Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Labda tukusaidie,kwanza ujue jinsi hivi vitabu vilivyoandikwa,lakini ni wajibu wako mwenyewe kuamini au kutokuami,Biblia inatokana na vitabu vya

Hizo hadithi huwa mnasoma na kuzielewa kweli,Yesu hata uhukumu ulimwengu, lakini atakuja kipindi kinachokalibia na mwisho wa dunia na atamkuta mtu mmoja anaitwa Masiha Dajal ambaye atawapitisha watu katika mitihani migumu ya imani, ukimfuata umepotea, ukimkataa umeokoka

Yesu atamuuwa masiha Dajal, naye atakufa, maana katika mwisho wa dunia kila kitu kitakufa, mpaka malaika watakufa, atabaki Mungu peke yake kama alivyoumba dunia, ndiyo utakapoanza ufufuo kwa viumbe wake, na mtu wa kwanza kufufuliwa atakuwa Mtume Muhammad (S.A.W) baada ya hapo itaanza hukumu, itachukua miaka alfu5 huku watu wamesimama hakuna kulala wala kula, huo ndiyo Uisilamu elimu pana hakuna kitu kilichofichwa
Hapo ndipo mmepotea.
 
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.

Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.

Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
pembeni ya zizi hakuwezi kuwa na mtende?
 
Aliitoa Roho yake kwenye mwili alikuwa anautumia , akaja akaufufua mwenye baada ya kumaliza kazi ya kuwahubiria waliokufa kabla yake

Wakati anafufuka aliwafufu na watakatifu wengine

Mathayo 27:53 Walitoka makaburini na Yesu alipofufuka walikwenda Mji Mtakatifu wakawatokea watu wengi.
Alivyotoa roho yake katika huo mwili ndio ikawa kifo cha Yesu au ikawa amejivua tu huo mwili?
 
Haujaeleza kifo ni nini na huko kufa mwili ni vp?
Kutokana na imani ya Ukristo kifo kipo mala mbili.

1. Mwili kushindwa kuishi baada ya kuumwa sana au ajari au mapenzi ya Mungu na kugeuka Maiti.

Hapo Roho inaondoka kwakuwa haiwezi kuishi kwenye Maiti ya Binadamu.

2. Baada ya kufa mwili siku ya Mwisho yaani Kiyama, Roho itarudi kwenye mwili Mfu hata ukioza namna gani na kupata uhai tena.

Hapo ndipo itasomwa hukumu.
Wale watakao bahatika kwenda Mbinguni kwa matendo yao mema walipo kuwa wakiishi duniani hapo watanyakuliwa hadi Mbinguni na kuvishwa mwili mpya, mwili Mtakatifu usiokufa tena katika Roho yako ile ile ya mwanzo.
Hao wataishi milele na kufaidi zile ahadi zetu tulizo ahidiwa, hawa hawata onja mauti ya pili.

Wale watakao enda Motoni watahesabika kufa kiujumla. Kifo cha pili, ambacho ndio kibaya zaidi. Kifo cha Roho na Mwili.

Mathayo 10:28
Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.
 
Katika swala hili waislamu wako nyuma sana kimaarifa kuhusu upande wa ukristoni! Ila huwaambii kitu wakakubali wako wrong inshort ni vilaza.
Nyie ndio hamuelewi kwanza nyie mna elim dunia ndio mmebobea huko sisi hamuwezi kwa namna yeyote ile huku sisi ndio elimu ya msingi ya kwanza kabisa kuliko elim dunia Sasa mtusikilize tunawaambia Nini kijana madrassa anamkalisha mchungaji wenu aliefuzu

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mpaka muislamu bhukhari umemuita muongo, ili tu utetee uongo wako
Bukhari kajichanganya mwenyewe nimekuwekea contradiction zake hapo juu kosa langu lipi? Uongo wangu upi soma na Kama unataka PDF za kutosha Mimi nitakupa ili uone khabari za Bukhari na sio yeye tu wapo na wengine Hilo suala la Muhammad tuachieni wenyewe wallah nyie hakuna mnalojua na mnaloweza kutufundisha au kutudanganya kuhusiana na maisha Muhammad S.A.W unless mungeweza kuichezea Quran na kitu ambacho ulimwenguni hapa kilisha shindikana hivyo mtabaki kurukaruka masikini bila msaaada

Quran 15:9 , 17:88

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Bukhari kajichanganya mwenyewe nimekuwekea contradiction zake hapo juu kosa langu lipi? Uongo wangu upi soma na Kama unataka PDF za kutosha Mimi nitakupa ili uone khabari za Bukhari na sio yeye tu wapo na wengine Hilo suala la Muhammad tuachieni wenyewe wallah nyie hakuna mnalojua na mnaloweza kutufundisha au kutudanganya kuhusiana na maisha Muhammad S.A.W unless mungeweza kuichezea Quran na kitu ambacho ulimwenguni hapa kilisha shindikana hivyo mtabaki kurukaruka masikini bila msaaada

Quran 15:9 , 17:88

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nyie waislamu ndio mmeita kitabu Cha bhukhari sahih, tukinukuu mnasema ni uongo , sasa nani anadanganya

Mnatakiwa mumuitwe muislamu mwenzenu bhukhari kuwa ni muongo na mpige vita kitabu chake kutumika
 
Halafu tuingie kiundani zaidi, ikiwa kulikuwa na misikiti, bila shaka walitumia Quran Tukufu. Kama walitumia Quran je ilimtaja Mtume Muhammad yupi wakati alikuwa hajazaliwa? Mtume Muhammad alizaliwa mwaka 570 AD tofauti ya miaka 570 na Yesu Kristo.

Kwa mtazamo wangu Quran iliandikwa contrary na Biblia yaani kila lililoandikwa liliandikwa kuipinga Biblia mfano kwamba hakuna Utatu Mtakatifu na kadhalika.
Quran haijapinga biblia hayo mafindisho ya utatu Yesu mwenyewe hakuwahi kuyafundisha Sasa nyie sijui mnayatoa wa wapi hapo lazima uone tunawabugudhi

Kwa faida yako mafundisho ya mtume wetu Yesu sisi tunayafuata

Timothy 2:5 there is one God

James 2:19 God is one

Deuteronomy 6:4

Samuel 7:22

Mark 12:29 our Lord God is One


Zipo verse mamia Ni nyingi mno ntamaliza sever

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ww hata Quran huiamini![emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
[emoji116][emoji116]
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Sasa hiyo aya ina husika vip na filamu ya Yesu?
 
Shetani hakuweza chochote kwa Yesu , ila Muhammad alimuweza
Bila shetani unafikiri ange banikwa msalabani? badala ya kushangaa Mungu wako anajaribiwa na kiumbe wake shetani, unastaajabu binadamu kujaribiwa, hapa ndio mwenye akili timamu unatakiwa kutafakari
 
Ukiambiwa ufanye utafiti kuhusu maisha ya Yesu.
Utaenda kuufanya Israeli aliko zaliwa na kuishi, au Maka na Madina aliko andikwa Isa na Qurani ?
Israel ipi wale jamaa wako Na mambo ya Musa , unafikiri wana habari na watu wa mataifa kama wewe, kule hakuna utakacho pata labda uende Roma
 
Kumbuka alivyologwa alikuwa anapizi hewani na kutaka kujiua mara kwa mara , na wanzuoni wanasema ilidumu kwa miaka kadhaa na alikuwa mda wote anatoa Koran akiwa kalogwa
Lete uthibitisho kuwa alikuwa anapizi hewani? Maana leo siku ya tatu hauna uthibitisho wowote kutoka kwa Yesu kuwa asie mkiri kuwa ni Mungu sio mkristo, unapenda sana kuleta maneno ya mitaani humu
 
Back
Top Bottom