Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Personal attacks na character assassination ni dalili kuu za watu wasio na upeo mkubwa kifikra. Mimi ni mtu huru kifikra na wewe ni ndege unaefurahia kukaa ndani ya CAGE, huwezi kujua ladha ya kuwa huru na lazma utauchukia uhuru. Usisahau kingine, sounding philosophical doesn't make you sound smart to people of my kind but the content and substance found within your words; I used to respect you from a far ila nikiri "you are a DISSAPOINTMENT kwangu leo".

Hivi ndivyo nilivyo mimi.

Nakupa akiba ya maneno,kamwe usiongee jambo kama huna elimu nalo,kufanya hivi ni kuiokosea adabu elimu na watu wake.

Hili la kuongea jambo ambalo hamna elimu nalo nimeliona sana kwa watu wengi wa jf,ajabu ukiwauliza maswali ya kielimu na kuwaomba ithibati nanga ina paa. Uzuri wa ukweli hauangalii heshima ya mtu wala dharau ya mtu,unakuwa juu siku zote.

Nimemaliza.
 
Inaonekana wewe Uislamu huujui,hao ambao hawaamini kama Muhammad ni mtume wa mwisho hao sio waislamu.
hao ni waislam bora kuliko hata wewe, ndio wenye uwezo mkubwa wa kupambana na mkristo kwa hoja kuliko nyie. Msibaguane bana
 
Ujanja ujanja upo mwingi sana personally niliacha kuhoji hoji haya ya dini isiyonihusu pale nilipomuuliza aliyekuja kunihubiria baada ya kunisomea kinachoitwa aya huku kukiwa na sentence yenye wingi kama “TUMEWAAMURU/TUMEWAKATAZA" nikamuuliza kama mnasema Mungu yupo mmoja kwanini iwe "TUME" na isiwe "NIME" huu wingi unatokana na nini sikupata jibu la maana nikaambiwa ndivyo walivyofundishwa na mtume nikaachana nao.
 
hao ni waislam bora kuliko hata wewe, ndio wenye uwezo mkubwa wa kupambana na mkristo kwa hoja kuliko nyie. Msibaguane bana

Nacheka sana. Elimu ya mijadala ni pana sana,ila kwa uchache tu hao si waislamu mfano wa hao ambao sio waislamu ni Makadiani na Mashia kwa haraka haraka na nina wajua sana.

Mathalani makadiani wanaamini ya kuwa Yesu amekufa na wana amini mtume wa mwisho ni Mirza Gulamu Ahmad,sasa hawa kwa kipi kinachowabakiza katika uislamu ?

Na nyinyi hao wakiwashinda kwa hoja haimaanishi kuwa wao ni bora wala kuwa wao ndio waislamu. Uislamu una misingi yake imara.
 
Ujanja ujanja upo mwingi sana personally niliacha kuhoji hoji haya ya dini isiyonihusu pale nilipomuuliza aliyekuja kunihubiria baada ya kunisomea kinachoitwa aya huku kukiwa na sentence yenye wingi kama “TUMEWAAMURU/TUMEWAKATAZA" nikamuuliza kama mnasema Mungu yupo mmoja kwanini iwe "TUME" na isiwe "NIME" huu wingi unatokana na nini sikupata jibu la maana nikaambiwa ndivyo walivyofundishwa na mtume nikaachana nao.

Inaonekana wewe ni mvivu sana wa kutafuta maarifa na huyo aliyekuwa ana kuhubiria hilo lilimpita ila hilo liko wazi na lina fahamika sana.
 
Sababu hili ni jambo dogo,kwa haraka haraka,soma hapa kwa utulivu tu utaelewa.

Nanukuu :

Praise be to Allaah.
It is a feature of literary style in Arabic that a person may refer to himself by the pronoun nahnu (we) for respect or glorification. He may also use the word ana (I), indicating one person, or the third person huwa (he). All three styles are used in the Qur’an, where Allaah addresses the Arabs in their own tongue.

(Fataawa al-Lajnah al-Daa’imah, 4/143).
“Allaah, may He be glorified and exalted, sometimes refers to Himself in the singular, by name or by use of a pronoun, and sometimes by use of the plural, as in the phrase (interpretation of the meaning): ‘Verily, We have given you a manifest victory” [al-Fath 48:1], and other similar phrases. But Allaah never refers to Himself by use of the dual, because the plural refers to the respect that He deserves, and may refer to His names and attributes, whereas the dual refers to a specific number (and nothing else), and He is far above that.”

(Al-‘Aqeedah al-Tadmuriyyah by Shaykh al-Islam Ibn Taymiyah, p. 75).
These words, innaa (“Verily We”) and nahnu (“We”), and other forms of the plural, may be used by one person speaking on behalf of a group, or they may be used by one person for purposes of respect or glorification, as is done by some monarchs when they issue statements or decrees in which they say “We have decided…” etc. [This is known in English as “The Royal We” – Translator]. In such cases, only one person is speaking but the plural is used for respect.

The One Who is more deserving of respect than any other is Allaah, may He be glorified and exalted, so when He says in the Qur’an innaa (“Verily We”) and nahnu (“We”), it is for respect and glorification, not to indicate plurality of numbers. If an aayah of this type is causing confusion, it is essential to refer to the clear, unambiguous aayaat for clarification, and if a Christian, for example, insists on taking ayaat such as “Verily, We: it is We Who have sent down the Dhikr (i.e., the Qur’an)” [al-Hijr 15:9 – interpretation of the meaning] as proof of divine plurality, we may refute this claim by quoting such clear and unambiguous aayaat as (interpretation of the meanings): “And your god is One God, there is none who has the right to be worshipped but He, the Most Beneficent, the Most Merciful” [al-Baqarah 2:163] and “Say: He is Allaah, the One” [al-Ikhlaas 112:1] – and other aayaat which can only be interpreted in one way. Thus confusion will be dispelled for the one who is seeking the truth.

Every time Allaah uses the plural to refer to Himself, it is based on the respect and honour that He deserves, and on the great number of His names and attributes, and on the great number of His troops and angels.”
(Reference: Al-‘Aqeedah al-Tadmuriyyah by Shaykh al-Islam Ibn Taymiyah, p. 109). And Allaah knows best.

Tuendelee...
 
YESU NI MUNGU AU MWANA WA MUNGU?
Mwana wa Mungu ambaye uungu wote unayeye.

Kwa mfano wa chekechea ili kutanua uelewa.

Yai huwezi kuita ganda la yai yai, au ule ute weupe ndio yai, au kiini ndio yai.
Vyote Vitatu ndio Yai, Ukikutana na kimoja lazima ujue kinakamilikankwa kkungana na kingine.

Ndio taasisi ya Uungu. Baba ndiye Yesu anamuita Mungu anapokuwa kaacha Utukufu wake ili awe katika ubinadamu akuokoe wewe. Ila tunapoongea sasa yu hai na Yesu anafuatilia huu mjadala mkuu akiwa Mungu Mwana aliyeketi mkono wa Kuume wa Baba.
 
Mwana wa Mungu ambaye uungu wote unayeye

Uwe una ambatanisha na andiko ili twende sawa.
Yai huwezi kuita ganda la yai yai, au ule ute weupe ndio yai, au kiini ndio yai.
Vyote Vitatu ndio Yai, Ukikutana na kimoja lazima ujue kinakamilikankwa kkungana na kingine.
Ndio taasisi ya Uungu.

Elimu ya mifano iliwapungia mkono wa kwaheri zamani sana.

Kwenye yai kuna nafsi ngapi ?

Ipi kazi ya gamba la nje ya yai ? Kiini kazi yake nini na ule weupe kazi yake nini ?

Siku nyingine mifano ya kijinga na kitoto kawatolee watoto wa chekechekea sisi tuna akili zetu timamu.
 
Mwana wa Mungu ambaye uungu wote unayeye.

Kwa mfano wa chekechea ili kutanua uelewa.

Yai huwezi kuita ganda la yai yai, au ule ute weupe ndio yai, au kiini ndio yai.
Vyote Vitatu ndio Yai, Ukikutana na kimoja lazima ujue kinakamilikankwa kkungana na kingine.
Ndio taasisi ya Uungu. Baba ndiye Yesu anamuita Mungu anapokuwa kaacha Utukufu wake ili awe katika ubinadamu akuokoe wewe. Ila tunapoongea sasa Yu hai. na Yesu anafuatilia huu mjadala mkuu akiwa Mungu Mwana aliyeketi mkono wa Kuume wa Baba,

Hivi kuwa mwana ndio hoja yako ya kuwa Yesu ni mungu ?

Uwe unaweka na kaandiko kuipa nguvu kauli yako.
 
Inaonekana wewe ni mvivu sana wa kutafuta maarifa na huyo aliyekuwa ana kuhubiria hilo lilimpita ila hilo liko wazi na lina fahamika sana.
Nope!!!

Mie siyo mvivu wa kutafuta maarifa,ndo maana alipokuja huyu shehe nilimpa nafasi kumsikiliza nilipomuuliza swali hilo akajibu vitu visivyoingia akilini nikaachana naye na nikajua kumbe kila mtu ana alichofundishwa akakiamini hata kama mwengine atakiona hakiwezekani basi muhusika anakiamini that's why hapo juu nimesema niliacha kuhoji coz siyo imani yangu ambayo nayo pia kuna watu hawawezi kuielewa kama navyoielewa mimi.
 
Sasa kama Yesu ni mwana wa Mungu,vipi aliwaumba Adamu na Hawa ? Ina maana waliahirikiana na baba yake ?

Na kama hoja ni mwana,hawa mbona ni wana lakini hamuwaiti Miungu ? Soma hapa,nanukuu :

Biblia inasema kwamba: 1. Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu. (Kutoka 4:22). 2. Daudi ni mwana wa Mungu, yeye pia ni mwana wa kwanza. (Zaburi 89: 26-27). 3. ....maana mimi ni baba wa Israeli na Efraim (Ibrahim) ni mzaliwa wa kwanza wangu. (Yeremia 31:9). Hawa wana wa Mungu wote, kila mmoja wao ni mzaliwa wa kwanza kwa Mungu. Kwanza itakuwaje watoto wote watatu wawe wazaliwa wa kwanza kwa Mungu. Pili kwa nini hawa wazaliwa wa kwanza wasiitwe miungu? Na kama hawa watatu wakubwa hawawezi kuwa miungu wala hawaabudiwi, basi mtoto mdogo Yesu pia hana haki yoyote ya kuitwa Mungu wala hana haki ya kuabudiwa. 4. Suleimani ni Mwana wa Mungu. (Mambo ya Nyakati 22:9-10). 5. Wapatanishao wameitwa Wana wa Mungu. (Mathayo 5:9). Oo! siyo tu bali katika Biblia baadhi ya watu wameitwa miungu. Tena hakuna Mkristo ambaye anawaita miungu wala hawaabudiwi. Kama Biblia inavyosema kwamba: A. Yesu akawajibu, Je! haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, mimi nimesema, ndinyi miungu? (Yohana 10:34). B. Bwana akamwambia Musa angalia, nimekufanya wewe kuwa kama mungu kwa Farao na huyo ndugu yako Harun atakuwa Nabii wako. (Kutoka 7:1).

Ila sijapata kuona washirikina kama nyinyi Wakristo.
Mkuu Yesu kwa Lugha nyingine ni Kaka wa kila anayemuamini Mungu Baba kupitia yeye.

" wote waliompokea (Yesu) Walifanyika kuwa wana wa Mungu'' Yohana 1. Nimekuambia baada ua mjadala huu kasome tena Yohana Moja.

Unauliza Mbona hao wengine ni agano la kale.
Yesu anasema agano la kale linamuelezew Yeye. Hivyo uwana wake huajaanzia alipokuja ila ni wa milele.

Mpokee Yesu, Basi Unafanyika Mwana wa Mungu kama hao wengine ulionitajia. Ila hao sio Miungu kwa sababu ni wanadamu na Yesu ni Mwana wa Mungu ambaye uungu wote unayeye.

na anakupenda mno, ndio maana akaona kukaa huko na Baba anatawala viumbe vyote na kuabudiwa huku wewe unanyanyaswa na shetani sio fair ikabidi akubali kidharirika ashushe viwango kwa makusudi apenye kupitia mama mariam aje akamilishe mission ambayo inanipa hata mimi ujasiri leo wa kuandika haya.

Shetani hana la kunishtaki ikiwa niko uoande wa Mungu wangu Yesu na Baba chini ya uonhozi wa roho mtakatifu. Umoja wa ajabu usioyosha kuelezeka kwa jinsi ya kibinadamu.
 
Hivi kuwa mwana ndio hoja yako ya kuwa Yesu ni mungu ?

Uwe unaweka na kaandiko kuipa nguvu kauli yako.
Mkuu mjadala wote huu unazimikia Yohana Moja.
Ukitulia usiku, ukaipitia kiunyenyekevu, inauwezo wa kugeuza maisha yako yote miguu juu kichwa chini na ukaanza safari mpya ya ajabu ambayo utaona kama ulikuwa umechelewa mkuu.
 
Kijana acha kupoteza muda kutafuta majibu ambayo huwezi kuafikiana nayo maana huyo Isa na Yesu sio sawa; Isa alizaliwa chini ya mtende na Yesu alizaliwa kwenye hori la kulishia ng'ombe. Pia Allah wa uislam na Mungu wa ukristo vilevile sio sawa. Hivyo amini unavyoamini wewe na waislam waache waamini wanavyoamini, maana wote mko sawa katika imani zenu.
 
Uwe una ambatanisha na andiko ili twende sawa.

Elimu ya mifano iliwapungia mkono wa kwaheri zamani sana.

Kwenye yai kuna nafsi ngapi ?

Ipi kazi ya gamba la nje ya yai ? Kiini kazi yake nini na ule weupe kazi yake nini ?

Siku nyingine mifano ya kijinga na kitoto kawatolee watoto wa chekechekea sisi tuna akili zetu timamu.
1:Wakolosai 2: 9 Maana, ukamilifu wote wa kimungu umo ndani ya Kristo katika umbile lake la kibinadamu.
hili linajieleza mchana kweupe.
2: Yesu alitoa mifano myepesi kabisa ili watu wamuelewe licha ya kumuelewa walimuua. wazazi na ndugu zake wakaona amechanganyikwa amekuwa chizi kumbe wao ndio machizi.
mkuu nimekupa mfano wa kibinadamu wa Yai ni Moja lkn linasehemu tatu zinazofungamana sasa unataka nitumie mifano gani tena mkuu.

Ubarikiwe lkn kwa mjadala mzuri
 
Kijana acha kupoteza muda kutafuta majibu ambayo huwezi kuafikiana nayo maana huyo Isa na Yesu sio sawa; Isa alizaliwa chini ya mtende na Yesu alizaliwa kwenye hori la kulishia ng'ombe. Pia Allah wa uislam na Mungu wa ukristo vilevile sio sawa. Hivyo amini unavyoamini wewe na waislam waache waamini wanavyoamini, maana wote mko sawa katika imani zenu.
Huu ni moja ya Mtazamo wa Issa ambao binafsi huwa naona sio sahihi sana. Issa mimi naamini ni distorted version ya Yesu. Maana hata mtume najua alimjua Yesu na habari zake tangu kijana maana hiyo middle east kulikuwa na syriac christians wa kutosha.

Hata huyu Bwana Zuri anajua kabisa siku ya kwanza mtume anapata kinachoitwa Maono mkewe Khadija alimpeleka kwa Mkristo Waraqa amsaidie. Huyu waraqa alimjua Yesu wa Ukweli, hapa kwenye hii familia Mtume alikaa muda kidogo. Hivyo maanimi habari nyingi za Bibilia alizozielezea zina ukweli lkn asilimia kubwa zinamapungufu. Ndio maana anawaambia waislam wawaulize watu wa kitabu yaani sisi Thenashars, na wayahudi ikiwa hawaelewi.

Sisi tukiwaelezea kuhusu Yesu katika viwango vyake wanatubishia tena.
Hapa ndipo ugumu huwa unaanzia tunaamua kuwaacha, tunabaki kuwaombea tu. Ingawa nawapenda wakipata shida serious wengi humkumbilia Yesu bila ubishi. Wawili nimewaona mmoja nimemuombea mwenyewe mkuu na tulikuwa na shehe tunapeana zamu.

So kazi hii ni kuvunja confidence katika mapunguvu na kurudisha confidence katika chanzo kikuu Bibilia.

Ila wakikataa pia tunakung'uta miguu kwa amani kabisa bila ugomvi wala matukano
 
Mwana wa Mungu ambaye uungu wote unayeye.
Kwa mfano wa chekechea ili kutanua uelewa.
Yai huwezi kuita ganda la yai yai, au ule ute weupe ndio yai, au kiini ndio yai.
Vyote Vitatu ndio Yai, Ukikutana na kimoja lazima ujue kinakamilikankwa kkungana na kingine.
Ndio taasisi ya Uungu. Baba ndiye Yesu anamuita Mungu anapokuwa kaacha Utukufu wake ili awe katika ubinadamu akuokoe wewe. Ila tunapoongea sasa Yu hai. na Yesu anafuatilia huu mjadala mkuu akiwa Mungu Mwana aliyeketi mkono wa Kuume wa Baba,
Na yule mwenzao yuko wapi?
 
Back
Top Bottom