Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Na yule mwenzao yuko wapi?
'' sitawaacha yatima nitawaachia Roho mtakatifu''.
Hawezi kuja hadi mimi niondoke.

Kama unasoma vitu unaona kunapambano katika dhamiri yako.
Kama unataka kufanya jambo lkn unapata msukumo katika dhamiri usifanye. Hiyo ni kazi ya Yule mwingine. Kila mdanadamu anashughulikiwa na kusadikishwa juu ya dhambi afanyazo kwa kiwango chake cha uelewa. Yuko kazini kwa jinsi ya Kiungu.

Siku ya Kiyama kazi yake inakuwa imekamilika. Tutafunuliza zaidi juu yake tutakapofika, ila anafanya kazi kama upepo. Upepo hauonekani ila matokeo yake tunayaona waziwazi.

Ndio maana unakuta shehe alikuwa amuamini Yesu Baadaye anakuwa mtetezi wa Yesu. Matokeo ya Upepo.
Kahaba anakuwa mke mwema
Jambazi anakuwa mjasiliamali
Fisadi anakuwa muadilifu
mchawi anakuwa mcha Mungu.

Yule mwingine ni muhimu sana kumsikiliza anaponena na dhamiri yako kukusaidikiasha mambo makuu ya Mungu. Iliwemo Uungu wa Mwana. Kaka yako mkuu iliwa utakubali kuwa upande wake. Tofauti yako na yeye wote ni wana wa Mungunila yeye ni wa Milele zote na ni Mungu kamili hadi kesho.

Asalam aleikum
 
'' sitawaacha yatima nitawaachia Roho mtakatifu''.
Hawezi kuja hadi mimi niondoke.
Kama unasoma vitu unaona kunapambano katika dhamiri yako.
Kama unataka kufanya jambo lkn unapata msukumo katika dhamiri usifanye.
hiyo ni kazi ya Yule mwingine. Kila mdanadamu anashughulikiwa na kusadikishwa juu ya dhambi afanyazo kwa kiwango chake cha uelewa. Yuko kazini kwa jinsi ya Kiungu.
Siku ya Kiyama kazi yake inakuwa imekamilika. Tutafunuliza zaidi juu yake tutakapofika.
ila anafanya kazi kama upepo. Upepo hauonekani ila matokeo yake tunayaona waziwazi.
Ndio maana unakuta shehe alikuwa amuamini Yesu Baadaye anakuwa mtetezi wa Yesu. Matokeo ya Upepo.
Kahaba anakuwa mke mwema
Jambazi anakuwa mjasiliamali
Fisadi anakuwa muadilifu
mchawi anakuwa mcha Mungu.
Yule mwingine ni muhimu sana kumsikiliza anaponena na dhamiri yako kukusaidikiasha mambo makuu ya Mungu. Iliwemo Uungu wa Mwana. Kaka yako mkuu iliwa utakubali kuwa upande wake. Tofauti yako na yeye wote ni wana wa Mungunila yeye ni wa Milele zote na ni Mungu kamili hadi kesho.
Asalam aleikum
Huwa kuna mungu baba mungu mwana na mwenzao mwingine je huyu yuko wapi? naomba msitari yohana 1
 
Yusuf siyo baba'ke Yesu. Kiislam baba ni yule "biologically" tu.

Yesu hakuwa na baba "biologically" kwa hiyo ni lazima aitwe kwa ubini wa mama'ke.

Uislam unafundisha kuwa Yesu kazaliwa kwa neno tu "kun fa yakun" kuwa na inakuwa.

Adam hakuwa na baba wala mama ndiyo maana Kiislam hana ubini wa baba wala mama isipokuwa sisi sote tuna u bini wa Adam, Bin Adam.

Yesu mwenyewe hajawahi kumuita Yusuf "baba".

Elimu murua

Kwa sisi ambao hatukusoma Qur'an ilmu hii inatujenga
 
Huo ni ufasaha wa lugha,yaani wngi kumaanisha moja katika lugha ni maarufu sana hata kwa Waswahili.

Unspo kataa kuwa YESU si ISSA huku ni kuihujumu elimu na kuukata Ukweli wazi wazi. Na huwezi kapinga hili kielimu hata ukipewa miaka mia. Huwezi kumtofautisha YESU na ISSA kielimu zaidi ujinga na mapenzi ya upofu.

Anaezungumziwa ni mmoja bali kwa maelezo tofauti.

Qur'an inasemaje kuhusu kifo cha Nabii Issa bin Marian?
 
Huwa kuna mungu baba mungu mwana na mwenzao mwingine je huyu yuko wapi? naomba msitari yohana 1
roho mtakatifu.
Yohana 14:15 “Kama mnanipenda mtatimiza amri zangu. 16 Nami nitam womba Baba, naye atawapeni Msaidizi mwingine akae nanyi siku zote. 17 Huyo ndiye Roho wa Kweli ambaye watu wasioamini hawawezi kumpokea. Watu kama hao hawamwoni wala hawamfahamu. Ninyi mnamfahamu kwa kuwa anakaa ndani yenu na ataendelea kuwa nanyi
 
Yusuf siyo baba'ke Yesu. Kiislam baba ni yule "biologically" tu.

Yesu hakuwa na baba "biologically" kwa hiyo ni lazima aitwe kwa ubini wa mama'ke.

Uislam unafundisha kuwa Yesu kazaliwa kwa neno tu "kun fa yakun" kuwa na inakuwa.

Adam hakuwa na baba wala mama ndiyo maana Kiislam hana ubini wa baba wala mama isipokuwa sisi sote tuna u bini wa Adam, Bin Adam.

Yesu mwenyewe hajawahi kumuita Yusuf "baba".
umeeleza vzr kwa mtazamo mzuri wa kiislam ulioshiba.
adam kutokuwa na baba hiyo sio ya kujadili maana kaumbwa na kutokea yeye woote kasoro Yesu tumo kwenye chain yake.
Sasa Yesu ni kiumbe kingine sio Mwanadamu kwa mujibu wa uislam maana hajazaliwa kwa kanuni za kibaiolijia.
unadhani ni haki kumuona kama wanadamu wengine wakati kwa maelezo yake amevunja taratibu zote za kibaiolojia?

Unamaoni gani na Yule Baba ambaye alisema '' huyu ni mwanangu mpendwa''.
na Yeye akasema amekuja Kutoka kwa Baba yake? Na Hata alipowaaga wale vijana wake alisema anarudi kwa Baba yake aliyemtuma sio tumboni kwa mariam tunakodhani ameasisiwa?
 
roho mtakatifu.
Yohana 14:15 “Kama mnanipenda mtatimiza amri zangu. 16 Nami nitam womba Baba, naye atawapeni Msaidizi mwingine akae nanyi siku zote. 17 Huyo ndiye Roho wa Kweli ambaye watu wasioamini hawawezi kumpokea. Watu kama hao hawamwoni wala hawamfahamu. Ninyi mnamfahamu kwa kuwa anakaa ndani yenu na ataendelea kuwa nanyi
So kuna miungu 3?
 
Mtume, wake zake, rafiki zake wote na waislam wote huitwa kwa ubin Wa baba. Hata wote kwenye taurat,zabur,injil, hakuna anayetumia jina la mama.
Mfano Juma Bin Said.

Kwa nini Sio Issa Bin Yusufu?

Je mnakubali kisirisiri kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja kupitia Marian na sip trndo la ndoa kati ya Mariam na Yusufu?

yesu si mungu kama muahamed s.a.w unaye msujudu maka .yesu naye tunaona kama ndio mkombozi wa kistro .
mkombozi wa waisalamu muahamed s.w.a kwa waislamu.
hivi dini mbona tunashindwa kuzielewa
 
Naomba mtume mwingine aliyeAliwa hivyo?
Naomba zaidi ya Yesu mwanadamu aliyezaliwa bila Baba.

Hata Yesu hasemi Yusufu ni Baba Yake, ila yeye sio Wa ulimwengu huu.Yusufu ni Baba Wa kulea.

Hivyo chanzo cha Yesu sio Mariam ,Mariam ni njia tu
Ulishawahi kupika supu safi ukaiweka kwenye bakuli chafu?
 
yesu si mungu kama muahamed s.a.w unaye msujudu maka .yesu naye tunaona kama ndio mkombozi wa kistro .
mkombozi wa waisalamu muahamed s.w.a kwa waislamu.
hivi dini mbona tunashindwa kuzielewa
ahsante kwa maoni
 
Hata kama Maria ni njia tu ya UKIP wa Yesu, Yesu asingeweza kuja kwenye njia chafu kwakua yeye ni Mtakatifu.
'' alifanyika laana ili awaokoe walio katika laana ya dhambi'' galatia 3:13-14.

Na japa ndipo hata ngudu zangu wa umma wa waislam wanashindwa kumuelewa Yesu.
Haikuwa kazi rahisi, Malaika walishangaa, Shetani mwwnyewe alimvizia akajua sasa ndio wakati wa kumshughulikia ndio maana alianza kumtest akijifanya malaika maana alijua angemnasa vizuri maana anamjua alivyo mkuu lakini sasa anaishi kwa shida mna sio kuzaliwa tu kwa njia chafu.

Hii ni siri kubwa ya Uungu ambayo tukifika Peponi tutaanza kufunuliwa zaidi maana sio kawaida.

Bibilia inasema Wafilipi 2:5 kabla hakaja kupita katika njia hiyo chafu alipukutisha utukufunwake, akajishusha kabisa katika viwango vya chini mno. Uwezo alikuwa nao lakini akaishi kama sio kitu kabisa, akimueleza baba kila kitu,a kiomba mno kwa Baba.

Ametuachia somo zito sana sisi wanadamu. Yaani kuomba hivyonwakati halikuwa hana dhambi wakati sisi wadhambi zinapota hata siku hatujaomba kwa Baba katikati ya mashambulizi mazito ya Ibirisi.

ile ni sayansi inayohitaji utulivu nanunyenyekevu kuiamini na kuiisho
 
Kwa kifupi Maria alizaliwa wazazi wake Joachim na Anna wakiwa vikongwe. Ujana wao wote waliomba kupata mtoto lakini hawakufanikiwa. Mungu aliwajalia binti uzeeni. Inasadikika Joachim na Anna hawakujamiiana kumpata Maria. Anna alikikuta tu ni mja mzito.

Kwakua walisha muahidi Mungu mtoto atakae patikana watamtoa hekaluni mfano wa Samuel. Maria alitolewa hekaluni. Hata wazazi wake walipofarkiki alikuwa hekaluni akimtumikia Mungu.

Maria alimuahidi Mungu kutunza Ubikira wake. Alipofika umri wa balehe wazee waliona ana najisi hekalu na atafutiwe mchumba aolewe.

Wakati huo Yusufu alifiwa na mkewe na alikuwa mmoja wa wazee wa he kali pia. Alimuahidi Mungu kuwa atalea wanae na kutumia muda wake ukiona ni kumtumikia Mungu hata oa tena.

Shauri la Maria lilipomfikia aliamua kumtolea posa lakini alimuahidi Mungu kuwa hata mgusa. Ndiyo maana alipogundua Maria ni mja mzito alishtuka sana. Mengine yaliyoendelea unauafahamu.
 
story inafurahisha.
 
'' alifanyika laana ili awaokoe walio katika laana ya dhambi'' galatia 3:13-14.

Na japa ndipo hata ngudu zangu wa umma wa waislam wanashindwa kumuelewa Yesu.
Haikuwa kazi rahisi, Malaika walishangaa, Shetani mwwnyewe alimvizia akajua sasa ndio wakati wa kumshughulikia ndio maana alianza kumtest akijifanya malaika maana alijua angemnasa vizuri maana anamjua alivyo mkuu lakini sasa anaishi kwa shida mna sio kuzaliwa tu kwa njia chafu.

Hii ni siri kubwa ya Uungu ambayo tukifika Peponi tutaanza kufunuliwa zaidi maana sio kawaida.

Bibilia inasema Wafilipi 2:5 kabla hakaja kupita katika njia hiyo chafu alipukutisha utukufunwake, akajishusha kabisa katika viwango vya chini mno. Uwezo alikuwa nao lakini akaishi kama sio kitu kabisa, akimueleza baba kila kitu,a kiomba mno kwa Baba.

Ametuachia somo zito sana sisi wanadamu. Yaani kuomba hivyonwakati halikuwa hana dhambi wakati sisi wadhambi zinapota hata siku hatujaomba kwa Baba katikati ya mashambulizi mazito ya Ibirisi.

ile ni sayansi inayohitaji utulivu nanunyenyekevu kuiamini na kuiisho
Hapo ndio naona dini ni ujinga wa kiwango cha lami, kwani ni lazima Mungu amfanye laana Nabii wake ili kuwaokoa? kwani kwa uwezo wake yeye husema jambo likawa, iweje mtu atesweeee halafu aangikwe msalabani kwa taaabu mpaka afe ili nyie muokolewe? kwa nini asiseme "Mmeokolewa" basi mkaishi safi na wote mkawa dini moja, hakuna cha alshabab wala antibalaka? anakwama wapi huyo Mungu?
 
Back
Top Bottom