Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Hujaona tatizo Yani miaka 9 kamuingilia na hujaona tatizo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna tatizo labda utuambie wewe ukiachana na kubalehe, walikuwa wanatumia vigezo gani kuoa wakati huo?
 
Mkuu umemaliza kila kitu
Umeongea kweli tupu kwenye post yako ya kwanza.
Yesu Kristo hajawahi kukaa katika Dini moja na Majini.
Ndio maana wameweka jina la Isa na kupotosha sifa zake ili Majini yajisikie raha ndani ya Uislamu.

Ukiweka jina na sifa halisi za Yesu ndani ya Qurani Muhammadi ataonekana kituko au Kiroja kama anavyosema yeye, na Majini yataukimbia Uislamu.
Ndio umeandika kitu gani hapa ? mbona umeandika vitu vya kitoto sana, wewe una mtamka Yesu wengine hawatumii hilo jina ebu wanatumia jina lingine kabisa kuelezea mtu huyo huyo , ebu acha kuonyesha kuwa wewe ni mweupe kichwani
 
Mmepindisha Jina na Sifa za Yesu Makusudi wakati ukweli mnaujua fika kwa lengo maalum.
Historia ipo Israeli ya kuishi, kusurubiwa, kufa na kufufuka kwa ndugu yao Yesu Kristo.
Anakuja Mtume wa Kiarabu kukanusha historia halisi ya Yesu na kumpa sifa zingine?
Huyu Yesu ambaye hakufa, hakusurubiwa na hakufufuka mbona hajawahi tokea huko kwao Israeli ?
Mmefanya hivyo ili kumridhisha nani?
Huyo aliye ficha historia halisi ya Yesu alitaka kumpotosha nani na ni kwanini ?
Mtume ni Mpinga Kristo namba moja.
Sifa gani ikiwa biblia yenyewe imeshindwa kujua sifa za Yesu na kuchanganya changanya lawama unatupa sisi , hao waandishi wenyewe wa biblia hawamjui Yesu kwa kiwango sawa ndio maana wametuletea habari za Yesu tofauti
 
Umesha iona filamu ya Matendo ya Yesu Kristo iliyo ongozwa na Waisraeli ndugu zake Yesu ?

Je inafanana na Matendo ya Isa ndani ya Qurani ?

Ukipewa kufanya utafiti wa Matendo ya Yesu, utaenda kuufanya Utafiti wako kwake Israeli au utaenda kufanya huo utafiti iliko andikwa Qurani Maka na Madina ?
 
Hakuna tatizo labda utuambie wewe ukiachana na kubalehe, walikuwa wanatumia vigezo gani kuoa wakati huo?
Hakuna cha vigezo kama miaka ya wazee wa 1940 binti kuolewa NI kuanzia miaka 20 sembuse kipindi hicho mtume wenu alibaka
 
Siku shangai.. Mapepo yako lazima ya kutume kufanya haya ufanyao.. ila ukweli utabaki kweli mpaka siku utakapo oza na funza wakutoke kinywani

Hata Mimi sikushangai kwa huyo malaika wako Nabii Tito 😜😜😜
 
Kipindi chote akiwa amelogwa , alikuwa anatoa Koran kama kawaida
Kurogwa si kutiwa maradhi tu sasa ina husika vip na mambo ya Qurani, acha maswali ya kitoto, siku ya pili leo hakuna AYA kuwa usipo mkiri Yesu kuwa Mungu wewe sio mkristo? ngoma ngumu
 
Umesha iona filamu ya Matendo ya Yesu Kristo iliyo ongozwa na Waisraeli ndugu zake Yesu ?

Je inafanana na Matendo ya Isa ndani ya Qurani ?

Ukipewa kufanya utafiti wa Matendo ya Yesu, utaenda kuufanya Utafiti wako kwake Israeli au utaenda kufanya huo utafiti iliko andikwa Qurani Maka na Madina ?
Filamu ndio nini?ahahahaha wewe jamaa mbona unachekesha waandishi wa biblia wameleta matukio ya Yesu zaidi ya mmoja, wewe unaleta habari za filamu za yule mlevi wa UK
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]baaaasi nashukur kwa hilo kumbe jibu unalo
Kawaida Mzee shetani kujaribu watu wema, sioni tatizo kweli, hata Yesu alibebwa juu juu na shetani kujaribiwa, kila mmoja na majaribu yake
 
Hakuna cha vigezo kama miaka ya wazee wa 1940 binti kuolewa NI kuanzia miaka 20 sembuse kipindi hicho mtume wenu alibaka
Hii ndio shida , nimekwambia lete hapa umri wa kuolewa mwaka 1700 , au lete andiko katika biblia lina kuambia umri wa kuoa ni huu? hauna chochote halafu unatubishia wenye utaratibu
 
Hakuna cha vigezo kama miaka ya wazee wa 1940 binti kuolewa NI kuanzia miaka 20 sembuse kipindi hicho mtume wenu alibaka
Acha hoja ya kitoto....duniani kote...hata huko ulaya binti anaweza kuolewa kuanzia miaka 15....isome katiba ya Uingereza ambako ndio dira ya ustaarabu wa dunia ya leo......mkuu hata muongozo wa ndoa nchini kwako Tanzania huujui utaujua muongozo wa mwaka 1940 huko sayari ya "mars" ?!!![emoji1787][emoji1787]
 
Kurogwa si kutiwa maradhi tu sasa ina husika vip na mambo ya Qurani, acha maswali ya kitoto, siku ya pili leo hakuna AYA kuwa usipo mkiri Yesu kuwa Mungu wewe sio mkristo? ngoma ngumu
Kumbuka alivyologwa alikuwa anapizi hewani na kutaka kujiua mara kwa mara , na wanzuoni wanasema ilidumu kwa miaka kadhaa na alikuwa mda wote anatoa Koran akiwa kalogwa
 
Filamu ndio nini?ahahahaha wewe jamaa mbona unachekesha waandishi wa biblia wameleta matukio ya Yesu zaidi ya mmoja, wewe unaleta habari za filamu za yule mlevi wa UK
Ukiambiwa ufanye utafiti kuhusu maisha ya Yesu.
Utaenda kuufanya Israeli aliko zaliwa na kuishi, au Maka na Madina aliko andikwa Isa na Qurani ?
 
Ambae aamini Yesu ni Mungu sio mkristo, Imani ya wakristo inajulikana ni kukiri Mungu baba mwana na Roho mtakatifu kinyume chake unakuwa sio mkristo

Yesu alikuwa binadamu kamili na Mungu kamili Kuna mda alikuwa anaongea kama binadamu
Mungu hawezi kugawanyika hivyo lazima Vita mbinguni ingetokea tuu maana mtoto nae anaweza kutaka kurithi kabla ya muda au ajichukulie kundi la malaika refer case ya shetani.. hivyo huo mgawanyo wa Mungu mmechemka pakubwa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom