Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,657
- 18,531
Ongea na wana Madrasa wenzako.Huyo ndiye aliyeandika ??
Naona huko timamu kabisa.
Ongea na wana Madrasa wenzako.Huyo ndiye aliyeandika ??
Kaka ALLAH akuongoze uislamu ndiyo dini ya haq na ya sawa
Tukuelewe vipi? Mara Yesu siyo Isana mara Yesu ni IsaNyinyi mna mtindio wa ubongo mbona hamuelewi nimekuambia huyo Yesu mtoto wa Mungu sijui Mungu sijui mwana wa Mungu huyo ni wenu na huyo sio Isa
Ila Yesu/ Isa anasema baba yake ndio baba yetu na Mungu wake ndio Mungu wetu
Alipo andika nini ?
Weka hicho kilicho andika ndio uulize
Kwani wewe umeishia la ngapi ?
Ongea na wana Madrasa wenzako.
Naona huko timamu kabisa.
Tukuelewe vipi? Mara Yesu siyo Isana mara Yesu ni Isa
Acha uongo Quoran hamtaji popote Yesu. Isa siyo YesuYESU
Mi naona waislam wenzangu tumeshindwa kijitetea kwa hoja.
Ni muda wa kuacha kumtumia Issa kama Yesu.
Too strange to be a coincidence! According to the Biblical account, Pilate offered the Jews the release of just one prisoner and the cursed race chose Barabbas rather than gentle Jesus. But hold on a minute: in the original text studied by Origen (and in some recent ones) the chosen criminal was Jesus Barabbas – and Bar Abba in Aramaic means ‘Son of the Father’! Are we to believe that Pilate had a Jesus, Son of God and a Jesus, Son of the Father in his prison at the same time??!! Perhaps the truth is that a single executed criminal helped flesh out the whole fantastic fable. Gospel writers, in scrambling details, used the Aramaic Barabbas knowing that few Latin or Greek speakers would know its meaning. Jesus ben Sirach. This Jesus was reputedly the author of the Book of Sirach (aka 'Ecclesiasticus, or the Wisdom of Jesus the Son of Sirach'), part of Old Testament Apocrypha. Ben Sirach, writing in Greek about 180 BC, brought together Jewish 'wisdom' and Homeric-style heroes. Jesus ben Pandira. A wonder-worker during the reign of Alexander Jannaeus (106-79 BC), one of the most ruthless of the Maccabean kings. Imprudently, this Jesus launched into a career of end-time prophecy and agitation which upset the king. He met his own premature end-time by being hung on a tree – and on the eve of a Passover. Scholars have speculated this Jesus founded the Essene sect. Jesus ben Ananias. Beginning in 62AD, this Jesus had caused disquiet in Jerusalem with a non-stop doom-laden mantra of ‘Woe to the city’. He prophesied rather vaguely: Arrested and flogged by the Romans, Jesus ben Ananias was released as nothing more dangerous than a mad man. He died during the siege of Jerusalem from a rock hurled by a Roman catapult. Jesus ben Saphat. In the insurrection of 68AD that wrought havoc in Galilee, this Jesus had led the rebels in Tiberias ("the leader of a seditious tumult of mariners and poor people" – Josephus, Life 12.66). When the city was about to fall to Vespasian’s legionaries he fled north to Tarichea on the Sea of Galilee. Jesus ben Gamala. During 68/69 AD this Jesus was a leader of the ‘peace party’ in the civil war wrecking Judaea. From the walls of Jerusalem he had remonstrated with the besieging Idumeans (led by ‘James and John, sons of Susa’). It did him no good. When the Idumeans breached the walls he was put to death and his body thrown to the dogs and carrion birds. Jesus ben Thebuth. A priest who, in the final capitulation of the upper city in 69AD, saved his own skin by surrendering the treasures of the Temple, which included two holy candlesticks, goblets of pure gold, sacred curtains and robes of the high priests. The booty figured prominently in the Triumph held for Vespasian and his son Titus. |
Acha uongo Quoran hamtaji popote Yesu. Isa siyo Yesu
Kwani yapi majukumu ya Yesu huku alikokwendaLakini ISSA hajulikani ana MAJUKUMU Gani huko alikoenda.... Daaah....
Mi naona waislam wenzangu tumeshindwa kijitetea kwa hoja.
Ni muda wa kuacha kumtumia Issa kama Yesu.
Mungu wa Ibrahim siyo wa kibwege hivyo,acha ujingaTatizo lenu mnamwangalia Mungu kwa namna mnayo karirishwa.
Kwani Mungu wenu Allah hawezi kuwa Binadamu?
Mungu wa Wayahudi amesha kuja dunia mala kadhaa kama Binadamu.
Hebu soma hapa
Mwanzo 18:1 Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
2 Akainua macho yake akaona, na tazama, [emoji117]watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,
3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
4 Na yaletwe basi maji kidogo mkanawe miguu, mkapumzike chini ya mti huu.
Hivi kwa Akili ya Kiislamu unaweza kumjua Mungu ni yupi kati hao watu watatu waliomtembelea Ibrahimu ?
Tatizo lenu Mnamfananisha Allah na Mungu wa Ibrahimu.
Allah hajawahi kuonekana ki vyovyote vile.
Hata kile kijinga cha moto kule Bonde la Tua kilicho waamrisha mvue viatu Misikitini ni tukio lililo kopiwa kwenyeTorati ya Musa na kupestiwa kwenye Qurani.
Sisi tunamjua Mungu wetu kwakuwa tunamtambua hata aje kama Mwali wa Moto.
Sasa sijui ulichojibu ni nini?kiukweli wakristo wengi elimu yao ya kujua mambo ya Dini ni ndogo sana,ndiyo maana wanadanganywa kirahisi na kubaki kuamini miujizaNi kweli uyasemayo kwenye sentence ya kwamba elimu yake ni ndogo. Ila tambua kua MUNGU si wa wenye elimu kubwa. Hataki elimu yako.
Isaya 9:6
[6]Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele, Mfalme wa amani.
Yesu ni MUNGU
Yesu/Isa hana baba mimba yake imeingia Kwa uwezo wa MunguHakuna mtu kalipinga andiko
Kitabu Cha Yohana unacho nukuu na kusema ni Isa ameandikwa humo , kinasema
Yohana 17: 5 Sasa, Baba, nitukuze mbele yako kwa ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu.
Sasa ujibu maswali yangu
Isa ana Baba ?
Isa alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo?
Kama huwezi kujibu ayo maswali achana na kunukuu vitabu visivyo muhusu Isa
Mi naona waislam wenzangu tumeshindwa kijitetea kwa hoja.
Ni muda wa kuacha kumtumia Issa kama Yesu.
Watu wawili tofauti kweli,kwasababu Issa alikuwa na uwezo wa kujiokoa kwenye kusulubiwa,kipigo,kuuliwa,kudhihakiwa,hakusulubiwa,akawaponyoka wabaya wake,akapaa mbinguni,aliomba kwa Mungu wake,amuokoe asiuliwe,Mungu akapokea maombi yake,akaletwa mtu anayefanana na yeye,ndio huyo aliyesulubiwa,mtu huo alikuwa miongoni.mwa wale wabaya wake,lakini Yesu alishindwa kujiokoa,hata alipomuomba Mungu wake,kuwa "kikombe hiki kiniepuke",hakuweza kukiepuka.Yesu walimsulubu,walimpiga,walimdhihaki,walimuua,akazikwa.Hakuwa na uwezo wa kujiokoa,:wakamuua msalabani.Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.
Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Labda nikuulize swali moja dogo sana,hata mtoto wa chekechea anaweza kujibu, kama Yesu ni Mungu, je Mama yake bikira Maria wakati akiwa mdogo alikuwa anamuitaje?Quraan 3:45 Inamtaja Yesu ndiye Messiah.
Messiah ni mwana wa Mungu, Hivyo messiah Yesu ni Mungu.
Ni HASARA Kwa mwislam kutomwamini Yesu maana ndiye AJAYE kuuhukumu Ulimwengu,
Kwa maana ingine ndiye aliyeumba Ulimwengu,
Alikuja ktk mwili wa mwanadamu Ili Kuokoa Ulimwengu juu ya DHAMBI.
NB. Ni Bora umwamini Yesu kuliko kutoamini na umkute ndiye anayewatupa motoni wasiomwamini.
Quran 43:61 Inamtaja ISSA/Yesu Kristo Messiah ndiye atakayekuja kuuhukumu Ulimwengu juu ya DHAMBI.
Amen
Hao sio wakristo unaowazungumzia wewe.Sasa sijui ulichojibu ni nini?kiukweli wakristo wengi elimu yao ya kujua mambo ya Dini ni ndogo sana,ndiyo maana wanadanganywa kirahisi na kubaki kuamini miujiza
Yesu na Issa ni watu wawili tofauti.Issa alikuwa na uwezo wa kujiokoa toka mikononi mwa wabaya wake,hawakumsulubu,hawakumuua,hawakumdhihaki,hawakumpiga,aliomba kwa Mungu wake akamuokoa,akapaa mbinguni,hakufa,miongoni mwa wale wabaya wake,alifananishwa kama Issa,ndio alisulubiwa.Mi naona waislam wenzangu tumeshindwa kijitetea kwa hoja.
Ni muda wa kuacha kumtumia Issa kama Yesu.