Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Huyo ni Aisha au Bukhari swali Ni tumuamini Aisha au Bukhari?

Historia na namba hazidanganyi kama Mtume kaanza misheni ana mkuta abubakari anabint zake hao wawili mwaka 610 ambapo Asma alikua ,14 na Aisha alikua ndio kazaliwa 4yr

Historia inasema mtume kamzaa bint yake Fatma (605) akiwa na miaka 35 kipindi al kaaba inarekebishwa upya kabla hajawa mtume akawa mtume akiwa na 40 hapo Fatma ana 5 na Fatma alimzidi Aisha miaka 5 hivyo kipindi cha hijra 13 years later iweje Aisha awe na 9years? Kimahesabu inagoma kabisa.

Mwaka 614 imeshuka Surat Qamar Hadith ambapo Aisha anaitambua na kuilewa anasema alikua bint mdogo akicheza na wenzie.

NB usahihi wa Hadith hizo Bukhari Ni wa Shaka hata ukifuatilia hii ishu Ina hoja zaidi ya 10 ambazo zote zinagoma Aisha kua na miaka 9 kipindi cha hijiria.

Kabla ya mtume Aisha pia alikua asha poswa na mtu mwingine Jubayr bin Mut'm na huyo bwana hakua muislam ndio sababu akozeshwa mtume baada ya kufiwa na
hio hoja imekuja miaka ya hivi karibuni na watu wakitafuta namna ya kumchafua mtume na imefeli kwakua Mungu mwenyewe alituambia tabia zake Ni nzuri Quran 68:4 hivyo mnajidanganya siwezi kukuamini wewe nikaacha Aya never

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo bhukhari nae ni muongo , kitabu chake kitupwe kwenye dusty bin
 
Mungu mwenyewe alituambia tabia zake Ni nzuri Quran 68:4 hivyo mnajidanganya siwezi kukuamini wewe nikaacha Aya never
Maana ya tabia nzuri kwa Allah ni tofauti na maana unayoijua wewe

-Muhammad kachukua mke wa mtoto wa kufikia kamsifia na kushusha verse
-Muhammad Kabaka maria the copt Allah kafurahi na kushusha verse
  • Muhammad katoboa watu macho na misumari ya moto Allah kafurahi kashusha verse
  • Allah kamshushia verse Muhammad mwanamke yoyote muumini akajitoa kwake apige pipe bila ndoa
  • Allah kampa verse akule mjakazi yoyote bila ndoa

Alllah ana definition yake ya tabia nzuri
 
Acheni kuokoteza vijihadithi uchwara

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Swali ni jepesi bhukhari ni muongo na kitabu chake si chakuaminika?
Leta hoja yake inayoambatana na Aya hakuna ushahidi wa namba umemkataa Sasa Mimi hoja yoyote ambayo haina Aya siwezi kubaliana nayo je Hadith yake hio iko katka orodha ya hadithi sahihi?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Leta hoja yake inayoambatana na Aya hakuna ushahidi wa namba umemkataa Sasa Mimi hoja yoyote ambayo haina Aya siwezi kubaliana nayo je Hadith yake hio iko katka orodha ya hadithi sahihi?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kitabu kinaitwa sahih bhukhari unataka kutuaminisha Nini? Kwamba sahih Ina uongo ndani?
 
Kila Lugha ina Jina lake haijalishi.. ata Yahaya ni muislam lakin Ndio hiyo juyo Yohana kikristo.. na pia Yesu kiswahili na Jesus kingereza kama lugha hutofautiana basi hata matamshi hutofautiana.. sasa swali ni kuwa Kiarabu Yesu ni Issa? je hilo neno Issa limetoka wapi kwanini Yesu asitamkwe kiarabu kwa tafsiri halisi?
Nachosema ni kwamba kuna majina tofauti tofauti yenye kutumika kukusudia kumuita Yesu, sasa hilo jina la Yesu lenye kutenda miujiza ni lipi au hayo majina yote kutoka kwenye lugha mbalimbali pia ni majina yenye kutenda miujiza?
 
Si biblia Wala Quran zinaweza kutumika kama ushahidi wa kihistoria. Kumbuka vitabu viliandikwa baada ya matukio halisi kutokea, shida moja ya taarifa zainazoenezwa kwa njia ya mdomo ni kwamba baadhi ya matukio husahaulika. Kwa hio usifate neno moja moja kutambua tofauti ndogo ili kutoa kasoro kwenye biblia au quran. Maandiko haya ni ya Imani. Kuamini nini. Kuamini hivyo. Hivyoje, Hivyo. We amini tu
 
Kitabu kinaitwa sahih bhukhari unataka kutuaminisha Nini? Kwamba sahih Ina uongo ndani?
Hadithi nyingi za huyo bwana zinacheni moja tu Hisham bin urwa hivyo usahihi Ni wa mashaka

Ndugu uislam sio Kama biblia mnaenda kusomewa mistari miwili mnajifanya dini mnaijua uislam ni kuchimba haswa lazima usome sasa mnaokota hadithi huko mnaleta hapa eti Muhammad aliua watu...katika Vita zote alizopigana Muhammad saw kwa mkono wake aliua mtu mmoja tu na Ni kwasababu maalam hizi vitu nyie mtazijulia wapi mkiokota ka hadithi mnaruka nako zile zinachambuliwa kweli kweli na Kuna wanazuoni wanachemka pia

Uislam sio chai Kila mtu anaweza kuchemsha bro soma

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana nimekwambia anavyoelewa Allah tabia njema ni tofauti na wewe unavyo elewa , mwisho wa siku alimpa Muhammad leseni ya dhambi anayotaka kufanya
Sasa ubaya uko wapi Allah mwenyew kampa vyote hivyo mtume wake mbona Sulemain alipewa madem wengi hio Ni dhambi? Kama mola kampa shida iko wapi ewe mgalatia

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
eti Muhammad aliua watu...katika Vita zote alizopigana Muhammad saw kwa mkono wake aliua mtu mmoja tu na Ni kwasababu maalam hizi vitu nyie mtazijulia wapi mkiokota ka hadithi mnaruka nako zile zinachambuliwa kweli kweli na Kuna wanazuoni wanachemka pia
Vitu vipo wazi

Muhammad
... he had their hands and feet cut off. Then he ordered for nails which were heated and passed over their eyes, and they were left in the Harra (i.e. rocky land in Medina). They asked for water, and nobody provided them with water till they died Sahih al-Bukhari, Volume 4, Book 52, Number 261

Alivyo maliza akaweka aya ya 5:33
 
Back
Top Bottom