Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Sasa ubaya uko wapi Allah mwenyew kampa vyote hivyo mtume wake mbona Sulemain alipewa madem wengi hio Ni dhambi? Kama mola kampa shida iko wapi ewe mgalatia

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Suleiman hakupewa mademu ni tamaa zake na alikuja kujuta kwenye kitabu Cha muhubiri, hakuna verse ndani ya biblia Jehovah anamwambia Suleiman achukue mademu
 
Unataka kusema hao Majini wanaotamba ndani ya Qurani ndio Malaika kwenye Uislamu ?

Hao utawapambanishaje na Jina Yesu wakati hawapatani?
Kwenye uislamu malaika ni viumbe waliyoumbwa na Mungu na majini ni viumbe wengine tofauti waliyoumbwa na Mungu,waislamu hawasemi kwamba kuna malaika waliyoasi.
Sasa nyie mnaodai kuna malaika waliyoasi ndio mnalazimisha hao malaika wenu waliyoasi kuwafanya wawe majini wakati majini maumbile yao ni tofauti na malaika.

Kuna majina mengi yenye kutumuka kumuita Yesu kutoka kwenye lugha mbalimbali, sasa ni jina gani hasa hilo ambalo hawapatani nalo?
 
Mmepindisha Jina na Sifa za Yesu Makusudi wakati ukweli mnaujua fika kwa lengo maalum.
Historia ipo Israeli ya kuishi, kusurubiwa, kufa na kufufuka kwa ndugu yao Yesu Kristo.
Anakuja Mtume wa Kiarabu kukanusha historia halisi ya Yesu na kumpa sifa zingine?
Huyu Yesu ambaye hakufa, hakusurubiwa na hakufufuka mbona hajawahi tokea huko kwao Israeli ?
Mmefanya hivyo ili kumridhisha nani?
Huyo aliye ficha historia halisi ya Yesu alitaka kumpotosha nani na ni kwanini ?
Mtume ni Mpinga Kristo namba moja.
Nimekwambia hivi wewe si unaamini Biblia hivyo hata kuhusu Yesu utaamini vile biblia inavyoeleza usijipe shida ya kutaka kulazimisha watu wote wamtambue Yesu kama ilivyo kwenye biblia, tunatofautiana mambo mengi tu hivyo hata hili la Yesu nalo ni moja wapo.
 
Mkuu umemaliza kila kitu
Umeongea kweli tupu kwenye post yako ya kwanza.
Yesu Kristo hajawahi kukaa katika Dini moja na Majini.
Ndio maana wameweka jina la Isa na kupotosha sifa zake ili Majini yajisikie raha ndani ya Uislamu.

Ukiweka jina na sifa halisi za Yesu ndani ya Qurani Muhammadi ataonekana kituko au Kiroja kama anavyosema yeye, na Majini yataukimbia Uislamu.
Kuna majina tofauti kutoka kwenye lugha tofauti hutumika kukusudia Yesu, kama sijakosea waturuki Yesu humwita Isa, sasa sijaelewa hii issue yenu ya jina la Yesu.
 
Kuna majina tofauti kutoka kwenye lugha tofauti hutumika kukusudia Yesu, kama sijakosea waturuki Yesu humwita Isa, sasa sijaelewa hii issue yenu ya jina la Yesu.
Basi andikeni jina "Yesu Kristo" kwanye Qurani ya Kiswahili.
Badala ya Isa ambalo halijulikana ni la lugha gani.
Muanzie hapo
 

Kilicho ukiwa ni human flesh alikuwa anaitumia Yesu , Mungu wa wakristo ni Roho

Humakuna leseni ya dhambi kwenye ukristo leseni ipo kwa waislamu, ukifunga mfungo mmoja unasamehewa mpaka dhambi zijazo na kwenye Koran pia Kuna leseni ya kufanya dhambi yoyote anayotaka Muhammad
Hivi huo mwili ulikuwa unajitegemea roho yake au huo mwili ulikuwa unatumia roho ya Mungu?
 
Ndio huyo huyo Yesu Kristo. Unahitaji kufundishwa ulimwengu wa Roho na wa Mwili.

Roho Mtakatifu ambaye ndiye Neno alifanyika mwili akaja duniani akajitambulisha kwetu kama Mwana wa Mungu.
Zama za Agano Jipya.

Yohana 1:14
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

Mnao angalia mwili ni ngumu kidogo kulielewa hili.
Mgekuwa na macho ya Kiroho mngejua kuwa.
Mungu wa Wakristo anaongea na sisi kama Baba, kama Mwana na Kama Roho Mtakatifu.

Hili limetoka kwa Neno la Kinabii

Isaya 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; (Mwana wa Mungu) Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,
Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa amani.

Isaya hajasema ataitwa majina yake, bali
Ataitwa Jina lake. Yaani hayo majina yote ni jina moja la Mungu mmoja.
Kufa si ni kitendo cha mwili kutengana na Roho? Au kifo cha Yesu kilikuaje?
 
Basi andikeni jina "Yesu Kristo" kwanye Qurani ya Kiswahili.
Badala ya Isa ambalo halijulikana ni la lugha gani.
Muanzie hapo
Bado unaangaika na jina Isa tu ila hauangaiki na hayo majina mengine yaliyopo kwenye lugha zengine na yenye kutamkika tofauti.
 
Sasa kama Yesu ni Mungu kwa nini mnasema alikufa?
Kilicho kufa ni humani flesh kijana,

Jibril alikuwa anakuja na umbile la shoga kalbi
Watu wangemvizia wakamuuwa akiwa kwenye umbo la kalbi wangekuwa wamemuuwa jibril?


.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
 
Mmepindisha Jina na Sifa za Yesu Makusudi wakati ukweli mnaujua fika kwa lengo maalum.
Historia ipo Israeli ya kuishi, kusurubiwa, kufa na kufufuka kwa ndugu yao Yesu Kristo.
Anakuja Mtume wa Kiarabu kukanusha historia halisi ya Yesu na kumpa sifa zingine?
Huyu Yesu ambaye hakufa, hakusurubiwa na hakufufuka mbona hajawahi tokea huko kwao Israeli ?
Mmefanya hivyo ili kumridhisha nani?
Huyo aliye ficha historia halisi ya Yesu alitaka kumpotosha nani na ni kwanini ?
Mtume ni Mpinga Kristo namba moja.
Lete ushahidi wa aya wapi Yesu alisema Mimi ni Mungu?
 
Kuitoa roho yake ina maana gani hapo? Toa somo twende sawa.
Aliitoa Roho yake kwenye mwili alikuwa anautumia , akaja akaufufua mwenye baada ya kumaliza kazi ya kuwahubiria waliokufa kabla yake

Wakati anafufuka aliwafufu na watakatifu wengine

Mathayo 27:53 Walitoka makaburini na Yesu alipofufuka walikwenda Mji Mtakatifu wakawatokea watu wengi.
 
Back
Top Bottom