu kuliko waarabu mpaka sasa kaburi la bibi yake yesu upande wa mama liko omani,labuda nikuulize swali yesu waarabu wanamhitaji? na kilugha Chenu mbamuitaje?
 
Kazi ya kufundisha Mimi nimechoka sio vyepesi kufundisha mtu ambae hataki kuelewa nyie anawaweza Mackenzie tu sisi tumenyoosha wabishi kabisa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hapo ulipo ukiguswa makalio unatangaza jihad! Sasa Usisahau iko siku kiguzo, mshika kata, na mkamua ngama watakushughulikia kata.3!
 
Nimeongelea dini ya Kiyahudi!
Kuna Wayahudi Wafuasi wa Yesu!
mbona hata quran inasema Yesu ni Mungu?!
[emoji116][emoji116]
[النسائي - 171]
يا أهل الكتاب! لا تتجاوز في دينك حدك ، ولا تقل لله إلا ما هو حق. حقًا إن المسيح عيسى بن مريم هو رسول الله ، وفقط كلمته التي أرسلها إلى مريم ، وهي روح أتت منه. فآمنوا بالله ورسوله. ولا تقل: ثالوث. تعليق! سيكون جيدا لك في الواقع ، إن الله إله واحد فقط. تعالى وله ولد. له كل ما في السموات والأرض. والله يعول عليه بما فيه الكفاي
ya 'ahl alkitabi! la tatajawaz fi dinik hadak , wala taqil lilah 'iilaa ma hu haqa. hqan 'iina almasih eisaa bn maryam hu rasul allah , wafaqat kalimatah alati 'arsalaha 'iilaa maryam , wahi ruh 'atat minhu. famanuu biallah warasulihi. wala tuqali: thaluth. taeliqun! sayakun jayidan lak fi alwaqie , 'iina allah 'iilah wahid faqat. taealaa walah walada. lah kula ma fi alsamawat wal'arda. wallah yueawil ealayh bima fih alkifayatu.

Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha.

Hapo quran ina mlingano kuhusu Uungu wa Yesu Mubgu!
[emoji116][emoji116]
NENO LA MUNGU=KALIMATAH ALAT
ROHO WA MUNGU=RUH ATAT MINHU

Dhahir eeh![emoji1377][emoji1417]
Haya.
 
Mimi nimekupa Aya za Manabii na Mitume Wayahudi waliomwita Yesu ni Mungu wao.

Aya za wazi kabisa.

Naomba uwataje hao walioanza kumwita hivyo.
Unaweza kuambatanisha pia hizo Aya.

Tafadhari mimi sio mwanzilishi wa kumwita Yesu ni Mungu.

Naomba usinitaje mimi kuwa nimeanzisha kumwita Yesu ni Mungu.
Tafadhari. Please.

Nakukumbusha tena huyo Yesu ni Mungu wao wao, na sio wako wewe wewe.
Kwani unaeleza nini mbona sikuelewi?
 
20:14 Quran

Quran 51:56

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Surah Adhariyat Ayah 56

وَمَا خَلَقۡتُ ٱلۡجِنَّ وَٱلۡإِنسَ إِلَّا لِيَعۡبُدُونِ
Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.
........................................
Ulimaanisha hii Aya sio.
Kwenye Qurani yote mimi sijaiona Aya Allah anajitambulisha kwa kutaja Jina lake halisi.

Ona utambulisho huu.
........................................
Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
...................................

Kwa wenye Mungu Allah, ni wapi Allah anajitambulisha kwa Yeyote Yule kuwa Yeye ni Mwenyezi Mungu na Jina lake ni Allah?

Hiyo Aya 51:56
Ina sema
"Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi"
Huyo "Nami" Jina lake nani ?

Katika Kutoka 6:3
"Nami" amejitambisha kwa jina lake, vipi Allah katika 51:56 aishie Nami tu.
Nami nani ?

Halikadharika Qurani 20:14
Unaishia na "Mimi"
Mimi, huna Jina ?
Wewe nani ?

Surah: Twaha :Ayah : 14

إِنَّنِيٓ أَنَا ٱللَّهُ لَآ إِلَٰهَ إِلَّآ أَنَا۠ فَٱعۡبُدۡنِي وَأَقِمِ ٱلصَّلَوٰةَ لِذِكۡرِيٓ
Hakika Mimi ndiye Mwenyezi Mungu. Hapana mungu ila Mimi tu. Basi niabudu Mimi, na ushike Sala kwa ajili ya kunikumbuka Mimi
{Jina langu ni Allah} kama hivi.

Wapi Allah kajitambulisha kama ni Mungu Mwenyezi ?

Nasubiri Jibu. Maana kila siku tunasikia mara "Nasi" mara "Mimi" mara "Nami" mara "Mwenyezi Mungu"

Mwenyezi Mungu nani ?
 
Wewe Ni mwehu unakijua kiarabu wewe? Hio 20:14 tuliza kichwa isome kwa kiarabu inaniy ina'LLah....

Hakika Mimi ndie Allah niabuduni

N:B mpangilio wa Quran ni wakipekee Sasa Kama wewe unataka mpangilio wako iwe Kama biblia utafeli..Quran Ni Quran na biblia Ni biblia Quran uandishi wake Ni wa kimashairi Kuna vina na mizani katika kila Aya kuendelea na inyaofuata Sasa huo Ni mpangilio wake wewe mmatumbi unajifanya kuleta Mambo ya biblia.

Somo hili watu wakaa miaka darasani Aya kwa Aya na lazima uwe mjuzi mzuri viarabu vyote cha mwanzo wakati huo kilichokua kinaongewa na waqurashi wazamani kabisa na hiki cha Sasa ndio upate tafsiri nzuri ya Aya wew mgalatia mmoja mwenye mistari miwili ya isaya unataka kuleta umahiri hapa hahahahah duuh
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app[/UR
 
Wacha kutaja biblia pamoja na huu utumbo wenu.

Siku hizi walioisoma Qurana wakaielewa sio kukariri kama nyinyi,wanatufafanulia tunaona,hekaya na blah bla zilizopigwa humo.

Christian prince anaalika waislam wote ulimwenguni mkaitetee Quran,hakuna hata mmoja anayeweza kusimama naye kuitetea walau robo saa,anakuwa kashapotezwa vibaya na facts,mpaka unajiuliza kuna quran tofauti ama wenzetu mnakomaa na bible tu ila hiyo kitabu yenu mnaishia kukariri kama alivyoagiza mtume???

Kwahio biblia ndio kitabu Bora kabisa na kuviita vingine utumbo? Yaliyomo kwenye bibilia ndio hayo hayo yaliyomo kwenye kwenye Quran kwahio vyote Ni utumbo sio ubague ewe mkorinto.

Kingine huyo mgalatia unaye msifia beba Aya na hoja zake Zianzishe humu jf au muunge humu jf tuone ana kipi kipya uislam au ukristo ambacho miaka 2000 iliyopita watu hawaja debate...acha huyo wapo waliochallenge wewe unazungumzia huyo anbae hata hajulikani mlete tuu..

Wapo waliochallenge mtume mpaka surah nzima ikashuka Quran 109 Al kafiruun. Mtume kapigwa hoja na watu ambao wanaamua tu nyekundu ni nyeusi unatuletea huyo mjinga mmoja eti anailewa Quran daaah

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom