Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Ungeuliza karne zilizopita huko mabinti walikuwa wanaolewa kwenye umri gani au vigezo gani vilitumika kumtambua binti kuwa ameshafika wakati wa kuweza kuolewa? Jaribu hata ku google kujua hali ilikuaje huko nyuma usikariri tu hii miaka 18.
Unaongeza wahalifu tu!
Sijaona hata nguruwe au mbwa anamuwakia tamaa mtoto nguruwe au mtoto mbwa!
Aisha amejieleza mwenyewe muham mad ALIPO mnyang'anya Haqi Yake ya michezo na midoli![emoji56][emoji134][emoji24]
[emoji116][emoji116]
Mtume wa Mwenyezi Mungu [ﷺ] alinioa nikiwa na umri wa miaka sita, na akafunga ndoa nami nikiwa na umri wa miaka tisa, na nilikuwa nikicheza na wanasesere.” - Aisha [RA], katika Sunan an-Nasa'i 3378 ;Juz.4, Kitabu cha 26, Hadithi ya 3380.

Tupe Mrejesho babu wa miaka50 anakuja Kwani kumchumbia msichana wako wa miaka.6!
Kama hukutangaza jihad ujue afya ya Akili dish limeyumba!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
View attachment 2616801
 
Vitu vipo wazi

Muhammad
... he had their hands and feet cut off. Then he ordered for nails which were heated and passed over their eyes, and they were left in the Harra (i.e. rocky land in Medina). They asked for water, and nobody provided them with water till they died Sahih al-Bukhari, Volume 4, Book 52, Number 261

Alivyo maliza akaweka aya ya 5:33
Nyie wagalatia sikieni niwambie elimu ya kiislam sio hio ya kukurupukia sisi hata wanazuoni Kuna hoja hua zinawatoa jasho toka mwanzo huyo Bukhari ulie mng'anngania Hadith zake Zina mishkeli kwenye usahihi kuna contradiction nyingi Kama hio ya miaka 6 ya bi Aisha na akaja kusema tena bi Aisha alishiriki Vita vya uhud kisaidia majeruhi Vita alikua haendi mtu chini ya 15. Sasa katika hukumu ya uislam every contradiction is null. Inachwa ilivyo na kurejea Quran inasema nin ndio mwisho wa hukum Sasa wewe komaa naw huyo Bukhari na utaki kujifunza

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Unaongeza wahalifu tu!
Sijaona hata nguruwe au mbwa anamuwakia tamaa mtoto nguruwe au mtoto mbwa!
Aisha amejieleza mwenyewe muham mad ALIPO mnyang'anya Haqi Yake ya michezo na midoli![emoji56][emoji134][emoji24]
[emoji116][emoji116]
Mtume wa Mwenyezi Mungu [ﷺ] alinioa nikiwa na umri wa miaka sita, na akafunga ndoa nami nikiwa na umri wa miaka tisa, na nilikuwa nikicheza na wanasesere.” - Aisha [RA], katika Sunan an-Nasa'i 3378 ;Juz.4, Kitabu cha 26, Hadithi ya 3380.

Tupe Mrejesho babu wa miaka50 anakuja Kwani kumchumbia msichana wako wa miaka.6!
Kama hukutangaza jihad ujue afya ya Akili dish limeyumba!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
View attachment 2616801
Hadithi hio wote walio itoa ilikua chain ya Bukhari na bin urwa contradiction ya Bukhari alichofanya mtume naimani na mtume hawezi fanya kitu ambacho sio sahihi ili upate mtiririko sahihi pitia historia yote ya makuzi ya Aisha na dada yake Asmah ili ujiepushe na kusamabaza uzushi wa mtume wa Allah Kama mlizoea kumsambazia Yesu uzushi ambao hajawahi fanya Wala kuongea hio Ni hulka yenu wagalatia hivyo tunawajuan nyie dini yenu hamuisomi halafu mnakuja na Hadith hapa kuchallenge sisi tuonaosoma.
Sisi tukisoma mnatuponda kwamba tunadoma elim akhera nyie mnasoma elim dunia alafu wababe wa elimu akhera mnakuja kupinga tunayowafunza kifupi nyie ni wehu

Kwa hiyo ki ufupi bhukhari ni muongo mkubwa amejitungia maandiko ya waislamu
Kitabu Cha sahih bhukhari ni takataka kinatajiwa kutupwa chooni
Tumemaliza
 
Hadithi hio wote walio itoa ilikua chain ya Bukhari na bin urwa contradiction ya Bukhari alichofanya mtume naimani na mtume hawezi fanya kitu ambacho sio sahihi ili upate mtiririko sahihi pitia historia yote ya makuzi ya Aisha na dada yake Asmah ili ujiepushe na kusamabaza uzushi wa mtume wa Allah Kama mlizoea kumsambazia Yesu uzushi ambao hajawahi fanya Wala kuongea hio Ni hulka yenu wagalatia hivyo tunawajuan nyie dini yenu hamuisomi halafu mnakuja na Hadith hapa kuchallenge sisi tuonaosoma.
Sisi tukisoma mnatuponda kwamba tunadoma elim akhera nyie mnasoma elim dunia alafu wababe wa elimu akhera mnakuja kupinga tunayowafunza kifupi nyie ni wehu

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Unataka kutuaminisha bhukhari alikuwa mkristo na akatunga maandiko ya waislamu
 
Filamu ndio nini?ahahahaha wewe jamaa mbona unachekesha waandishi wa biblia wameleta matukio ya Yesu zaidi ya mmoja, wewe unaleta habari za filamu za yule mlevi wa UK
Kwa hiyo ww hata Quran huiamini![emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
[emoji116][emoji116]
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna aliyewalazimisha ni ni mapepe yenu kujiona mmejimilikisha huyo mtu, lakini Qur'an haijamzungumzia Yesu tu bali imezungumzia hadi akina Ibrahimu, Musa, Suleiman na wengineo na wote hao wapo kwenye biblia. Ila kwa sababu ya hiyo imani yenu kumfanya huyo mtu Yesu kuwa mungu ndio tatizo linalofanya mkatae kukubali kuwa Qur'an inapomzungumzia Issa inamkusudia Yesu.

Hili suala wala halikuhitaji ubishani ni nyie tu kuamini Yesu wenu kama alivyo kwenye biblia basi na wengine muache waamini Yesu kama alivyoelezwa Qur'an basi.
Issa wa wa kwenye Quran ni Issa tu, wacha ujinga wako
 
Kwa hiyo ww hata Quran huiamini![emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
[emoji116][emoji116]
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Hadithi sio vitabu vyake Mimi naamin Aya iliyopo kwenye biblia o ilio sawa na quran. Kwa 100% zaidi ya hadithi

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kilicho kufa ni humani flesh kijana,

Jibril alikuwa anakuja na umbile la shoga kalbi
Watu wangemvizia wakamuuwa akiwa kwenye umbo la kalbi wangekuwa wamemuuwa jibril?

.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
Mwili kuachana na roho ndio tunasema ni kifo, sasa unaweza ukaelezea hicho kifo cha Yesu mwili ulitengana na roho ya mungu Yesu au roho ipi?
 
Kufa si ni kitendo cha mwili kutengana na Roho? Au kifo cha Yesu kilikuaje?
Yesu aliuacha mwili wake pale msalabani akaondoka Mbinguni pamoja na mmoja wa mtu aliyesubiwa sambamba naye.

Luka 23:42 Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.
Luka 23:43 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, [emoji117]leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.
.....................

Watu wakauzika ule mwili.
Siku ya tatu akashuka akaufufua mwili wake akaonana na wanafunzi wake.
......................

Yohana 20:27 Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.

28 Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na [emoji117]Mungu wangu!

29 Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.
.................

Baada ya kuwaagiza wahubiri Injiri ilimwenguni kote, akapaa zake Mbinguni na mwili wake.

{ sasa kama Mwanafunzi wake Tomaso anamwita Yesu Mungu 20:28. wewe unani ukanushe.}

Ndio maana nimewaambia Nyie mnamwona Yesu Kimwili na kumzungumzia Kimwili.

Ki ujumla ilikuwa hivi.

Yohana 10:17 Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu [emoji117]nautoa uhai wangu ili niutwae tena.
18 [emoji117]Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. [emoji117]Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
................

Dhumuni kuu la kifo cha mwili wa Yesu lilikuwa kuwafundisha watu kuwa [emoji117]mtakapo kufa mtafufuka tena na kutwaliwa Mbinguni mkitenda mema.

Hakuna mtu anayeweza kumwua Yesu, huo ulikuwa ni mpango wake wa kuwaonesha watu kivitendo hali kufa na kufufuka kwa Binadamu.
..................................................................

NB: Nadhani hapa hata Gavana, mtoto wa chekechea ameelewa.

Kama kuna swali lingine kwa wanaotaka kuelewa karibuni.
 
NB: Nadhani hapa hata mtoto wa chekechea ameelewa.

Kama kuna swali lingine kwa wanaotaka kuelewa karibuni.
Mwili haufi, kufa ni kitendo cha roho kutengana na mwili. Kama roho ya Yesu ndio ilikuwa kwenye huo mwili na hiyo roho ikatoka kwenye huo mwili basi hapo ndio tunasema Yesu alikufa.
 
Hii Ni baadhi ya contradiction za Bukhari na zipo kwa mamia Kama sio maelfu

Kuhusu UMRI wa mtume wakati anafariki?

Buhkari4:56:747 na 4:56:748 =60

Bukhari 5:58:242 na 5:59:742 =63

Mtume alikaa mecca miaka mingapi?

Bukhari 4:56:747 na 4:56:748 =10

Bukhari 5:58:190 na 5:56:741 =13

Exchange ya gold for gold or gold for silver?

Bukhari 3:34:344 hand to hand and equal

Bukhari 3:34:388 no restrictions

Sasa mifano ni mingi mno hapa nitajaza sever nimekupa mifano michache ili uone Bukhari ambavyo anajichanganya kwenye ishu ya numbers....na hata ukifuatilia chain ya mapokeo ya Bukhari iko na mushkeli hivyo hii Ni elmu kubwa ya fiqh ambayo hata maulamaa inawatoa jasho Sasa nyinyi wagalatia mna shusha tuhuma bila kuzichambua hii dini iko kisomi.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mokiti
 
Mwili haufi, kufa ni kitendo cha roho kutengana na mwili. Kama roho ya Yesu ndio ilikuwa kwenye huo mwili na hiyo roho ikatoka kwenye huo mwili basi hapo ndio tunasema Yesu alikufa.
Mwili ndio unaokufa kutokana na imani ya Kikristo.
Ila Roho anayeweza kuiua ni Mungu peke yake.
Mwili hata wewe unaweza kuu uwa.

Ndio maana kuna Amri inasema
USIUE.

Mathayo 10:28
Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.
 
Unaongeza wahalifu tu!
Sijaona hata nguruwe au mbwa anamuwakia tamaa mtoto nguruwe au mtoto mbwa!
Aisha amejieleza mwenyewe muham mad ALIPO mnyang'anya Haqi Yake ya michezo na midoli![emoji56][emoji134][emoji24]
[emoji116][emoji116]
Mtume wa Mwenyezi Mungu [ﷺ] alinioa nikiwa na umri wa miaka sita, na akafunga ndoa nami nikiwa na umri wa miaka tisa, na nilikuwa nikicheza na wanasesere.” - Aisha [RA], katika Sunan an-Nasa'i 3378 ;Juz.4, Kitabu cha 26, Hadithi ya 3380.

Tupe Mrejesho babu wa miaka50 anakuja Kwani kumchumbia msichana wako wa miaka.6!
Kama hukutangaza jihad ujue afya ya Akili dish limeyumba!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
View attachment 2616801
Sheria zetu za nchi haziruhusu binti wa miaka 6 kuolewa.
 
Mwili ndio unaokufa kutokana na imani ya Kikristo.
Ila Roho anayeweza kuiua ni Mungu peke yake.
Mwili hata wewe unaweza kuu uwa.

Ndio maana kuna Amri inasema
USIUE.

Mathayo 10:28
Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.
Nini maana ya kufa na mwili unakufa vp?
 
Tofauti nyingine ni kwmba malaika Gabriel alimtokea Mariam mama wa Yesu nyumbani kwake, na mariam mama wa lssa alitokewa na jibril akiwa msikitini.
Buji umenena la maana sana, jamaa waache kumchakachua mwokozi
Halafu tuingie kiundani zaidi, ikiwa kulikuwa na misikiti, bila shaka walitumia Quran Tukufu. Kama walitumia Quran je ilimtaja Mtume Muhammad yupi wakati alikuwa hajazaliwa? Mtume Muhammad alizaliwa mwaka 570 AD tofauti ya miaka 570 na Yesu Kristo.

Kwa mtazamo wangu Quran iliandikwa contrary na Biblia yaani kila lililoandikwa liliandikwa kuipinga Biblia mfano kwamba hakuna Utatu Mtakatifu na kadhalika.
 
Katika swala hili waislamu wako nyuma sana kimaarifa kuhusu upande wa ukristoni! Ila huwaambii kitu wakakubali wako wrong inshort ni vilaza.
 
Back
Top Bottom