Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Kanivuruga kweli maana hivyo alivyokuwa anavieleza sijui hata kama nae anavielewa au ilikuwa vinamtoka tu.
Soma tu tena kwa umakini utaelewa, ni vyepesi tu hivyo.
Na usipo elewa niulize nitakuwekea na Aya husika.
Nilishindwa kuweka kila Aya kuchelea kuandika mambo mengi ambayo yangekuchanga zaidi.

Nakaribisha maswali mafupi ili niambatanishe na Aya husika.
Swali lolote hata la nje ya mada kuhusu Ukristo na Kristo.
 
Roho ina nafasi gani katika mwili wa binaadamu?
 
Binadamu ana mambo matatu.

1. Mwili
Hili ni Jumba la kumfanya mtu aweze kuishi hapa duniani, Mungu aliuumba mwili wa Binadamu kutoka ktk mavumbi ya nchi yaani Udongo.

2. Roho
Hii ni Pumzi ya Mungu yenye uhai inayowezesha Binadamu kujitambua, kuwa na Hekima na Busara. hii ndio inayo visha mwili. Ni Mungu tu anaweza kuiua roho ya mtu
Inaitwa pumzi ya uhai.

3. Nafsi.
Huu ni Utambulisho wa Binadamu mwenye Mwili na Roho.
Unaposea " Mimi" ni Nafsi ya kwanza Umoja.
Nafsi ndiyo inayomtambulisha na kumtofautisha kati ya Binadamu Chemittoga, na Binadamu Gavana,

Mwanzo 2:7 Bwana Mungu akamfanya mtu kwa
1. mavumbi ya ardhi, (mwili) akampulizia puani
2. pumzi ya uhai; (roho) mtu akawa
3. nafsi hai. (nafsi= wewe-mimi- huyu)

Nafasi ya roho kwa binadamu ni kumpa uhai wa Ki-Mungu binadamu.

Roho ndiyo unayomjua Mungu. na ukiuacha mwili, mwili unakufa. Pia mwili ukifa mfano kwa ajali roho inauacha mwili pia.
Hapa duniani roho zetu zimepewa mwili wa kuishi duniani. Tukienda Mbinguni roho yako hiyohiyo itavikwa mwili mwingine ambao hauta kufa wala kuugua wala kuona maumivu, nimwili wa kuishi milele.
Nafsi inabaki ile ile kwakuwa Nafsi ndio WEWE.
 
3. nafsi hai. (nafsi)

Vizuri, kwa maelezo hayo ni kwamba mwili bila roho ni sawa na simu bila betri kwahiyo kufa kwa binaadamu ni huo mwili kukosa uhai na chenye kuleta hai katika mwili wa binaadamu ni roho ndio maana inaitwa pumzi ya uhai.

Sasa mnasema Yesu(roho) alijivisha mwili wa binaadamu na kwamba aliitoa hiyo roho yake mwenyewe katika huo mwili.

Sisi binaadamu tuliyo hai ni kwa sababu bado tuna pumzi ya uhai kwa maana ya roho na endapo hiyo pumzi ya uhai ikitoka kwenye miili yetu hicho huitwa kifo. Sasa kutokwa kwa roho ya Yesu katika huo mwili inakuaje mseme umekufa mwili na si kafa Yesu? Ukizingatia mwili kama mwili bila roho si lolote hauwezi kuwa hai.
 
Mungu wa wakristo yeye ni Roho ndio nature yake
Yohana 4:24: "Mungu ni roho,
 
Uko vizuri.

Sisi kama Binadamu roho yetu ni ndogo sana. Na tumegawiwa na Mungu Mwenyewe alipo tupulizia pumzi ya uhai.
Hivyo akitaka anaweza kuifuta yaani akaichukua mwenyewe, hapo roho yetu itakuwa imekufa, hakuna Nafsi tena. Unakuwa hupo popote

Roho ya Mungu ndio Roho Kuu na chanzo cha uhai wa ulimwengu, ndio maana tunamwita Roho Mtakatifu badala ya Roho takatifu na inaandikwa kwa kuanza na herufi kubwa Roho Mtakatifu.

Mwanzo 1:1
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.

Kwa imani Kikristo Yesu Kristo ndiye Roho Mtakatifu

Mathayo 3:16 Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;

Luka 4:17 Akapewa chuo cha nabii Isaya, akakifungua chuo, akatafuta mahali palipoandikwa,
18 Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa.

(hapo alikuwa anajitambulisha na watu walikasirika kwa kukufuru wakamtoa nje ili wamwue walijua anacho maanisha ingawa alisema kimafumbo kwamba YEYE Ndiye)

(Natoa mfano hasi.)
Ni vigumu kumwona Jini kwa macho ya kibinadamu. Ila Jini akimpagawa mtu na akiwa anaongea, kuna mahali watu wana amini kabisa kuwa huyu anayezungumza ni Jini na sio mtu anaye toa sauti.
Kuna wakati Mganga wa kienyeji anaamsha Jini lake na kuongea mambo kadhaa.
Wagonjwa wake wanajua kabisa huyo anayeongea ni Jini na sio Mganga wao Mwanadamu.
(huu mfano usifananishwe na jinsi Mungu alivyokuja duniani kwa kupitia Yesu. ilikuwa ni kutoa mwanga kwa walio mbali na mambo ya kiroho, Mungu ana namna za kipekee za kuja duniani)

Mfano huo unaweza kutumiwa kwa kujifunza ujio wa Yesu Kristo.

Mungu alitaka kushuka kuongea na watu wake kuwapa kweli yake yeye mwenyewe. Akaona ni vema aje kuwa na watu wake wamwone kama Binadamu wa kawaida ili waweze kumsikiliza na kupata ujumbe wake bila hofu.

Yohana 1:14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

Akamchagua Mariam msichana Mtakatifu ili Amzae Binadamu atakaye itwa Yesu, ambaye atautumia mwili wake kuongea na watu wake.

Hivyo mwili wa Yesu haukuwa na jukumu lolote zaidi ya kumpokea Roho Mtakatifu ili aongee na watu wake kama anavyo kiri katika Luka 4:18 na Mathayo 3:16 hapo juu.

Hakuna mtu anayeweza kumwua Yesu kwakuwa Roho Mtakatifu alikuwa ndani yake, akimwongoza wakati wote.
Yohana 14:11 Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe.

Yohana 10:17 Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena.
18 Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.

Kifo cha Yesu katika cha Kimwili kilikuwa kwa lengo la kutufundisha kwa vitendo (practical watu waone kwa macho yao) kuwa Binadamu ataishi, atakufa na atafufuliwa na kuchukuliwa Mbinguni.

Maana kulikuwa na ubishi mkubwa kuhusu hatima ya Binadamu.
-Wengine waliamimi mtu akifa ndio mwisho wake wa maisha hapo. -Wengine walimamini kuna maisha baada ya kifo.
Hivyo Yesu alikuja kuthibitisha kwa vitendo kuwa.
Kuna Maisha Baada ya Kifo.

Hivyo Wakristo tunamwona Yesu katika mpango wa Mungu na sio katika maisha ya kibinadamu.

Kwamba
Yohana 20:27 Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.

[emoji117]28 Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu!

[emoji117]29 Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.

Hivyo basi sisi Wakristo pia tunamwona Yesu na tunasadiki kama walivyomwona na kusadiki wanafunzi wake akina Tomaso. katika Yohana 20:28.
Na kama walivyo mwona Manabii katika Isaya 9:6.

Hapa Gavana, atakuwa ameelewa akisoma kwa utulivu.
 
Sijapinga, nachouliza ni kutoka kwa hiyo roho kwenye ule mwili.
Kwamba kwanini kutoka kwa hiyo roho mseme uliyokufa ni mwili wakati mwili wa Uhuru jr ukitokwa na roho tunasema Uhuru jr kafariki na si mwili umekufa.
 
"Hivyo mwili wa Yesu haukuwa na jukumu lolote zaidi ya kumpokea Roho Mtakatifu ili aongee na watu wake"

Katika vitu vitatu kwa maana ya Roho,mwili na nafsi kama ulivyo eleza. Hivyo vitu vinachanganya uhusika wa Yesu. Kwenye mfano wa jini kuingia katika mwili wa binaadamu inavyokuwa ni kwamba roho na nafsi ya huyo mtu inabaki kama zilivyo anachotumia jini ni ule mwili tu.
Ila tuachane huo uhusika wa Yesu kuufananisha na mdano wa jini.

Sasa Yesu mnasema ni Roho ya kiungu iliyokuwa inatumia mwili wa binaadamu hivyo huo mwili haukuwa lolote, lakini hapo hapo mnasema Yesu alikuwa Mungu kamili na binaadamu kamili(kwa uelewa wangu ni kwamba hapo kuna roho na nafsi si za kiuungu katika huyo binaadamu kamili).

Kuna vitu Yesu hakuwa akivijua na alikuwa akieleza kuwa ni Mungu pekee ndio anajua, mtasema ni kwa sababu ya huo ubinaadamu kamili ila kwenye kifo chake hicho kifo cha Yesu nashindwa kuelewa ni kifo cha aina gani maana tunaambiwa aliutoa uhai wake mwenyewe na kifo hicho kimepewa uzito kwa kubeba imani ya ukristo ila hapo hapo tunaambiwa kilichokufa ni mwili tu.
 
aisee kumbe Yesu alipaa kuzimu???
nimejifunza kitu kipya hapa.
Hapana, kalamu imeteleza tu hapo; Bwana Yesu Kristo aliteswa hadi akafa; na baada ya siku tatu alifufuka ktk wafu akawa hai tena; na, baada ya siku kama arobaini hivi alipaa juu kwenda Mbinguni; na, kutoka huko atakuja tena duniani kulichukua Kanisa lake.
 
"Hivyo mwili wa Yesu haukuwa na jukumu lolote zaidi ya kumpokea Roho Mtakatifu ili aongee na watu wake"

Katika vitu vitatu kwa maana ya Roho,mwili na nafsi kama ulivyo eleza. Hivyo vitu vinachanganya uhusika wa Yesu. Kwenye mfano wa jini kuingia katika mwili wa binaadamu inavyokuwa ni kwamba roho na nafsi ya huyo mtu inabaki kama zilivyo anachotumia jini ni ule mwili tu.
Ila tuachane huo uhusika wa Yesu kuufananisha na mdano wa jini.

Sasa Yesu mnasema ni Roho ya kiungu iliyokuwa inatumia mwili wa binaadamu hivyo huo mwili haukuwa lolote, lakini hapo hapo mnasema Yesu alikuwa Mungu kamili na binaadamu kamili(kwa uelewa wangu ni kwamba hapo kuna roho na nafsi si za kiuungu katika huyo binaadamu kamili).

Kuna vitu Yesu hakuwa akivijua na alikuwa akieleza kuwa ni Mungu pekee ndio anajua, mtasema ni kwa sababu ya huo ubinaadamu kamili ila kwenye kifo chake hicho kifo cha Yesu nashindwa kuelewa ni kifo cha aina gani maana tunaambiwa aliutoa uhai wake mwenyewe na kifo hicho kimepewa uzito kwa kubeba imani ya ukristo ila hapo hapo tunaambiwa kilichokufa ni mwili tu.
Huwezi kuelewa ninavyo jaribu kukuelezea kwakuwa unafananisha na kulinganisha mafundisho ya Qurani na Biblia.
Tambua tu kuwa Manabii na Wanafunzi wa Yesu Kristo walimtambua Yesu kama Mungu kamili aliye kuja duniani na kutangaza Habari Njema yaani Agano Jipya.
Aya nimekuwekea.

Wakristo pia kama nilivyosema, pale awali tunaungana na Manabii na Wanafunzi wa Yesu kusadiki kuwa Yesu ni Mungu katika Mwili bora kabisa wa Mwanadamu.

Yohana 1:14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

Utofauti wa misingi ya vitabu vya kwenye Biblia na Qurani ndio uliosababisha Qurani isijumuishwe kwenye Biblia.

Mi nimekueleza juu ya imani ya Kikristo iliyorithi mafundisho ya Manabii wa Kale na Wanafunzi wa Yesu na Yesu mwenyewe.

Yohana 20:27
Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.

28 Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na [emoji117]Mungu wangu!
29 Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa
[emoji117]heri wale wasioona, wakasadiki.

Ni uamuzi wako sasa kuendelea kujifunza misingi ya imani ya Kikristo au kubaki katika mafundisho ya Dini unayoiamini.
 
Nimeuliza maswali wala sijalinganisha biblia na qur'an hivyo nakushangaa umeacha kujibu niliyouliza na kuanza kupanic na kuanza kunishambulia, ungenijibu tu kuwa hivyo ndio unavyoamini basi kulikuwa hakuna haja kutaka kujaribu kuelezea hiyo imani.
 
Waambie waislamu wenzio wanaotaka kumfananisha na Issa wa kwenye Quran.
Kumfananisha nini? Waislamu wanamuelezea Yesu kama Qur'an yao ilivyomueleza na wakristo wanamuelezea Yesu kama mafundisho yao yanavyomueleza. Na Qur'an imeelezea watu wengi tu ambao pia wapo kwenye biblia hivyo huyo Yesu ni mmoja wapo tu.
 
Nimeuliza maswali wala sijalinganisha biblia na qur'an hivyo nakushangaa umeacha kujibu niliyouliza na kuanza kupanic na kuanza kunishambulia, ungenijibu tu kuwa hivyo ndio unavyoamini basi kulikuwa hakuna haja kutaka kujaribu kuelezea hiyo imani.
[emoji2956]
 
Kumfananisha nini? Waislamu wanamuelezea Yesu kama Qur'an yao ilivyomueleza na wakristo wanamuelezea Yesu kama mafundisho yao yanavyomueleza. Na Qur'an imeelezea watu wengi tu ambao pia wapo kwenye biblia hivyo huyo Yesu ni mmoja wapo tu.
Umeuliza na umejibiwa kwa Aya kuwa Manabii wa kwenye Biblia wanamwita Yesu kuwa ni Mungu. Umepewa Aya kama Isaya 9:6.
Isaya 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
[emoji117]Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,[emoji818]
Mungu mwenye nguvu,[emoji818]
Baba wa milele, [emoji818]
Mfalme wa amani.[emoji818]

Wafunzi wa Yesu (Wayahudi) pia alimwita Yesu Mungu mbele yake naye hakukanusha bali alikubaliana nao

Yohana 20:27
Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.
28 Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na [emoji117]Mungu wangu!
29 Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa
[emoji117]heri wale wasioona, wakasadiki.

Biblia inasema Mungu alitwaa mwili akaja duniani anajitambulishakwa watu wake kama Mwana wa Mungu
Yohana 1: 14.
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.[emoji818]

Ndugu zake Yesu Wayahudi ambao hawakuwa Manabii, mara kadhaa walimkemea pale Yesu alipojiita Mungu mbele yao
Yohana 10:33
Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa [emoji117]kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu [emoji117]wajifanya mwenyewe u Mungu.
34 Yesu akawajibu, Je! Haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba,
Mimi nimesema, Ndinyi miungu?[emoji818]

Hivyo Yesu Kuitwa Mungu hawajaanzisha Wakristo kwakua Manabii wa Agano la Kale na Wayahudi wa kawaida hawakuwa Wakristo.[emoji818]

Hivyo hitimisho la Swali lako ni kwamba;
1. Kwa Mujibu wa vitabu vya
Torati,[emoji818]
Zaburi [emoji818]
Injiri.[emoji818]
Yesu ni Mungu[emoji818]

2. Kwa Mujibu wa Qurani Isa ni Nabii kama Manabii wengine.[emoji818]
Hii ndio tofauti kuu, na ya msingi sana kati ya Yesu Kristo na Isa bin Marriam.[emoji818]
 
Back
Top Bottom