Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Na wanafunzi wa Yesu.
Uwongo,agano jipya Lina vitabu 27,kati ya hivyo inasadikika 13 vimeandikwa na Paulo,kati ya hivyo ni 6 ndiyo Kuna uhakika kweli vimeandikwa na Paulo,Paulo alikua akimpinga yesu,yesu alipoondoka Paulo akielekea Damascus Syria akadai kutokewa na yesu na kupewa utume,so Paulo hakuwahi kuwa mwanafunzi wa yesu
 
Mwanafunzi wa Yesu sio lazima amuone Yesu uso kwa uso, kwa kumuamini ni umehesabiwa kuwa mwanafunzi wa Yesu.

Pili hata wale waliokuwa na Yesu uso Kwa uso waliandika kuwa Yesu alikufa na Mungu akamfufua siku ya tatu.
Na Paulo anasema kitu kilekile, so hakuna tofauti hapo.

Mathayo aliandika Yesu alikufa na KUFUFULIWA.Yohana aliandika Yesu alikufa na KUFUFULIWA..Petro alisema waziwazi kuwa Yesu alikufa na KUFUFULIWA katika kitabu cha Matendo ya Mitume.
 
hakuna kiumbe kilichowahi kuishi kinachoitwa issa wala yesu zote ni stori za kufikirika tu
 
Umenukuu Yohana kuthibitisha Isa , na Mimi nimenukiu apo apo sasa jibu maswali kama nilivyoliuliza

Huyo Isa alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo ? Na ana Baba ?

Yohana 17: 5 Sasa, Baba, nitukuze mbele yako kwa ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu.
Nimekuambia katika bibilia Kuna Yesu wawili huyo mmoja mnaemuita Mungu mkuu, Mungu, sijui mwana wa Mungu huyo ndio Yesu wenu wakristo na Mimi Sina shida nakubali 100% huyo sio Isa

Yesu/ Isa anakujibu swali lako kama haujaelewa au hauliamini hili andiko sema

Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
 
Uwongo,agano jipya Lina vitabu 27,kati ya hivyo inasadikika 13 vimeandikwa na Paulo,kati ya hivyo ni 6 ndiyo Kuna uhakika kweli vimeandikwa na Paulo,Paulo alikua akimpinga yesu,yesu alipoondoka Paulo akielekea Damascus Syria akadai kutokewa na yesu na kupewa utume,so Paulo hakuwahi kuwa mwanafunzi wa yesu
Kama ni uongo huu ni wa Phd!
[emoji116][emoji116]
Alikuwa anazurula mapangoni!
Akadai Alikabwa na Aliye mkaba hamjui...
Mwisho wa siku mkewe kaenda muita mganga wa kienyejj anaetwa waraqa ibn Noufal ambaye anadanganya kuwa Aliye kukaba ni Jibril Aliye watokea Musa na Yesu!; Jibashirie mwenyewe kwamba ni mtume wa umma huu, Inshallah naomba dua nione utakavyo watengeneza ndugu zako!
Cha ajabu Musa wala Yesu Hawajatokewa na Gabriel
[emoji56][emoji56][emoji15][emoji12]
Ukiniwekea Ushahidi humu Allah Anampa utume muham mad tumekeane miadi nita-retardi Ukristo na kusilimu![emoji101][emoji101]
 
Nimekuambia katika bibilia Kuna Yesu wawili huyo mmoja mnaemuita Mungu mkuu, Mungu, sijui mwana wa Mungu huyo ndio Yesu wenu wakristo na Mimi Sina shida nakubali 100% huyo sio Isa

Yesu/ Isa anakujibu swali lako kama haujaelewa au hauliamini hili andiko sema

Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
Kitabu Cha Yohana unacho nukuu na kusema ni Isa ameandikwa humo , kinasema

Yohana 17: 5 Sasa, Baba, nitukuze mbele yako kwa ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu.

Sasa ujibu maswali yangu
Isa ana Baba ?
Isa alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo?

Kama huwezi kujibu ayo maswali achana na kunukuu vitabu visivyo muhusu Isa
 
Unakulupuka kunukuu Aya ikutetee ujinga wako ambayo kilicho Andikwa ndani Hukiamini!
ww Unaamini Yesu Baba yake ni Mungu??[emoji101]
 
YESU Alipo zaliwa sauti ilitoka JUU. HALELUYAAA.
Kwa mujibu ku lani isa alipozaliwa sauti ilitoka chini! duu.
issa ni jina na yesu ni neno
ukifuatilia kwa makini kila jamii ama nchi inajina lake. kwa mfno. Jesus, Yesu lkn alikiwa na jina lake pia ni lipi?
 
Unakulupuka kunukuu Aya ikutetee ujinga wako ambayo kilicho Andikwa ndani Hukiamini!
ww Unaamini Yesu Baba yake ni Mungu??[emoji101]
Nyinyi mna mtindio wa ubongo mbona hamuelewi nimekuambia huyo Yesu mtoto wa Mungu sijui Mungu sijui mwana wa Mungu huyo ni wenu na huyo sio Isa

Ila Yesu/ Isa anasema baba yake ndio baba yetu na Mungu wake ndio Mungu wetu

Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
 
Ukiwa unasujudu kwenye swala zako utapata sijida(hiyo alama nyeusi).hujasoma Aya niliyokupa,naiweka Tena
QUR'AN 48:29
Muhammadi mtume wa m/Mungu...utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za mwenyezi Mungu.Alama zao zi katika nyuso zao kwa 'athari ya kusujudu'.Huu ndiyo mfano wao katika TAURATI.Na mfano wao katika INJILI
muhammad ni mtume wa Mungu ni maneno ya nani??

Halafu Yesu Alitutahadharisha sana kuhusu sigda!
[emoji116][emoji116]
Revelation 14:9-12
[9]Na mwingine, malaika wa tatu, akawafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake,

[10]yeye naye atakunywa katika mvinyo ya ghadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.

[11]Na moshi wa maumivu yao hupanda juu hata milele na milele, wala hawana raha mchana wala usiku, hao wamsujuduo huyo mnyama na sanamu yake, na kila aipokeaye chapa ya jina lake.

[12]Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu.
 
Kitabu Cha Yohana unacho nukuu na kusema ni Isa ameandikwa humo , kinasema

Yohana 17: 5 Sasa, Baba, nitukuze mbele yako kwa ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu.

Sasa ujibu maswali yangu
Isa ana Baba ?
Isa alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo?

Kama huwezi kujibu ayo maswali achana na kunukuu vitabu visivyo muhusu Isa
Nyinyi mna mtindio wa ubongo mbona hamuelewi nimekuambia huyo Yesu mtoto wa Mungu sijui Mungu sijui mwana wa Mungu huyo ni wenu na huyo sio Isa

Ila Yesu/ Isa anasema baba yake ndio baba yetu na Mungu wake ndio Mungu wetu

Huyu anaeongea hapa ni Yesu/ Isa hivyo mkilipinga hili andiko sushangai

Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu
 
Mwanafunzi wa Yesu sio lazima amuone Yesu uso kwa uso, kwa kumuamini ni umehesabiwa kuwa mwanafunzi wa Yesu.
Pili hata wale waliokuwa na Yesu uso Kwa uso waliandika kuwa Yesu alikufa na Mungu akamfufua siku ya tatu.
Na Paulo anasema kitu kilekile, so hakuna tofauti hapo.
Mathayo aliandika Yesu alikufa na KUFUFULIWA.
Yohana aliandika Yesu alikufa na KUFUFULIWA..
Petro alisema waziwazi kuwa Yesu alikufa na KUFUFULIWA katika kitabu cha Matendo ya Mitume.
Mungu yesu kafufuliwa na MUNGU Tena!!?..unaona njia ya mwongo ilivyo fupi!!..biblia hiyohiyo inasema yesu MUNGU,huu ni upogo unadhihirisha uwongo,kwa hiyo hata wewe uliyemwamini yesu kuwa ni Mungu nawe ni mwanafunzi wake!?
 
Na wanafunzi wa Yesu walioshiriki naye pamoja na pia na wengine ambao walimuamini Yeye
Kwahyo tunaweza kukata kauli kwamba hilo agano ulilotaja si maneno ya muumba wa mbingu na nchi kwa ukamilifu wake kwasababu kumechanganyika maneno ya wanadamu ndani yake na hakuna regulator wa kutunza usahihi wake, na mbona naambiwa agano jipya na la kale hukmu zake zinagongana?.

Baina ya agano jipya na la kale kumepita miaka mingapi ya uandishi mkuu.
 
Mungu yesu kafufuliwa na MUNGU Tena!!?..unaona njia ya mwongo ilivyo fupi!!..biblia hiyohiyo inasema yesu MUNGU,huu ni upogo unadhihirisha uwongo,kwa hiyo hata wewe uliyemwamini yesu kuwa ni Mungu nawe ni mwanafunzi wake!?
Soma ewe Amanu.

Yohana 10:17 Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena.

18 Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
 
[
Huyu anaeongea hapa ni Yesu/ Isa hivyo mkilipinga hili andiko sushangai

Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu[/B]
Hakuna mtu kalipinga andiko

Kitabu Cha Yohana unacho nukuu na kusema ni Isa ameandikwa humo , kinasema

Yohana 17: 5 Sasa, Baba, nitukuze mbele yako kwa ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu.

Sasa ujibu maswali yangu
Isa ana Baba ?
Isa alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo?

Kama huwezi kujibu ayo maswali achana na kunukuu vitabu visivyo muhusu Isa
 
Isa maana yake ni wekundu uliochanganyika na weupe. kwa maneno mengine ni uzeruzeru.

Yesu maana yake Mwokozi.

Nauliza kama Yesu ni Jesus kwa Kiswahili.
Mbona Qurani zote za Kiswahili zinaogopa kuandika jina la Yesu kwa Kiswahili na zimeandika Isa?

Yaani tungeliona ndani ya Qurani za Kiswahili Jina la Yesu badala ya Isa. kama kweli Jesus ni Isa kwa Kiswahili.
 
Back
Top Bottom