Mtalumbana sana, Ila ukweli Mashekhe wa Bobevu wanaujua, Nakumbuka Kuna Ndugu yetu wa Ukoo alikuwa Muislamu akafikia viwango vyajuu sana vya Ushekhe na akawa anaongoza Msikiti mkubwa sana , lakin wana vikao Vyao vya ndani katika Baraza La Maulamaa , Katika kupeana utambuzi wa Quran kwa utaalam wa hali ya juu na ufafanuzi wa Mambo ya sirini, Anasema Wakaja kujua Kuwa Neno Yesu, Lime kwepwa Kutamkwa katika Quran kwa makusudi wala siyo kwa Tafsir ya Lugha Hapana, Wala siyo Kuwa matendo yake(Injili)Hayakujulikana hapana,
Kumbe inasemekana, Ukielezea Sifa kuu za Huyo Yesu na Ukitaja Jina lake kwa Tafsiri sahihi ya Kiarabu Moja kwa Moja Unakuwa umemtaja Yule Yesu Mkuu ambapo Ki-Quran italeta Shida ya Kutibua Majini na kuleta mpasuko wa Waumini kuanza Kuamini Ukuu halisi wa Yesu na inge onekana Kuwa Yesu Kamzidi Sifa Mtume Muhamad, na hii ingepelekea kuwepo na maswali miongoni mwa wafuasi wa dini ya Usilamu wakijaribu kilinganisha Ukuu na uwezo wa Hao Watu wawili.. Mwishoe Uislam ungekosa Hadhi na Wafuasi wasingekuwa na Iman na Dini au na Mtume wao kwakuwa angekuwa kazidiwa mambo mengi zaidi..
Hii ndio maana walifikia Muafaka wa Kutwist uhalisia maana ukielezea tu Maisha halisi ya Yesu ni sawa na kuandika Injili ya Yesu wa Kweli na hiyo ingeleta Mtafaruku kw Majini yaliyo Iamini Quran kwa kuona hakuna Neno linalo wadhuru na kuona uhadaa uliopo ndani ya Quran ndio kichaka chao cha kujitukuzia kupitia Wanadamu watakao amini yale walio taka kuwa aminisha wapate Kundi lao la kuwa wakilisha katika kizazi Cha Mwili na Nyama.
Haya nilielezwa na Mtu aliye fikia kiwango cha Siri za Juu zaidi katika Usomi wa Dini ya kiislam (Mwanazuoni)na alikuwa katika Cheo Cha Baraza la Maulamaa.
Ingawaje huyu Mtu baada ya Kudumu katika Maisha Yake ya miaka 45 katika uislam alikuja kuokoka akiwa na miaka 46.. Na mpaka leo Ana kanisa kubwa sana Hap Mjini Dar es salam, na Niki mtaja hapa mna mjua maana na maharufu sana na ana wafuasi wengi na ana Ponya Watu siyo mchezo na ana hadi TV yake..na Ni dugu yangu wa Ukoo namjua A to Z,
Alipo Okoka tu, akaanza kuwa na nguvu za maono na uponyaji akaanza kutumika na Roho wa Bwana katika Kuwafungua watu Mapepo na katika uponyaji na katika kutabiri mpaka Ukoo ukawa una shangaa nguvu zake zilikuwaje kimnya wakati akiwa Uko Uislamuni.
Kuna mengi sana Ya Sirini alishare na Mimi ila siwezi kuyasema hapa kwa kuws hoja ni Isa na Yesu na mm nimejaribj kuelezea sababu ya Lugha kupindishwa akatajwa Yesu ili hali ukifuatilia tafsiri ya Lugha ya Kiarabu Yesu haitafsiriki kam Issa bali ni jina lingine tofauti .na kwa nini Matendo halisi ya Yesu haya kuwekwa katika story yake kwenye Quran pamoja na kuwa huyo Muandish wa quran ali ujua ukweli wote ila ali kwepa. Hata kuelezea alipo zaliwa Quran ilipindisha maana ingetamka tu ina maana ingekuwa ime muelezea Yule Yesu halisia na kiroho ile Ingeleta tabu kama nilivyo elezea pale juu kuna Roho za uko kwenye uislam hazitaki kabisa ukiwa Muislam ndani ya Msikiti utamke Yesu ni mtafaruku kwao.. nahilo wali lijua miaka 1400 iliyopita waka likwepesha ili wawe salama.