Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Naombeni Mtu mwenye historia ya Mtume yoyote wa Mungu Aliye Logwa na Mchawi?

Utakuta ni Muhamad tu, Sasa najiuliza Mwenye Nguvu ya Mungu na Uvuvio wa Roho Wa Mungu na Ulinzi wa Mungu kwa Takwa la Mungu, ANAWEZAJE KULOGWA???????????

Tutumie ata akili ndogo sana kujua Mtu huyu Hakuwa Mtumwa wa Mungu bali wa Matakwa yake Binafsi au Shetani ndio ali muibua tu kwa Makusudi yake.
Nyie wakristo akili zenu zina shida unashangaa mtume ambaye ni binadamu kurogwa, halafu una ona sawa Mungu wako ambaye ni Yesu kutundikwa msalabani tena Na watu ambao mnadai kawaumba mwenyewe, ebu fungua kichwa
 
Aliye Andika hapa sio ww??
[emoji116][emoji116]
"waandishi wa biblia wameleta matukio ya Yesu zaidi ya mmoja,"
Quran inatambua injili sio kitabu cha Marko au Luka au Mathayo, hao ndio wameleta tabu kila mtu na chupli chupli zake
 
Lete uthibitisho kuwa alikuwa anapizi hewani?
Kwa hiyo unataka nikufundishe dini Yako ,
Kuna mbusu jiwe mwenzako kasema sahih bhukhari ni muongo na kitabu chake kitupwe kwenye dusty bin

Na Hadith ya pedophile Muhammad kupizi hewani ipo humo
 
Kwa hiyo unataka nikufundishe dini Yako ,
Kuna mbusu jiwe mwenzako kasema sahih bhukhari ni muongo na kitabu chake kitupwe kwenye dusty bin

Na Hadith ya pedophile Muhammad kupizi hewani ipo humo
Lete andiko mtume alikuwa anapizi hewani kelele za nini wewe? andiko la kutomkiri Yesu Mungu leo siku ya tatu kimyaaaaa , unapenda sana habari za vijiweni
 
Hadithi hio wote walio itoa ilikua chain ya Bukhari na bin urwa contradiction ya Bukhari alichofanya mtume naimani na mtume hawezi fanya kitu ambacho sio sahihi ili upate mtiririko sahihi pitia historia yote ya makuzi ya Aisha na dada yake Asmah ili ujiepushe na kusamabaza uzushi wa mtume wa Allah Kama mlizoea kumsambazia Yesu uzushi ambao hajawahi fanya Wala kuongea hio Ni hulka yenu wagalatia hivyo tunawajuan nyie dini yenu hamuisomi halafu mnakuja na Hadith hapa kuchallenge sisi tuonaosoma.
Sisi tukisoma mnatuponda kwamba tunadoma elim akhera nyie mnasoma elim dunia alafu wababe wa elimu akhera mnakuja kupinga tunayowafunza kifupi nyie ni wehu

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hapa quran inapomkemea alifanya kitu sahihi??
[emoji116][emoji116]
يَا أَيُّهَا النَّبِيُّ لِمَ تُحَرِّمُ مَا أَحَلَّ اللَّهُ لَكَ ۖ تَبْتَغِي مَرْضَاتَ أَزْوَاجِكَ ۚ وَاللَّهُ غَفُورٌ رَّحِيمٌ

[ ATTAH'RIIM - 1 ]
Ewe Nabii! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Mwenyezi Mungu? Unatafuta kuwaridhi wake zako. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

Umehifadhi kisa cha Safiyah??
Alisubiri edah yake ndipo amuingilie kama ilivyo agizwa??
[emoji116][emoji116]
وَالَّذِينَ يُتَوَفَّوْنَ مِنكُمْ وَيَذَرُونَ أَزْوَاجًا يَتَرَبَّصْنَ بِأَنفُسِهِنَّ أَرْبَعَةَ أَشْهُرٍ وَعَشْرًا ۖ فَإِذَا بَلَغْنَ أَجَلَهُنَّ فَلَا جُنَاحَ عَلَيْكُمْ فِيمَا فَعَلْنَ فِي أَنفُسِهِنَّ بِالْمَعْرُوفِ ۗ وَاللَّهُ بِمَا تَعْمَلُونَ خَبِيرٌ

[ AL - BAQARA - 234 ]
Na wale miongoni mwenu wanao kufa na wakaacha wake, hawa wake wangoje peke yao miezi mine na siku kumi. Na wanapo timiza eda yao basi hapana ubaya kwao kwa wanao jifanyia kwa mujibu wa ada. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za yote mnayo yatenda.

Asiye fuata na kuyaishi maagizo ya quran tumuiteje?? Kafir! Sivyo?!
 
Dhamira hai inakataa kuwa Mungu muweza wa yote anaweza kufanywa ndafu na viumbe wake, inakataa kabisa sasa huo uweza wa vyote huko wapi?
umesha jiajiri kuwa mc wake! Dhahir eh!
quran inatangaza kwamba!
[emoji116][emoji116]
اللَّهُ لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الْحَيُّ الْقَيُّومُ ۚ لَا تَأْخُذُهُ سِنَةٌ وَلَا نَوْمٌ ۚ لَّهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ ۗ مَن ذَا الَّذِي يَشْفَعُ عِندَهُ إِلَّا بِإِذْنِهِ ۚ يَعْلَمُ مَا بَيْنَ أَيْدِيهِمْ وَمَا خَلْفَهُمْ ۖ وَلَا يُحِيطُونَ بِشَيْءٍ مِّنْ عِلْمِهِ إِلَّا بِمَا شَاءَ ۚ وَسِعَ كُرْسِيُّهُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ ۖ وَلَا يَئُودُهُ حِفْظُهُمَا ۚ وَهُوَ الْعَلِيُّ الْعَظِيمُ

[ AL - BAQARA - 255 ]
Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu.

Au tuamini dhamiri yake??[emoji15][emoji12]
 
Quran inatambua injili sio kitabu cha Marko au Luka au Mathayo, hao ndio wameleta tabu kila mtu na chupli chupli zake
quran imesha kuambia kama huamini umesha potelea mbali¡!
Hadi unaona aliye funua Alkitab hamnazo ww ndie mjuzi zaidi yake!
Anzisha deen yako dogo....
 
Kutokana na imani ya Ukristo kifo kipo mala mbili.

1. Mwili kushindwa kuishi baada ya kuumwa sana au ajari au mapenzi ya Mungu na kugeuka Maiti.

Hapo Roho inaondoka kwakuwa haiwezi kuishi kwenye Maiti ya Binadamu.

2. Baada ya kufa mwili siku ya Mwisho yaani Kiyama, Roho itarudi kwenye mwili Mfu hata ukioza namna gani na kupata uhai tena.

Hapo ndipo itasomwa hukumu.
Wale watakao bahatika kwenda Mbinguni kwa matendo yao mema walipo kuwa wakiishi duniani hapo watanyakuliwa hadi Mbinguni na kuvishwa mwili mpya, mwili Mtakatifu usiokufa tena katika Roho yako ile ile ya mwanzo.
Hao wataishi milele na kufaidi zile ahadi zetu tulizo ahidiwa, hawa hawata onja mauti ya pili.

Wale watakao enda Motoni watahesabika kufa kiujumla. Kifo cha pili, ambacho ndio kibaya zaidi. Kifo cha Roho na Mwili.

Mathayo 10:28
Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.
Aisee! Mie nimekubali kuwa sikuelewi.
 
Kwahyo injili ni kitabu kimetoka wapi na amekuja nacho nani?.
Kwani kuna mtu yoyote amekuja na kitabu hapa duniani? Amekuja nacho kutoka wapi?
Hahaha...nyie jamaa aisee.

Hata Quran hamna aliyekuja nayo, kwa sababu haijatoka popote, imeandikwa hapahapa na wanadamu. Ni wafuasi wa mohamad wameandika waliyosimuliwa na mohamad ambaye naye alidai amesimuliwa...
 
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.

Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.

Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Ni Yesu au Jesus mbona mnambadilisha majina. Au yesu ni yule wa bbc na jesus ni yule mzungu mnayemuweka makanisani
 
Back
Top Bottom