Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,192
- 678
kuna data na upupu mwajua nyie?
kuna data na upupu mwajua nyie?
Lakini si tuyliambiwa kuwa Chenge ni shahidi tu kwenye huu uchunguzi wa SFO? Sasa kwa nini shahidi anatiwa pingu?
Unajua kuna baadhi ya logic hutokana na level ya ufahamu aliyokuwa nayo mtu kwa wakati ule. Ukimwambia hiki kiko hivi au kimekuwa vile, atakataa kwa sababu logic zake zimeishia pale zilipochanganua, ni bora basi kwa mtu wa namna hii akaomba ushahidi japo wa kimazingira kuliko kubisha moja kwa moja. au ni bora akatoa benefit of doubt until itakapokuwa proved otherwise. ndio maana data ni za muhimu unapofanya analysis ya kisayansi, ingekuwa siyo data na ikawa logic peke yake basi humu duniani tungesema mambo kibao hayawezekani, watu wasingeweza kurusha ndege kwa sababu akili ya kawaida inagoma kwa chuma kupaa. watu wasingetabiri mvua kunyesha baada ya masiku tele, logic ingeuliza wewe umejuaje kama keshokutwa mvua itanyesha?. dataz na logic vyote muhimu wajomba, tusikatae nyuzi ya FMES kwa logic pekee unless kama mnatuletea dataz tofauti za kubatilisha info zake
Minaona si vibaya kuhoji data.
FMES, endelea kuweka data ila usi-mind wenzako wanapo hoji logic au uhalisi,hii ni kuhakikisha kwamba we are not taken for a ride. Kumbuka tulivyopata taarifa kwamba Chenge amekunywa sumu?!
Personally nadhani data zako zinaweza kuwa kweli lakini kuna holes in it, ambazo wengine wameuliza, hivyo inawezekana kwamba tukipata data kamili tunaweza kuamini data zako.
Sidhani kama Chenge kupelekwa London kuhojiwa itasaidia kitu cha maana kwetu sisi waBongo. Also nakubaliana na hoja ya kwamba kama ni kweli Muungwana yuko so determined angefanya shuguhli zote kwa uwazi. Otherwise data zako zinaonekana kutaka kumsafisha Mungwana na kumfanya aonekane anafanya kazi na kuwa yuko serious, kitu ambacho kinakuwa contradicted na actions zake anazotenda hadharani.
.... Kwi kwi kwi... Wabongo bwana sasa mzee wa Vijisenti Akishughulikiwa tutakuwa tumemaliza matatizo yetu ya bongo?
.... Kwi kwi kwi... Wabongo bwana sasa mzee wa Vijisenti Akishughulikiwa tutakuwa tumemaliza matatizo yetu ya Uchumi wa Bongo?
... Mimi nilidhani hili tuwaachie vyombo vya usalama kwa sasa (aidha vya ndani au vya nje kwa sasa) tulete mawazo ya kukomboa nchi yetu kiuchumi jamani... haya mambo ya say TZS Billioni 800; ukiachilia mbali TZS Billioni (1) Moja ya Mzee wa Vijisenti hazileti kitu chochote significant kwenye taifa letu changa.
...Kama mawazo hayo ni kuwapa nchi akina Kitila, JJ Mnyika, Mwafrika wa Kike, Asha Abdallah tuangalie sasa namna gani tuwawezeshe...
...Kama ni kufanya kazi tuangalie namna gani ya kuwafanya waTanzania wafanye kazi kwa bidii na ufanisi!
Kwa hiyo Mkuu wewe unaonaje? Wamsamehe au Asurubiwe?
Hila Mkuu angalia na wewe nisije nikakuita Vijisenti, hivi Mkuu Nchi kama Tanzania ni nchi ya kuachia bilioni moja? Nisingependa kuendelea kufikiria kama kuna mtanzania ana mawazo ya kuachia kiasi hiki!
.... Kwi kwi kwi... Wabongo bwana sasa mzee wa Vijisenti Akishughulikiwa tutakuwa tumemaliza matatizo yetu ya Uchumi wa Bongo?
... Mimi nilidhani hili tuwaachie vyombo vya usalama kwa sasa (aidha vya ndani au vya nje kwa sasa) tulete mawazo ya kukomboa nchi yetu kiuchumi jamani... haya mambo ya say TZS Billioni 800; ukiachilia mbali TZS Billioni (1) Moja ya Mzee wa Vijisenti hazileti kitu chochote significant kwenye taifa letu changa.
...Kama mawazo hayo ni kuwapa nchi akina Kitila, JJ Mnyika, Mwafrika wa Kike, Asha Abdallah tuangalie sasa namna gani tuwawezeshe...
...Kama ni kufanya kazi tuangalie namna gani ya kuwafanya waTanzania wafanye kazi kwa bidii na ufanisi!
According to the dataz, Chenge sasa yupo London akiwa chini ya ulinzi wa makachero wa UK, akiwasaidia kuhusiana na uchugnuzi wa Radar. Habari nyeti nilizozipaata jana ni kwamba Chenge aliondoka kwa siri hapa nyumbani bongo kuelekea London, majuzi usiku ambako alikuwa akitakiwa kisheria na wachunguzi wa huko ambao ndio walioibua kashfa ya zile "Vijisenti". Huko London, alipokewa na makachero hao mara tu alipofika kwenye uwanja wa ndege, ambao walimpokea na kutokomea naye kusikojulikana.
According to more dataz, ni kwamba Muungwana was approached na makachero hao wa UK, hata kabla ya kikao cha CCM Butiama, na kwamba hata alipokuwa anachagua baraza la mawaziri tayari alikuwa anazo habari za Chenge na "Vijisenti", lakini hakutaka pupa. Dataz hizo zinasema kuwa hata kabla ya kwenda India, muungwana alikuwa tayari ameshawapa makachero wa UK, kibali cha maandishi cha kumshika, na kum-search Chenge, as much as they wanted or see fit!
Kabla ya kwenda Butiama, Chenge was approached na makachero hao wa UK lakini akawajibu kijeuri sana kuwa yeye ni mtu mkubwa sana hawezi kutishwa na wakoloni, ndipo wazungu walipomuonyesha warrant maalum iliyoandikwa na kusainiwa na Muungwana, Chenge almost fainted, lakini akakubali na kuchukuliwa na makachero hao, walioi-search nyumba yake upside down kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa mbili suiku, na kupata ushahidi mwingi waliokuwa wakiutafuta na kuondoka nao, na muungwana alimpa order ya kuendelea kuwasaidia hadi watakapomaliza uchunguzi wao, na baada ya kujiuzulu Chenge aliambiwa ajitayarishe kwenda UK kushiriki kwenye kuwasaidia zaidi makachero hao wakizungu, ambako ndio alienda rasmi majuzi na yuko huko bado.
Halafu dataz zaidi pia zinasema kuwa mapesa mengi na mali za mafisadi zimeszuiwa na serikali kwa siri kubwa sana, the matter of fact hata nyumba za mafisadi wengi zilizoko SA ikiwemo ya Mkapa pia zimeshikwa na serikali tayari, ikiwa ni pamoja na mapesa yao yote yaliyopo hapa bongo.
Mafisadi wengi wamejaribu kumfuata Mkono ili awasadie, akiwemo Chenge pia, lakini according to the dataz hata Mkono amewaruka wote, baada ya kupewa a very strong warning na muungwana kuwa akae mbali nao, now mnyonge anyongwe, lakini haki apewe on this.
....More Dataz to Come Soon....
Mkuu, natanguliza heshima. Mie siamini kama ulikuwa una-type huo ujumbe mind yako ikiwa AWAKE. Hivi kweli Billioni 1 haiwezi kufanya kitu Tanzania. Jamani tuache utani hapa. Sina haja ya kukushambulia au kukuvunjia heshima lakini kusema 1 Billion is nothing ni sawa na kuwatukana Watanzania. Hata kama ingekuwa ni Mia moja yes Tsh. 100 still ni mali ya Watanzania and they deserve it. Kusema 1 billion is nothing nitakuweka kundi moja na Mzee wa Vijisenti maana "kila mtu ana kipimo chake" Quote from Chenge. Tuacheni utani na kuwadhalilisha Watanzania. Wafanye kazi kwa bidii gani wakati mnawafukuza kwenye Machimbo yao ya madini mnawapa Meremeta????!! Wafanyeje wakati mnachukuwa pesa yao mnafanyia UFISADI?? Samahani kwa kutumia jumuisho maana naona wewe na Mzee wa Vijisenti are almost the same linapokuja suala la Pesa ya Watanzania.
Sorry kama nitakuwa nimekutonesha. I'm really sorry but that's THE TRUTH.