Haujanielewa Kwa sababu Kuna comments zangu haujasoma
Soma hapo utaelewa nilicho amanisha
Katika bibilia Kuna Yesu wawili
1) YESU AMBAYE NDIO ISA
UTABIRI WA MANABII KUHUSU UJIO WA YESU/ ISA
Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.
YESU / ISA ANATHIBITISHA UTABIRI UMETIMIA
Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
NABII MUHAMMAD KUPITIA QURAN ANAPIGILIA MSUMARI KUWA YESU / ISA ALITUMWA NA MUNGU KAMA MTUME KWA WANA WA ISRAEL
Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad!
2) YESU AMBAYE SIO ISA ILA NI GALASA LILILOTENGENEZWA NA PAULO NA NDIO YESU WA WAKRISTO
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu
Manabii 3 wa Mungu maelezo Yao yanafana kuhusu Yesu/Isa
Huyo Yesu wa Paulo ndio wenu na hilo ni GALASA ambalo halijawahi kuwepo hapa duniani
Uwe unafichaga ujinga wako!
RATIBA YA HUDUMA YA YESU DUNIANI HII HAPA NABII ISAYA ALITABIRI!
[emoji1427][emoji1427]
Isaiah 49:6
[6]naam, asema hivi, Ni neno dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu ili kuziinua kabila za Yakobo, na kuwarejeza watu wa Israeli Nwaliohifadhiwa; zaidi ya hayo nitakutoa uwe nuru ya mataifa, upate kuwa wokovu wangu hata miisho ya dunia.
BAADA YA UFUFUKO YESU ANASEMA!
[emoji1370][emoji1370]
Matthew 28:18-20
[18]Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
[19] mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
[20]na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
ALJYE TUMWA KWA WARABU TU HUYU HAPA!
[emoji1370][emoji1370]
: وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ
[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Mji Macca na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.
: وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ
[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.
claims!; Saudi Imam Muhammad al-Arifi said:
ARABS are the true Muslims and the true descendants of Prophet Muhammad (pbuh)..
"Non—Arabs who without shame, called themselves Muslims are just plain Converts whom are lowly cowards with unhonourable souls That were overwhelmed with ease by the Swords of Allah, thus they deserved to be called as our Dogs."