Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,624
- 18,457
Hapa waliingizwa chaka nyingine na hawana namna ya kupaondoa.Kama alitokea ndio huyo mama wa Isa na hajaandikwa popote kwenye biblia , nimekwambia tukijaribu kumfitisha lazima tukamuweke na Musa , kinyume chake mama wa Isa hafiti kwenye biblia
Wazazi na ndugu wa damu wa Isa , tuna Imran , Maryam , Harun na Issa hii ni Koran
3;35. Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
36. Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
Muhammadi alidhani Miriam mtoto wa Imrani na dada wa Haruni ndio mama wa Yesu.
Najua hii ni kazi Myahudi Waraqa Bin Naufal, hakumwelewesha vizuri Mtume.
Wacha ncheke kwanza.