Ni kichekesho kufikiria kwamba Chenge anaweza kuja UK kipindi hiki kwa masuala ya kifamilia.
Kwanza kwa kuingia UK tu tayari angelikuwa target na vyombo mbalimbali vya dola (soma ile thread nyingine kuhusu yaliyowapata BAE kule USA).
Pili chini ya mfumo wa sasa wa UK, Chenge hawezi kupata visa ya UK kwasababu ya tuhuma za corruption zinazomkabili. Anaweza kupewa visa kama tu kuna jambo anawasaidia hawa jamaa au kuna sababu kubwa sana kama za kiafya. Hata kwenye case kama hiyo, uamuzi mpaka uje utolewe na home office na wala sio ubalozi.
Siamini kabisa Chenge anaweza kuja UK kutembea au kwa masuala ya kifamilia, kuna jambo kubwa zaidi ya hilo.
Watu mnatetea sheria za nchi, sawa, lakini yeye alipokuwa anachota mapesa ya wananchi mbona hakuangalia sheria za nchi? Mbona hakujali haki za watoto na wanawake watakaokufa kwa uchoyo wake?
Kwa mafisadi hata kama sheria za nchi zimevunjwa mimi sitajali kabisa. Inabidi wajue kwamba wakiendelea kutuibia, muda ikifika, nchi haitahangaika kuwatetea.